mshahara

  1. Pro Biznesi

    Je, ukipokea pesa kutoka nje ya nchi kunamakato ya kodi? Ni lazima ukatwe kama mtu wa mshahara?

    Nahitaji kujua ni makato gani mtu anakatwa akiwa anapokea pesa illiyotumwa kutoka nje ya nchi? Na kama yapo, anaweza kufanya nini ili pesa isikatwe sana au isikatwe kabisa akiipokea..??
  2. JanguKamaJangu

    Serikali kutangaza kima cha chini cha mshahara sekta binafsi mwezi huu

    Serikali imesema kuwa itatangaza rasmi kima cha chini cha mshahara kwa sekta binafsi mwezi huu wa Novemba 2022. Hayo yamesemwa Bungeni leo Novemba 11, 2022, ikiwa ni baada ya Bodi ya Kima cha Chini cha Mshahara sekta binafsi kukamilisha kazi ya kupanga kima cha chini cha mshahara.
  3. Elias K

    Dhambi Ni kazi Kama kazi zingine na mshahara wake Ni mauti

    Warumi 6:23 “Kwa maana mshahara wa dhambi ni mauti; bali karama ya Mungu ni uzima wa milele katika Kristo Yesu Bwana wetu.” Shalom Mtu wa Mungu karibu tujifunze Maneno ya Mungu wetu, kama wengi wetu tunavyojua hakuna maisha nje ya Yesu Kristo, yeye pekee ndio sababu ya sisi kuendelea kuishi leo...
  4. JanguKamaJangu

    Nigeria: Kocha wa timu ya taifa hajalipwa mshahara miezi 6

    Kocha huyo wa Super Eagles, Jose Peseiro aliyeajiriwa Mei 2022 anadai jumla ya Dola 420,000 (Tsh. Milioni 979 kwa kuwa kwa mwezi anatakiwa kulipwa Dola 70,000 (Tsh. Milioni 163). Chini ya Sheria za sasa za FIFA, Peseiro ambaye ni kocha wa zamani wa Saudi Arabia na Venezuela anaweza kusitisha...
  5. ROOM 47

    Nikipata mshahara tu ghafla mke wangu namuona kama anageuka kuwa ngendere

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, yaani nikipata mshahara tu gafla namuona wife anataka kugeuka kuwa ngedere, yaani anabadilika kabisa huwezi amin. Yaani nataman hata kumpeleka Hifadhi ya Mikumi. Kwanza masikio yake nayaona yanataka kuwa marefu kama ngedere, manyoya ya mgongo...
  6. BARD AI

    Muuguzi Mloganzila adaiwa kujinyonga kisa kunyimwa mshahara

    Ofisa Muuguzi (II) wa Hospitali ya Taifa Muhimbili- Mloganzila, Dar es Salaam, Sarwat Soluwo amedaiwa kujinyonga hadi kufa kwa kilichodaiwa mateso aliyopitia baada ya kusimamishiwa mshahara na uongozi wa hospitali hiyo. Taarifa za ndani ya hospitali hiyo zinaeleza Sarwat alisitishiwa mshahara...
  7. M

    Hongera Simba kwa kumpa Mgunda timu kama Kocha Mkuu, apewe mshahara mnono na siyo kutumiwa kama njia ya kubana matumizi

    Tutumie uzi huu kuipongeza Simba kwa kumpatia Mgunda nafasi ya kuwa kocha mkuu wa Simba. Naamini kabisa kuwa Mgunda almaarufu kama Gurdiola Mnene ataifanyia Simba maajabu ambayo hatujawahi kuyapata kwa makocha Wazungu. Angalizo langu ni kuwa isitokee hata kidogo kuwa simba wamempa nafasi hiyo...
  8. N

    Jitihada za kuongeza mshahara Sekta Binafsi

    Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu kazi, Ajira, Vijana na watu wenye Ulemavu, Katambi amesema serikali tayari imeunda bodi kwa ajili ya kufanya upembuzi ili kupata kima cha chini cha mshahara kwa sekta binafsi. "Tutarajie hivi karibuni tutakua tumepeta tangazo maalum la kazi walioifanya, kwa...
  9. I

    Ulitumia muda gani kupata mtaji wa milioni 3 kwa kutumia mshahara wako?

