Baada ya kuondolewa zuio haramu la mikutano ya kisiasa, alichokifanya Mbowe katika ufunguzi kwa kumsifia Rais Samia badala ya kujikita katika hoja za kushambulia ni mkakati wa kisiasa wa aina yake.
Ukitizama vizuri baada ya mkutano wa kwanza wa CHADEMA Mwanza, MATAGA ndilo kundi linaloonekana...
Baada ya kufanya mazoezi na kikosi kwa siku mbili katika kambi waliyoweka nchini Dubai Kocha Mkuu Oliveira Roberto ‘Robertinho’ amejiridhisha kuwa anahitaji mshambuliaji mwingine.
🔹 Robertinho amesema kikosi chake kina washambuliaji wazuri huku akimwagia sifa Nahodha John Bocco lakini ameweka...
Klabu ya Yanga imefikia makubaliano na Power Dynamos kumsajili mshambualiaji hatari Kennedy Musonda kwa ada ya uhamisho wa Dollar laki moja sawa na shillingi milion 230 na Kennedy anatarajiwa kuwasili nchini wiki ijayo kujiunga na Yanga, Kitenge (2023).
Sifa za huyu mwamba;
~ Unaambiwa huyu...
Na usije tena maskani yetu Tegeta kwa swahiba wako mkuu na bingwa wa kucheza mechi za Ndondo Tanzania nzima Kudra Omary.
Binafsi kama mwana maskani wako hapo leo nakwambia nakuchukia rasmi kwa kuendekeza Uyanga wako na siyo kucheza mpira na kuisaidia timu yako ya KMC FC ipate ushindi dhidi ya...
Habari wanamichezo,
Juzi niliangalia goli alilofunga Mayele, kasi yake alvyopokea mpira, utulivu wake, akili yake ya kufunga, control yake hakika niseme asante Engineer Hersi kwa kutuletea huyu mtu. Wanayanga tulimkosa huyu mtu kwa muda mrefu sana tangu Yanga ya Donald Ngoma nadhani hatujapata...
Bila ya salamu!!
Toka karne hii ya 21 ianze hakujawahi kutokea katika ligi kuu ya soka ya Tanzania kupata mshambuliaji mwenye movements bora ndani ya eneo la kumi na nane kama alivyo mshambuliaji wa miamba ya soka ya Tanzania, Simba Sc,Mheshimiwa Dejan Georgijevic. Sehemu pekee ambapo...
Tuna muda mchache sana kuelekea Mashindano ya CAF lazima macho yenu na akili zenu zifanye kazi chap chap hatuwezi fika popote katika mashindano ya CAF kama striker ni huyu Dejan
Simba haitajin striker wa kumpa muda anatakiwa striker wa kuja kufunga sio huyu wa kumjaribu
Hatimaye Usajili Bora zaidi katika dirisha hili la Usajili. kutoka Afrika ya Magharibi, mabingwa watetezi & wa kihistoria wa LigiKUU Tanzania Bara wamtambulishaa Stephane Aziz KI kama mchezaji Mpya wa Yanga SC.
Stephane Aziz Ki amenunuliwa kwa dau ambalo limevunja rekodi kwa timu ya ndani...
Inasikitisha sana wachezaji wetu wanaoimbwa kila siku kwamba ni wakali hawajamfikia hata mpole japo anacheza kwenye timu dhaifu ila ana goli 8, .
kina sakho sijui chama hawapo hawajafikisha hata goli tatu lakini ndio ma star wetu msimbazi..! kwa kweli wachezaji wetu ni level ya dar city tu
Mshambuliaji huyo nimekua nikimfatilia kwa muda mrefu sasa kwenye mechi mbalimbali. Amekua akianza asilimia kubwa sana ya game za simba msimu huu huku mchango wake kwenye upande wa ushambuliaji umekua ni hafifu, uwezo wake hauendani na jinsi wanasimba wanategemea kutoka kwa mchezaji wao hasahasa...
Kama leo ningepewa Furushi la Fimbo za Mianzi au Mipera na kuambiwa nimchague mchezaji wa Taifa Stars aliyenikera ilipocheza na Madagascar na nimchape nazo nina uhakika Mshambuliaji wangu wa Simba SC angezikoga kama siyo Kuzichezea sana.
Haiwezekani Beki wa Yanga SC ninayemuhusudu (...
IGWEEEE! Mshambuliaji wetu Godwin Aguda kasajiliwa na team ya Falkenberg inayoshiriki ligi daraja la kwanza huko Sweden,tunamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya ya kisoka
Vilevile Nitaendelea kuwajuza maendeleo ya team katika michuano maalumu ya kujipima nguvu inayofanyika huko Benin...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.