Sheria ya kazi inatumika kutatua migogoro pale inapotokea,To cut the story short, kasome sheria ya kazi na kanuni zake utaelewa ninachosema. Mnabisha tu!
Job true true.
True true job😂Job true true.
Basic salary au net?Chukua mshahara wako gawanya kwa siku unazoenda kazini uone unalipwa shilingi ngapi kwa siku
Mimi kwa siku nalipwa 30k sawa na 900k kwa mwezi
Sijui wewe
Standing order inatambua uwepo wa siku za mapumziko.To cut the story short, kasome sheria ya kazi na kanuni zake utaelewa ninachosema. Mnabisha tu!
tgs D hii. walete walete kampunii. beba boksi tatu za dalali33,666.666666667