    Naam tuachane na ile mambo ya kukopa. Tuchukulie ile akiba kidogo inayoweka kutokana na mshahara wako tu unaolipwa kama umeajiriwa. Uliweza kutumia miezi, miaka ama decade ngapi kupata mtaji wa Tshs. Milioni 3? Mjadala huu utasaidia waajiriwa wengi kujijua wapo kwenye hali gani kulingana na...
  10. A

    Ongezeko la mshahara kwa watumishi wa umma kwa hapa Zanzibar

    TIRIGIVYOGO YA MSHAHARA Napenda kuchukua fursa hii kueleza maoni na hisia zangu juu ya ongezeko la mshahara kwa watumishi wa umma kwa hapa Zanzibar. Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kupitia raisi wake mpendwa kwa nia njema ilitangaza kuongeza mishahara ya watumishi wa umma kuanzia mshahara...
  11. Sildenafil Citrate

    Ndalichako: Tozo kwenye mshahara inaangaliwa upya

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Kazi, vijana, ajira na wenye ulemavu) Mhe. Joyce Ndalichako amesema kuwa malalamiko ya wafanyakazi kuhusu makato ya mishahara yao yanashughulikiwa kwa kuwa serikali sikivu ya awamu ya 6 imesikia kilio chao. Waziri amewataka wafanyakazi kuviamini vyama vyao...
  12. LEO_TENA

    Natafuta Kazi, Mshahara Uwe Laki Moja

    Habari Wana JamiiForums! Kama kichwa kinavyojieleza, Kijana wenu nipo apa kuomba kazi. Nipo tayari kufanya kazi yoyote ya halali. Kazi hilo iwe ndani ya taaluma yangu, au nje ya taaluma yangu nipo tayari kuifanya. Jinsia: Kiume Miaka: 23 Mahali Dar es salaam. Elimu: Chuo Kikuu. Nilichosomea...
  13. Lycaon pictus

    Hivi Mrema naye alikuwa anapokea 80% ya mshahara wa waziri mkuu?

    Habari, Nasikia marehemu Mrema amewahi kuwa Makamu Waziri Mkuu. Cheo ambacho leo hakipo. Waziri mkuu akistaafu hupata 80% ya mshahara. Vipi kuhusu Mrema alikuwa anapokea hiyo? Na vipi wajane wa watu kama Waziri Mkuu na Rais, huwa wana stahiki gani? NB: Cheo cha waziri mkuu kifutwe.
  14. RWANDES

    Rais Samia, Mwigulu Nchemba mnafurahi kuumiza watu na wafanyakazi kwa tozo?

    Aliyeleta wazo la Tozo za Bank transfer alilenga kila mshahara wa watumishi wa serikali ukatwe kwa sababu mishahara yote inapita benki lakini kasahau kuwa mshahara huo huo umeshakatwa PaYE na kwa sheria za kikodi upaswi kufanya double taxation,Kama ikiendelea wafanyakazi mtaumia Sana. Angalieni...
  15. Mad Max

    Mshahara wa Agosti ungeingia leo ili kesho tutulie tuwasubiri Makarani

    Kama kichwa kinavyojieleza. Mzigo ungeingia leo, ili kesho tukae na familia zetu tunawangoja makarani waje watuhesabie. Sasa hadi sahivi bila bila, tunaodaiwa madeni kesho tutaweza kweli kukaa majumbani? Karibuni wazee wa kusema walimu mna njaa kweli kweli.
  16. M

    Orodha ya mishahara ya Marais wa Afrika ni jambo la kujiuliza na kutafakari

    Ni Rais ghani Afrika anayepokea mshahara mkubwa kuliko wote Afrika , kwa mujibu wa mtandao wa Africa business , walichapisha chapisho la viongozi wa Afrika wanaopokea mshahara mrefu kuliko wote, ambapo wengi wa viongozi hao wana utajiri wao binafsi ukiachana na uongozi. Ambapo kipindi cha...
  17. N

    Habari kutoka Uganda zinasema kuwa Yanga wamefikia dau la $200000 na mshahara wa $12000 kwa ajili ya kumsajili Manzoki

    HAYA HAYA HAYA HAYAAAAA KESHO TUTAKOMA DADEEEKI UUUWIIII CONFIRMED kabisa na mtangazaji wa michezo huko Uganda ka confirm kwamba SIMBA WALIKATAA KUTOA USD 200K na walimpa offer ya mshahara usd 8000 Utopolo wametoa hizo usd 200k na mashahara wanampa usd 12,000..CASE CLOSED ASANTENI SANA BARBARA...
  18. mirindimo

    Mshahara unaongeza 8,000 halafu makato 9,000, una akili sana

  19. S

    Nyongeza ya mshahara Tsh 10,000 nayo inatozwa kodi ukiitoa benki au ATM

    Wandugu, Wakati serikaki ikiongeza mshahara kwa shilingi 10,000.00 serikali hyo mshahara ukifika benk baada ya kulipa kodi ya PAYE, huko benki serikali inatoza kodi tena. Huu ni uonevu ulopitiliza, ni unyonyaji kwa wafanyakazi na ushamba kwa viongozi walobuni hiyo tozo bila kutafakari. Mtu...
  20. Be_fm47

    Naomba kujuzwa mshahara wa Afisa Mikopo wa Bodi ya Mikopo

    Habari Team, Mwenye kujua ni kiasi gani afisa mikopo wa loan board analipwa kuanzia basic salary
Back
Top Bottom