@ProfPLOLumumba prediction of "politics of hygiene" he thought @RailaOdinga lacked has afterwards made PLO a pseudapostle as a multimaterialist-Baba is poised for MAGUFULIFICATION OF HIS KENYA. PLO should come back to Nkrumah Hall UDSM to square his oratory!
Habari wakuu,
Mimi sio mwajiriwa ila ni mtafutaji ambaye ikitokea nkaingia kwenye mfumo basi ntakuwa kwenye daraja la TGS E.
Kujua jambo ni vyema sana, mimi nilikuwa mnufaika wa bodi ya mikopo (HESLB). Napenda kujua taasisi husika kama NHIF, NSSF, PSSSF, HESLB na TRA (PAYE) wanakata kwa...
Asilimia 23.3 la ongezeko la mshahra kwa kima Cha chini si haba, japo baadhi wanakejeli ongezeko Hilo Ila ukweli ni kwamba kheri ya kitu kidogo kuliko kutokuongezewa kabisa.
Napenda kuwashauri watumishi wa umma ambao hupendelea kukopa katika taasisi za fadha kuwa makini na taasisi ndogo ndogo...
Kuna Barua inatembea mitandaoni naona CDM wametoa pongezi kwa Serikali kwa kuongeza mshahara.
My take:
Katika kumbukumbu zangu sijawahai kuwasikia CDM wakiongelea mishahara ya wafanyakazi.
Aidha kwa kipindi cha miaka 7 chadema haijawahi kuhudhiria sherehe za wafanyakazi hivyo Sifa hii wamuachie...
Kuna shangwe kuhusu tamko la serikali kuongeza mshahara 23.3% wakati ambao nauli ya bajaji na daladala na bajaji imepanda kutoka sh 500 hadi 800 sawa na 60%.
NINGESHAURI PUNGUZO LA KODI ILI VITU VISHUKE BEI,KULIKO KUONGEZA MSHAHARA.
Leo 13:15hrs 15/05/2023
Je ni kweli gharama za maisha za leo hii ili mtumishi amudu maisha inabidi kima cha chini kiwe millioni moja!!? Mimi nadhani ingekuwa vyema kama tungeongeza tija katika uzalishaji ili pesa ipande...
ONGEZEKO LA 23.3% NI KWA WATUMISHI WOTE AU ASILIMIA INASHUKA MSHAHARA UNAVYOPANDA!?
Leo 12:15 hrs 15/05/2023
Tangazo la kuongeza mshahara la Zanzibar,Kenya na Uganda vs tangazo la kuongeza mshahara Tanzania bara "Tanganyika" kuna maana mbili tofauti,Zanzibar,Kenya na Uganda wametangaza...
Hakuna kitu kibaya kama kutoa taarifa nusunusu au taarifa tata kwa malengo maalum
Watu jana wameshangilia na kufurahi kuwa ongezeko la mshahara la asilimia 23.3 ni kwa watu wote , lakini leo asubuhi tunaamka na uelewa tofauti kuwa ongezeko hilo ni kwa Wafanyakazi wanaopata kima cha chini ...
Mwanasiasa akiingia ndani na akakwambia nje mvua inanyesha toka kahakikishe...
Mwanasiasa akisema anakupenda... Geuza kwa upande wake kinyume...
Akisema amekufanyia hivi au vile... Chunguza vizuri.. Kuna nini baadae...
Mkikaa baadae mkatulia kwenye akili zenu mtajua tumepigwa changa la...
Nchi yetu ya Tanzani, mifumo ya kudhibiti mfumuko wa Bei Bado hauko vizuri, ukilinganisha na nchi zingine. Kutangazwa Kwa wastan wa kupanda Kwa mishahara kutaendana na mfumuko wa Bei za vitu kuanzia mwez Julai, kutokana na iman Kuwa wafanyakaz Kwa Sasa wana hela. Nakumbuka kipindi Cha Mzee wa...
Nimeona wengi wanauliza nikaona nianzishe uzi labda kusaidia, ni hivi chukua asilimia ya kilichoongezwa mf. 28% gawanya kwa 100 yaani 28:100 halafu zidisha na Mshahara wako, yaani 0.28*(mshahar wako kabla ya kodi)= halafu jibu lake jumlisha tena na Mshahara wako, jibu lake ndiyo kiwango...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Mwinyi ametangaza ongezeko la mshahara kwa 15%
Kutokana na utaratibu huo kima cha chini cha mshahara kitapanda kutoka Tsh. 300,000 hadi Tsh. 347,000 sawa na asilimia 15.6
Ongezeko hilo linatarajiwa kutolewa kutumia mfumo wa...
WIZARA YA UTUMISHI KUTIMIZA AGIZO LA RAIS KWA WAKATI.
Na. James K. Mwanamyoto-Dodoma
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Jenista Mhagama amesema ofisi yake imejipanga kupandisha mishahara ya Watumishi wa Umma kwa wakati kama alivyoelekeza Rais wa...
RAIS SAMIA NI KINARA WA MASLAHI YA WAFANYAKAZI.
Na Bwanku M Bwanku.
Jana Mei Mosi, Dunia iliadhimisha Siku ya Wafanyakazi na Nchi yetu ilifanya Maadhimisho haya Kitaifa Jijini Dodoma ambapo Rais Samia alikuwa Mgeni rasmi. Na Mimi Bwanku M Bwanku leo Jumatatu Mei 02, 2022 kwenye Gazeti la...
Mwalimu wa shule ya Sekondari Jijini Mbeya, Julieth Kabuja (32) ameieleza Mahakama ya mwanzo Mkoani hapo kuwa ni bora ndoa yake ivunjike kuliko kumkabidhi mumewe kadi yake ya benki.
Ameyazungumza hayo mbele ya Mahakama ya mwanzo jijini hapo baada ya mumewe Charles Meshack (31) kufungua shauri...
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ametangaza ongezeko la mshahara kwa asilimia 12 kuanzia Mei 2022.
Rais Kenyatta ametoa tamko hilo katika hotuba yake Siku ya Mei Mosi kwenye Uwanja wa Nyayo Jijini Nairobi, ambapo lengo la maamuzi hayo ni kutokana na kukua kwa gharama za maisha
Kiwango cha chini...
Wakati Rais wetu akiita 'Jambo Letu'...
“Lile jambo letu lipo. Ndugu zangu jambo letu lipo ila sio kwa kiwango kilichosemwa na TUCTA kwa sababu mnajua hali ya uchumi wa nchi yetu na hali ya uchumi wa dunia. Hali si nzuri sana uchumi wetu ulishuka chini mno."
"Tumejitahidi sana na kwa sababu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.