mshambuliaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Kama Yanga wanamweka benchi mshambuliaji hatari kabisa Jean Baleke vipi Simba imng'ang'ania Mukwala ambaye hana faida yoyote

    Leo Mukwala alipoingia tu kule Tunisia nilimchukia sana kocha Fahdu, sikuona sababu za kumtoa Ateba ambaye aliwashika sana waarabu.Kwani ni lazima ufanye sub? Hata Mpanzu alipotoka akaingia Mavambo niliona kabisa kocha anatuingiza shimoni. Anyway, Yanga wanakaribia kutemana na Baleke...
  2. Yuko wapi aliyekuwa kiungo mshambuliaji hayari wa Simba Chama?

    Wakuu Chama ni mmoja wa viungo washambuliaji hatari wanaotajwa kuwahi kutokea katika historia ya ligi yetu. Huyu mwamba amepotekea wapi? Kipaji chake kilifanya wafau wa michezo na mashabiki wa Simba sc wamuimbe kila uchwao. Je! Nini kimemkuta? Ligi inaelekea mzunguko wa pili sasa hasikiki...
  3. Yanga agalieni uwezekano wa kumrudisha Youssef Ammar, na kusajiri mshambuliaji mmoja mzuri kijana jahazi linazama

    Mimi siyo mtaalamu wa soka wala siyo daktari wa michezo. Hapa nitaweka mtazamo wangu kwa hisia tu hivyo mkiona nipo sahihi fuateni, mkiona sina hoja puuzeni tu. Nikiangalia muenendo wa viwango vya wachezaji kiafya na viwango vyao wanaporudi toka majeruhi na kurudia kupata majeraha na utimamu wa...
  4. Hoja Fukunyuku: Che Malone ahamishwe awe kiungo mshambuliaji

    Kama umemfuatilia Che Malone ni beki aliye na uwezo wa kupiga chenga, ana nguvu, ana composure nzuri akiwa na mpira, ana uwezo wa kufunga na kukimbia na mpira. Haya yote anayafanya akiwa anacheza nafasi ya beki wa kati. Imagine akiwa anacheza mbele kidogo. Siku moja kocha Fadlu ajitoe ufahamu...
  5. Mshambuliaji wa Wolfburg afungiwa kisa kugoma kusaini jezi yenye rangi za upinde

    Mshambuliaji wa Wolfsburg Kevin Behrens amesimamishwa na klabu yake baada ya kukataa kusaini jezi yenye rangi ya upinde wa mvua. Pia alitumia maneno ya dharau kueleza kuwa hatasaini jezi hiyo.
  6. Mashabiki wa Galatasaray wapagawa kuwasili kwa Osimhen

    Baada ya saga lake la usajili kutikisa hatmaye mshambuliaji wa the Super Eagles, Victor Osimhen amekubali kujiunga na klabu ya Galatasaray kwa mkopo kwa msimu ujao. Mashabiki wa Galatasaray wameonyesha shangwe na furaha kubwa baada ya kuwasili kwa Osimhen, mshambuliaji mahiri anayetarajiwa...
  7. L

    Elvis Kamsoba ni mshambuliaji mrundi kamili wa kutatua matatizo ndani ya Simba

    Naunga mkono Simba kumsajili mshambuliaji wa Burundi Elvis Kamsoba, amemzidi vitu vingi sana yule striker wa USMA Alger Leonel Ateba Mbida. Kamsoba ana nguvu, namfananisha na marehemu Damian Kimti, mshambuliaji ambaye alileta changamoto kubwa enzi zile hasa kuhusu uraia wake hadi akafanikiwa...
  8. Nini kimewapelekea viongozi wa Simba kumsajili mshambuliaji Mcameroon Lionel toka USM Algiers?

    Ndugu wanasoka wenzagu naomba kuuliza nini kimewafanya viongozi wa Simba kumsajili huyu mchezaji ambae kila nikisoma takwimu zake naona hazimbebi kabisa kuwa chaguo sahihi. Simhukumu ila ningependa kujua tu mapema kabla hatujampa muda klabuni? Soma Pia: Usajili wa Simba tangu 2019 hauaminiki...
  9. M

    Tetesi: Itoshe kusema kuwa Mfalme wa soka nchini Tanzania, Simba Sc imepata mshambuliaji hatari Abubeker Nessir. Mabeki ya NBCPL wajiandae kulala na viatu

    Mara baada ya tajiri Mo dewji kupost katika mtandao wa X kuwa Simba itasajili Mshambuliaji mwingine kabla ya dirisha kubwa kumalizika. Habari zimevuja kuwa tayari Simba sc imeinasa mshambuliaji wa kimataifa wa Ethiopia, Abubeker Nessir kutoka klabu ya Mamelodi. Niwape tu habari kuwa huyu jamaa...
  10. W

    Ni kwanini hadi sasa Simba haijatangaza kumuaga Chama kwa heshima kama wachezaji wengine?

