nguvu ya buku
Senior Member
- Jul 15, 2025
- 168
- 549
Ni mishahara baada ya makato
Ubaki DSM mshahara milioni 1.2
Uende Katavi mshahara milioni 2
Ubaki DSM mshahara milioni 1.2
Uende Katavi mshahara milioni 2
Nataka Katavi,tena ndani ndani kabisa kule...Ni mishahara baada ya makato
Ubaki DSM mshahara milioni 1.2
Uende Katavi mshahara milioni 2
Nataka Katavi,tena ndani ndani kabisa kule...
hahhaha una utani mkuu huko ndani ndani huwezi toboa upelekwe sehemu zinaitwa mishamo, bugwe, kasangantombwe,mwaharaja,mnyamasi,karema,Nataka Katavi,tena ndani ndani kabisa kule...
Nimekaa paleee hata akikujibu.....Mkuu Baki Dar, ilo deal la Katavi nipatie mie jobless
Dar michongo mingi.Ni mishahara baada ya makato
Ubaki DSM mshahara milioni 1.2
Uende Katavi mshahara milioni 2
Go to Katavi, as long as you will be in Town (Mpanda)Ni mishahara baada ya makato
Ubaki DSM mshahara milioni 1.2
Uende Katavi mshahara milioni 2