Fernandez ERA
New Member
- Mar 25, 2020
- 2
- 1
Nimesikiliza leo Crown Fm na hoja ya wachambuzi kuhusu timu 6 kuandika barua kudai haki kutokana na unyonywaji na marefa.
Nimeshangaa sana badala wachambuzi kushikilia msimamo na haki kuokoa soka letu, lakini hoja zilizokua zimejaa ni “mbona mwaka ule Yanga alifanya hivi, Mbona mwaka ule Simba alifanya hivi” Je, hapa tutakuza mpira kweli au posho na ticket za bure zinawapumbaza hawa watu?