    Wachezaji wengine wanaagwa, kwaninini Chama hadi sasa hajaagwa? Baada ya kuitumikia timu yetu kwa misimu mitatu, Henock Inonga Baka hatokuwa sehemu ya kikosi cha msimu ujao. Baada ya miaka mitano aliyodumu ndani ya klabu yetu mlinzi wa kati Kennedy Juma hatokuwa sehemu ya kikosi chetu...
  11. Simba SC msitishwe na wala msidanganywe achaneni na Jean Baleke kwani hakuna Mshambuliaji hapo

    Kama kuna Striker ambaye nilikuwa Simpendi Simba SC ni huyu / huyo ila nasikitika kusikia kuwa anataka Kurejeshwa.
  12. Ukiwa kama kocha utaanza na mshambuliaji gani hapa?

    Chagua mshambuliaji mmoja tu wakuanza nae katika kikosi chako kutoka katika list ya washambuliaji waliopo pichani
  13. Simba yatambulisha mshambuliaji mpya kutoka Ivory Coast Freddy Michael Kouablan

    Ametokea timu ya Green Eagles kwenye ligi ya Zambia. Kwenye mechi 16 kafunga magoli 14
  14. Yanga bila kupata mshambuliaji namba 9 haiendi popote

    Tuache kujipa moyo eti mfumo wetu tunaweza shinda bila namba 9 mwenye quality ya juu. Pengo linaonekana harry kane au haaland anahitajika. Hakuna timu duniani imechukua kombe kubwa bila kuwa na namba 9 wa maana. Mzize, Konkoni na Musonda wameprove failure.
  15. Mshambuliaji mpya wa Man United ni majeruhi, atakosa mechi kadhaa

    Rasmus Hojlund ambaye alitambulishwa wiki iliyopita kuwa mchezaji mpya wa Manchester United ana majeraha ya mgongo lakini inadaiwa kuwa suala lake linaweza kuwa kubwa zaidi licha ya klabu kutoweka wazi. Nyota huyo mwenye umri wa miaka 20 aliyesajiliwa kwa Pauni Milioni 72 aligundulika kuwa na...
  16. Uongozi wa Simba SC Kocha Robertinho akiendelea Kutompanga Mshambuliaji Moses Phiri nitamtaja Kiongozi anayemchukia

    Haiwezekani anaingizwa Mzee John Boko halafu Moses Phiri mwenye kila kitu anakalishwa Benchi. Wewe Kiongozi Mwandamizi ndani ya Simba SC jana ulikuwepo GENTAMYCINE nakuonya acha chuki zako kwa Phiri kwakuwa tu alikataa kukupa 10% sawa?
  17. Yule Beki wa Marumo Gallants Tshepo Gumede wa Marumo Gallants alikimbizwa na Yanga Fiston Mayele Akubali Mziki Wake, Afananisha na Ronaldo

    Tshepo Gumede beki wa Marumo Gallants ambaye Mayele alimfanyia ukatili mkubwa akimuwekea mpira mbele kisha kuanza kumkimbiza na akampita na kuwahi mpira licha ya beki huyo kuwa mbele yake kabla ya kuanza mbio hizo. Haikuwa kukimbiza pekee Mayele akaenda kutoa pasi ya maana akimlipa Kennedy...
  18. M

    Nasubiria kusikia Adhabu Kali kutoka TFF kwa Mshambuliaji Mayele na Kocha Nabi

    Mayele alidhamiria kwenda Kumpiga Mchezaji Muzamir Yasini kabla hajazuiliwa na Mchezaji wa Simba SC Saido Ntibanzonkiza jambo ambalo Kikanuni ni Kosa Kubwa. Najua kuna Mazuzu ( Majuha ) watamtetea kuwa hakufanya hilo Tukio ila Kisheria siyo lazime mpaka awe ametenda hicho Kitendo ila...
  19. Simba SC yatinga Robo Fainali ya Kombe la Dunia huko twitter

    Klabu ya Simba SC Kutoka Tanzania Inatinga Hatua ya Robo Fainali ya Kombe la Dunia kwenye Mtandao wa Twitter Klabu ya Simba SC kutoka Tanzania imeweka historia ya kuwa timu ya kwanza kutoka Afrika Mashariki kufika hatua ya robo fainali ya Kombe la Dunia linaloendeshwa kupitia mtandao wa...
  20. Mshambuliaji Jean Baleke awasha moto Simba SC

    Habari kuhusu mshambuliaji Jean Baleke wa Simba imewaacha mashabiki wa Yanga wakishangaa kutokana na ubora wa mchezaji huyo katika kupiga mabao. Baleke amekuwa akifunga mabao kwa wingi na kwa sasa kocha wake amewapa mabosi wa Simba ramani ya kumweka ndani ya timu hiyo. Kocha wa Simba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…