GwaB
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 5,208
- 7,049
Mfundishe mdogo wako kuwa na ndoto kubwa, hizo ndoto za kuajiriwa zimepitwa na wakati.Yeye ndo anataka kujua dogo wa 2000
Mfundishe mdogo wako kuwa na ndoto kubwa, hizo ndoto za kuajiriwa zimepitwa na wakati.Yeye ndo anataka kujua dogo wa 2000
Huko si mkubwa sana, degree au diploma?Wilayani
😂😂 My LordMshaala au sio.....
Mkuu,Procurement officer anatafuta kuajiriwa? Kwa nini asitafutiwe mtaji afungue kampuni ajiajiri mwenyewe? 😳🙄😳
Mtu anayeanza kazi acha pressure ya kutaka kujua mshahara otherwise kama una option unataka kufanya maamuzi,.Kuna mdogo wangu kapita kwenye interview anaenda kwenye oral sasa anataka kujua kwa procurement officer wilayani anaye anza anapewa mshahara kiasi gani?
Kujua pia siyo zambiMtu anayeanza kazi acha pressure ya kutaka kujua mshahara otherwise kama una option unataka kufanya maamuzi,.
Na imekaa kimkakati kwa na HR wazoefu watajua huyu mtu ana mpango mkakati binafsi kama ni mdogo wako mtulize , maswali kama haya yanafikirisha na ni dalili ya mtu kubweteka.
Hii ni kwa certificate, diploma ama degree level..422,000/=
Ukiwa wilayani,umeajiriwa JhPiego,,MDH,,Elizabeth Gracier utaanza na 6.2M basic salary,take home 4.8M,Kila la kheri na hongera sana mkuuKuna mdogo wangu kapita kwenye interview anaenda kwenye oral sasa anataka kujua kwa procurement officer wilayani anaye anza anapewa mshahara kiasi gani?
Mkuu hakuna kitu rahisi kwa kila kitu unachotaka kufanya. Naamini hata kuchukua hiyo kozi ya procurement hadi kuhitimu haikuwa rahisi.Mkuu,
Kumbe ni rahisi kama unavyo ELEZEA
Serikalini au kampuni binafsi?Kuna mdogo wangu kapita kwenye interview anaenda kwenye oral sasa anataka kujua kwa procurement officer wilayani anaye anza anapewa mshahara kiasi gani?
MshaalaHapana minipo zangu private kwa Mo kitambo sana nimelizika na mshaala wa muhindi
Labda kama ni wizkid au wiz khalifaPesa sio nyingi wizi ndio unalipa
Degree ni 765,000, kabla ya makato.Halimshauli