Kwa takehome below 700k ,nifanyeje nisione dunia ni jehanamu wala kuwa ndugu, jamaa na marafiki kuhusu mikopo ama kuenda benki ambao riba zao ziko juu sana.
Wazoefu, wachumi na waatalamu niwekee mgawanyo wa bajeti safi ya mwezi ili niwe debt free.
Maana sukari iko juu, vyakula vikojuu, kodi nk
Mtu analipwa laki 8 kwa mwezi baada ya makato yote halafu anachukua mkopo wa milioni 10+ na anaanza kukatwa karibu laki 4 kwa miaka mitano.
Hizi akili watu wanatoa wapi? Hela zenyewe hamna cha maana mnafanya na matokeo yake mnasumbua watu kwa kuombaomba na mnapoteza ufanisi kazini...
Wakuu, mmoja wa wapenzi wangu hunitafuta anpoona mshahara umekaribia. Yaani kuanzia tarehe 20 anakesha na mimi mpaka tarehe 26 nikipokea tu mshahara anapotea.
Haombi pesa lakini binafsi huwa nampa 50,000 asubuhi akiondoka ndio hutasikia kapiga simu wala kutuma sms ila ikifika tarehe tajwa...
Natamani kujua,
Maana kwa uelewa wangu kama ni system ingeweza kuwa tofauti ya dakika tu, au angalau range ya masaa mawili kwa Kila mfanyakazi kupata mshahara,
Lakini Hali hii ya mpishano zaidi ya siku mbili mpaka tatu ni wazi Kuna shida mahali..
Wasi wasi wangu ni kuwa pengine mheshimiwa Raisi...
Habari za leo wana bodi.
Niende moja kwa moja kwenye mada, naomba anayefahamu mshahara wa PUTs anisaidie Kwa anayeanza kazi.
Natanguliza shukrani kwa wachangiaji.
Kenya inapanga Kupeleka Vijana wapatao 1,500 kuwa Vibarua wa Mashamba ua Wayahudi Kufuatia Vibarua zaidi ya 10,000 wengi wao kutoa Thailand kukimbia Vita vya Israel vs Hamas hivyo kuacha mashamba ya waloweso yakiwa hayana Vibarua.
Israel Kwa Sasa imekuwa inakimbilia Afrika ambako watu Wana...
Kwa makadirio, mshahara wa daktari Serikalini basic ni 1,480,000
HESLB wanakata 222,000
74000 ya PSSSF
kodi ni 290,580
bima ya afya 44,400
Unabaki na 849,020
Toa kodi ya nyumba, bill ya maji, umeme, usafiri na chakula halafu niambie unabaki na sh ngapi?
Novemba 22, 2023 katika Mahakama ya Bukoba imeamriwa kesi ya Jamhuri dhidi LYDIA KOKUSHOBOKA KAOO, ambaye ni alikuwa mwalimu wa Shule ya Msingi Kashai- Manispaa ya Bukoba.
Imemtia hatiani kwa makosa mawili la kwanza matumizi ya nyaraka kumdanganya mwajiri kwa kuandika barua kwa mwajiri...
Hello,
Ni miaka 7 sasa mishahara tunapokea tarehe 21, 22 au 23. Kama tarehe 21 ikiangukia katikati au mwisho wa wiki mshahara tunaupata tarehe hiyo.
Kama tarehe 21 ikiwa Jumapili au Jumatatu basi Jumanne tarehe 22 tunapata mshahara. Sasa jana tarehe 22 Jumanne kwa kawaida ilibidi watumishi...
Watumishi 14 wakiwamo walimu wa shule ya Jumuiya ya Wazazi ya CCM), Bulima Sekondari iliyopo Wilaya ya Busega mkoani Simiyu, wamekuwa katika sintofahamu baada ya shule hiyo kubinafsishwa bila kupewa taarifa.
Aidha, walimu hao wamekuwa na madai matatu dhidi ya mwajiri wao ambayo ni barua ya...
Kwako waziri husika, sanasana hapo Tamisemi.
Kwanza nitoe shukrani kwa Rais wa Tanzania, kwa kuweza kutoa ajira, hatimaye nikaitwa kufanya usaili na mwisho wa siku nikapata ajira na kupangwa halmashauri ya karatu.
Kwakweli huu mchakato wa kuingia kazini kwa baadhi ya waajiri wapya umekuwa...
Aisee wadau kuna mtu kaniuliza mshahara wa IT hapa Bongo umekaaje na soko likoje kwa mtu aliesoma IT, COMPUTER SCIENCE au COMPUTER ENGINEERING na kozi relevant na hizo.
Hapa majuzi nilipata email kutoka shirika moja la Afya hapa Marekani jina kapuni kutokana na usiri( privacy) ya kimkataba na sheria ya hilo shirika na pia naweza kushitakiwa na then ninaweza kukosa madili mengi mengi ya hapa ya hapo ukimani kwenu
Kutokana na uzalendo wangu nimeamua kurudi...
Ni kweli taasisi nyingi tu za umma bado hawapata mishahara yao hadi muda huu saa7 kasoro dakika 13 mchana.
Naomba Mungu anipe nguvu na huruma ya kuwavumilia watumishi niliowakopesha, nilipatwa na jazba sana kwa hatua ya kuchukua simu zao.
Nimetafakarii sana hatua Ile, nimejifunza jambo kama...
I swear to God, Mshahara ukichelewa even another single day Nafwa jamani.
Ni shida kutegemea mshahara Ajitokeze jamani mtu uwiiiii mshaharaaa nafwaaa mimi.
Mshaharaaa uwiii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.