Leo Mukwala alipoingia tu kule Tunisia nilimchukia sana kocha Fahdu, sikuona sababu za kumtoa Ateba ambaye aliwashika sana waarabu.Kwani ni lazima ufanye sub? Hata Mpanzu alipotoka akaingia Mavambo niliona kabisa kocha anatuingiza shimoni.
Anyway, Yanga wanakaribia kutemana na Baleke...
Wakuu Chama ni mmoja wa viungo washambuliaji hatari wanaotajwa kuwahi kutokea katika historia ya ligi yetu.
Huyu mwamba amepotekea wapi? Kipaji chake kilifanya wafau wa michezo na mashabiki wa Simba sc wamuimbe kila uchwao.
Je! Nini kimemkuta? Ligi inaelekea mzunguko wa pili sasa hasikiki...
Mimi siyo mtaalamu wa soka wala siyo daktari wa michezo.
Hapa nitaweka mtazamo wangu kwa hisia tu hivyo mkiona nipo sahihi fuateni, mkiona sina hoja puuzeni tu.
Nikiangalia muenendo wa viwango vya wachezaji kiafya na viwango vyao wanaporudi toka majeruhi na kurudia kupata majeraha na utimamu wa...
Kama umemfuatilia Che Malone ni beki aliye na uwezo wa kupiga chenga, ana nguvu, ana composure nzuri akiwa na mpira, ana uwezo wa kufunga na kukimbia na mpira. Haya yote anayafanya akiwa anacheza nafasi ya beki wa kati. Imagine akiwa anacheza mbele kidogo.
Siku moja kocha Fadlu ajitoe ufahamu...
Mshambuliaji wa Wolfsburg Kevin Behrens amesimamishwa na klabu yake baada ya kukataa kusaini jezi yenye rangi ya upinde wa mvua.
Pia alitumia maneno ya dharau kueleza kuwa hatasaini jezi hiyo.
Baada ya saga lake la usajili kutikisa hatmaye mshambuliaji wa the Super Eagles, Victor Osimhen amekubali kujiunga na klabu ya Galatasaray kwa mkopo kwa msimu ujao.
Mashabiki wa Galatasaray wameonyesha shangwe na furaha kubwa baada ya kuwasili kwa Osimhen, mshambuliaji mahiri anayetarajiwa...
Naunga mkono Simba kumsajili mshambuliaji wa Burundi Elvis Kamsoba, amemzidi vitu vingi sana yule striker wa USMA Alger Leonel Ateba Mbida.
Kamsoba ana nguvu, namfananisha na marehemu Damian Kimti, mshambuliaji ambaye alileta changamoto kubwa enzi zile hasa kuhusu uraia wake hadi akafanikiwa...
Ndugu wanasoka wenzagu naomba kuuliza nini kimewafanya viongozi wa Simba kumsajili huyu mchezaji ambae kila nikisoma takwimu zake naona hazimbebi kabisa kuwa chaguo sahihi. Simhukumu ila ningependa kujua tu mapema kabla hatujampa muda klabuni?
Soma Pia:
Usajili wa Simba tangu 2019 hauaminiki...
cafcc
ligi kuu
mo dewji
mshambuliaji
nguvu moja
simba
simba sc
soka
ssc
takwimu
viongozi
viongozi wa simba
wachezaji wa simba
yanga and simba transformation
Mara baada ya tajiri Mo dewji kupost katika mtandao wa X kuwa Simba itasajili Mshambuliaji mwingine kabla ya dirisha kubwa kumalizika.
Habari zimevuja kuwa tayari Simba sc imeinasa mshambuliaji wa kimataifa wa Ethiopia, Abubeker Nessir kutoka klabu ya Mamelodi. Niwape tu habari kuwa huyu jamaa...
Wachezaji wengine wanaagwa, kwaninini Chama hadi sasa hajaagwa?
Baada ya kuitumikia timu yetu kwa misimu mitatu, Henock Inonga Baka hatokuwa sehemu ya kikosi cha msimu ujao.
Baada ya miaka mitano aliyodumu ndani ya klabu yetu mlinzi wa kati Kennedy Juma hatokuwa sehemu ya kikosi chetu...
Tuache kujipa moyo eti mfumo wetu tunaweza shinda bila namba 9 mwenye quality ya juu. Pengo linaonekana harry kane au haaland anahitajika. Hakuna timu duniani imechukua kombe kubwa bila kuwa na namba 9 wa maana.
Mzize, Konkoni na Musonda wameprove failure.
Rasmus Hojlund ambaye alitambulishwa wiki iliyopita kuwa mchezaji mpya wa Manchester United ana majeraha ya mgongo lakini inadaiwa kuwa suala lake linaweza kuwa kubwa zaidi licha ya klabu kutoweka wazi.
Nyota huyo mwenye umri wa miaka 20 aliyesajiliwa kwa Pauni Milioni 72 aligundulika kuwa na...
Haiwezekani anaingizwa Mzee John Boko halafu Moses Phiri mwenye kila kitu anakalishwa Benchi.
Wewe Kiongozi Mwandamizi ndani ya Simba SC jana ulikuwepo GENTAMYCINE nakuonya acha chuki zako kwa Phiri kwakuwa tu alikataa kukupa 10% sawa?
Tshepo Gumede beki wa Marumo Gallants ambaye Mayele alimfanyia ukatili mkubwa akimuwekea mpira mbele kisha kuanza kumkimbiza na akampita na kuwahi mpira licha ya beki huyo kuwa mbele yake kabla ya kuanza mbio hizo.
Haikuwa kukimbiza pekee Mayele akaenda kutoa pasi ya maana akimlipa Kennedy...
Mayele alidhamiria kwenda Kumpiga Mchezaji Muzamir Yasini kabla hajazuiliwa na Mchezaji wa Simba SC Saido Ntibanzonkiza jambo ambalo Kikanuni ni Kosa Kubwa.
Najua kuna Mazuzu ( Majuha ) watamtetea kuwa hakufanya hilo Tukio ila Kisheria siyo lazime mpaka awe ametenda hicho Kitendo ila...
Klabu ya Simba SC Kutoka Tanzania Inatinga Hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Dunia kwenye Mtandao wa Twitter
Klabu ya Simba SC kutoka Tanzania imeweka historia ya kuwa timu ya kwanza kutoka Afrika Mashariki kufika hatua ya robo fainali ya Kombe la Dunia linaloendeshwa kupitia mtandao wa...
Habari kuhusu mshambuliaji Jean Baleke wa Simba imewaacha mashabiki wa Yanga wakishangaa kutokana na ubora wa mchezaji huyo katika kupiga mabao. Baleke amekuwa akifunga mabao kwa wingi na kwa sasa kocha wake amewapa mabosi wa Simba ramani ya kumweka ndani ya timu hiyo.
Kocha wa Simba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.