Hapa hatuzungumziwi sisi tunaoenda kazini kwa miguu na baiskeliVipi kwa sisi ambao tunaenda kazini lakini hatupati..tugawanye nini
Inatosha kabisa, mtani si hujawa double4500 kwa siku 😎
Yes, all days of the month are included in your payKwani unaenda siku 30?
Ukienda siku za mwisho wa wiki unapewa stahiki over time kwa kuwa hazihesabiki, labda kama wewe njaguYes, all days of the month are included in your pay
To cut the story short, kasome sheria ya kazi na kanuni zake utaelewa ninachosema. Mnabisha tu!Ukienda siku za mwisho wa wiki unapewa stahiki over time kwa kuwa hazihesabiki, labda kama wewe njagu
Hata single sipo 😎Inatosha kabisa, mtani si hujawa double