Nimeshangaa juzi kumsikia MTU anayejiita Mbowe , Kwa kusema moja ya faida ya maridhiano ni chama kupata ruzuku ambayo ni bil 1 .6 iliyotumika kununua jengo ambalo ndo ofisi ya chadema na makao makuu HQ .
Swali ikiwa mlikuwa mnapata ruzuku mil 300 Kwa kipindi cha miaka 5 ambayo ni sawa na Bil...
Hivi inakuwaje waislamu walilipwa mapema ili wajiandae na sikukuu yao tar 16 Tu!!
Ila ona huku mpaka leo kimya..
Tujikumbushe hapa
Pia soma > Wafanyakazi wa Serikali Zanzibar wamelipwa tayari Mshahara wa Aprili 2023
Wakuu,
Naona Uchaguzi wa safari hii ndani ya CHADEMA mambo yamekuwa ya moto mno to the point where viongozi wameanza kuvujisha siri za kambi.
Akizungumza siku ya leo kwenye mahojiano na Global TV, Tundu Lissu amesema kuwa, notion iliyopo ndani ya CHADEMA kuwa kuna mtu mmoja tu anajitolea...
Nadhani rais Samia huko aliko anajuta kunrudisha makonda mjini.
Enzi za hayati Magufuli kuna mama mmoja bosi wa kituo cha uwejezaji nchini,alitumbuliwa kwa kosa la kutotumia mshahara wake
Mama huyo alikuwa akifanya kazi inayomlipa sana nje ya nchi,Kikwete akamuomba aje kujenganchi japo...
Chekechea - miaka 2
Msingi - miaka 7
Olevel - miaka 4
Form 5 / Dip - miaka 2
Degree - Miaka 4
kujitolea kupata ujuzi - miaka 3
Mtu kasota miaka kibao kajiwekeza then kapata ajira yake au kajiajiri kwa taaluma aliyosomea, kaanza kufaidi matunda yake ya uwekezaji alioufanya tangu chekechea hadi...
Ni kwa mara nyingine Trump anaukataa mshahara wa Urais, dola 400,000 kwa mwaka (shilingi bilioni 1 na milioni 40) ili usaidie wenye uhitaji na shughuli za kimaendeleo.
Kama ilivyokuwa katika muhula wake wa kwanza (2916 - 2020) mshahara wake utaendelea kusaidia wahitaji kwenye idara ya afya...
Wakuu,
Makonda asema Tangu alipopata uenezi, mshahara wote ameweka mahabahuni kwa Mungu, na hata alipoteuliwa kuwa mkuu wa mkoa Arusha hajawahi kula hata sh kumi, mshahara wote unaenda madhabahuni!
Makonda ameyasema hayo leo wakati akiongea na wananchi katika matembezi ya kuliombea taifa leo...
Hi great thinkers,
Kama mshahara kako ni kadogo na unategenmea mwezi hadi mwezi bila kuwa na marupurupu yoyote basi wewe utakufa maskini kapuku hutaweza hata kuwahudumia wategemezi wako, hutaach a asset yoyote hapa duniani mpaka unazikwa.
Piga picha masaa kumi hadi kumii na mbili unafanya...
Ni kiwango kipi mtu anaweza sema amepata kazi ya mshahara mzuri kwa hali ya maisha iliyopo hapa nchini na kwenye soko la ajira bongo?
Wadau wa maokoto ya mwisho wa mwezi tupeni abc
Baada ya jeshi la Waasi kuchukua mji wa Hama na kuteka Kambi ya kijeshi mjini humo.
Rais Bashar Al Assad ametangaza kuongeza mishahara ya jeshi lake kwa Asilimia 50% ili kuongeza morali.
Inasemekana jeshi la Syria limeshuka Sana kimorali.
Kama umewahi kufanya biashara utakubaliana nami kuwa biashara inachanganya sana tarehe za mwisho wa mwezi.
Baada ya hapo zinadumaa kwa mwezi mzima. Biashara zote, kuanzia za umachinga, za bucha hadi za vifaa vya ujenzi huchanganya mwisho wa mwezi kisha zinadumaa kwa karibu mwezi mzima.
Hii...
Vigezo
1. Jinsia yoyote
2. Ayamudu masomo yote vizuri o level na A level
3. Uzoefu wa miaka kuanzia 2
4. Akiwa muislamu atapewa kipaumbele zaidi.
Kazi haina udalali tuwasiliane hapa <karibukwetutu@gmail.com>
Tuma vyeti yako kwa email hiyo na CV yako.
Umebakia ule mshahara wa mwezi desemba.
Tokea jana watu ni kuweka heshima na kumaliza kila kitu, kila ukiagiza unaambiwa kuna foleni ama vimekwisha.
Tuonane Njaanuary 2025 kipindi cha kausha damu kutengeneza fedha za kutosha kutokana na matanuzi ya desemba na mahitaji ya january.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.