Wakubwa mtu akipata deal la laki 3 Dar es salaam, ni kama mpya hajawahi fika na hana sehemu yeyote ya kufikia. Kwa mshahara wa laki 3 anaweza Toboa Dar?
Wakuu,
Baada ya kutema cheche siku ya Jumapili, Paul Makonda ameendelea kutoa matamko mbalimbali
Siku ya leo akiwa anaongea na wanahabari, Makonda amesema kuwa kazi ya kuwa kiongozi ni ngumu sana na hata yeye alikuwa anaingiza pesa nyingi akiwa mfanyabiashara kuliko sasa hivi akiwa analipwa...
Sasa udokta Tanzania umekuwa kama uuguzi au ualimu wa shule ya msingi. Unatolewa kama UPE. By the way how can you strike for your rights if literally you were unqualified to study medicine?
Madaktari wenye akili waliishia kwa akina Ulimboka. Nenda page 21, schedule 6.
Kama mvivu kusoma...
Uzi huu nimeweka jukwaa la biashara nategemea michango yenye tija. Tujue kutofautisha biashara na vituo vya kutoa misaada bure, msikiti, kanisa, n.k,
Kuna kaduka nilifungua, kwakuwa utumishi umenibana niliweka msaidizi anisaidie.
Biashara imeshuka lakini kibishi naendelea nayo
nikitoa gharama...
House KEEPER ANAHITAJIKA.
Umli miaka 22-30
Kituo Cha kazi ni Mikocheni Daresalaam Kwa mawasiliano zaidi
Mshahara Mzuri + malazi + huduma zingine kama ukiumwa nk.
Karibu sana
UPDATES : maombi yanafanyiwa kazi yaliyotumwa, hivo tusiendelee kutuma. Asanteni sana wakuu.
Kuna baadhi ya walimu bana walikuwa hawana shida na mwanafunzi kabisa.
Leo nimeikuta hii Facebook nikamkumbuka mwalimu wangu aliyekuwa anapenda sana kusema hivi.
Unapokua katika msoto wa kutafuta kazi kiutaratibu wa matoleo unapaswa kuupeleka mshahara wote baada ya malipo yako ya kwanza kama malimbuko kanisani.
Hii inakusaidia kukulinda kazini dhidi ya kutimuliwa kazi, afya, figisu, nk. Karibuni kwa wale wakuongeza nk. Hii ni kwa watu wote hata uwe nani.
Nawapa tips watu wa mshahara, hii ni gauge ya kujipima kama unafanya kazi au unafanywa kazi, nitatumia mifano hai, ambayo unaweza kurelate nayo kwa Tanzania. Ukiona inakukera ujue ushafeli.
1. Mshahara wako wa mwezi kama hauwezi kununua smart phone mpya ya flagship kwa mwaka husika. Mf. Pixel...
Habari zenu wakuu,
Naomba kama kuna mtu yoyote anajuwa mishahara ya kuanzia ya mtanzania kwa kampuni ya Hope holding company limited ya kuanzia kama mhasibu wa kawaida ama administration ntashkuru
Kwa kweli, hiki ni kitu ambacho hakijawahi kutokea!
Mishahara ya watumishi imetoka, maajabu ni kuwa kuna waliopata annual increament mwezi uliopita(wa nane) na wengine hawakupata wakitarajia wangepata hilo ongezeko kama alivyoahidi Kiongozi wa nchi!
Cha ajabu ni kwamba, kwa mishahara ya mwezi wa...
Je, nisahihi kumuambia mkeo mshahara wako au kumuonyesha salary slip yako?
Na je, mliowaambia wake zenu hali ikoje walichukuliaje baada ya kujua kiasi unachopata?
Hapokei hata Senti kumi linapokuja suala la malipo ( mshahara )
Anajilipia/kugharamia kuanzia:
a) Usafiri
b) Makazi
c) Malazi nk.
Pia timu yake anayoimiliki yaani MAMELODI SUNDOWNS (Masandawana) gharama zote za uendeshaji analipia yeye pia.
Kina Abou Hany, Samuel Eto'o na Fouzi...
Kuna tetesi kwamba Nyongeza ya Mshahara (Annual Increments), itafanyika kwa kila mlengwa kwa kuzingatia mwezi wa ajira ya mwajiriwa....Kwa mfano kama uliajiriwa mwezi wa tano, basi Nyongeza hiyo utahusika nayo mwezi husika na sio kwa kuzingatia mwaka wa fedha wa serikali,kama ilivyozoeleka.
-Hii...
VC na DVC(PFA) UDSM mnajua kuwa Watumishi wenu hawajalipwa malipo yaliyo nje ya mshahara wa serikali karibia mwaka sasa.
Je nini kimesababisha malipo kama Incentive, Airtime, Transport, Nyumba n.k kusimama na kusababisha wafanyakazi wa UDSM kuishi kinyonge sana?
Hamlipi Watumishi waliochini...
Biashara yangu ndogo bado haijakua kiviile lakini vichange change mkononi haviishi hata kama ni vya rejesho la kila wiki lakini vipo mkononi.
Vipi wewe mdau unaipendea nini biashara yako? Au kama ni muajiriwa unaipendea nini ajira yako?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.