Hata Oral hujafanya unataka kujua Mshahara? Acha upimbi malizana nao kwanza unaweza ukapiga Oral ukatoka patupu usijione km tayari umeshapata kazi/ajira interviews hazijaisha bado baada ya Oral panel lazima ikae na kuhojiana km unatosha au hautoshi km ikigundua hautoshi na wengine hawatoshi kazi/ajira inakua re-advertisedKuna dogo wangu kapita kwenye interview anaenda kwenye oral sasa anataka kujua kwa procurement officer wilayani anaye anza anapewa mshaala shingap
Ni dogo langu anakipresha Cha kutaka kujua ila kama unajua ukimtajia pia siyo mbayaHata Oral hujafanya unataka kujua Mshahara? Acha upimbi malizana nao kwanza unaweza ukapiga Oral ukatoka patupu usijione km tayari umeshapata kazi/ajira interviews hazijaisha bado baada ya Oral panel lazima ikae na kuhojiana km unatosha au hautoshi km ikigundua hautoshi na wengine hawatoshi kazi/ajira inakua re-advertised
Mwambie amalize Oral kwanza ndio afikirie kulipwa Mshahara hata Oral hajafanya anafikiria kupata Mshahara hio ajira yenyewe ameshapata au anaajiriwa na Baba yake?Ni dogo langu anakipresha Cha kutaka kujua ila kama unajua ukimtajia pia siyo mbaya
Mshaala wa zambi ni umahuti😅Mshaala au sio.....
😂😂😂😂😂😂😂Mshaala wa zambi ni umahuti😅
Afungue kampuni ya mauzo mfano biashara ya uuzaji wa vitu au bidhaa za jumla, au biashara ya magodown mbalimbaliAfungue kampuni ya kudeal na kitu gani ili nimshauli pia
Kwanini uanze kuufikiria mshahara wa mdogo wako?!Kuna mdogo wangu kapita kwenye interview anaenda kwenye oral sasa anataka kujua kwa procurement officer wilayani anaye anza anapewa mshahara kiasi gani?
Tenda za Serikali kwa mfano, kuna wafanyabiashara kibao wanahitaji bidhaa kutoka China, huko kote kumejaa fursa hata mitandaoni pesa tupu !!Afungue kampuni ya kudeal na kitu gani ili nimshauli pia
Inategemea na shirika, mahali alipoomba kaziKuna mdogo wangu kapita kwenye interview anaenda kwenye oral sasa anataka kujua kwa procurement officer wilayani anaye anza anapewa mshahara kiasi gani?