Hivi bado kuna watu wanasoma procurement?
- ajira za procurement ni chache sana compared to Accounts, mimi ningeshauri mtu asome Accounts kuliko ProcurementKo
Kozi tamu sana hiyo. Here is the plan. Maliza shule, nenda Halmashauri yoyote kule Ruvuma au Katavi ukajitolee. Gather uzoefu na kuwa rafiki na mkuu wa idara. Ingia kwenye mfumo ukiwa huko huko ndani ndani. Zingatia, usiwe mjini, uwe ndani ndani. Tizama maisha yako yanavyobadilika. Ukishakaa vizuri, tumia ulichonacho kuingia kwenye asali nzito ukiwa msafi kabisa.
Wilayani/halmashauri/wizara zote Scale zao ni sawaKuna mdogo wangu kapita kwenye interview anaenda kwenye oral sasa anataka kujua kwa procurement officer wilayani anaye anza anapewa mshahara kiasi gani?
Ila wizarani kuna nafuu Kwa sababu ya posho nyngi,Wilayani/halmashauri/wizara zote Scale zao ni sawa
Degree ya miaka 3, TGS D 1=730,000/=
Degree ya miaka 4, TGS E 1=990,000/=
Hayo mengine sijuiIla wizarani kuna nafuu Kwa sababu ya posho nyngi,
Kuna wizara extraduty 1.5m, housing 800,000/-, transport allowance 350,000/-, communication allowance 100,000/-
Kwa sababu huna exposureHayo mengine sijui