IGWEEEE! Mshambuliaji wetu Godwin Aguda kasajiliwa na team ya Falkenberg inayoshiriki ligi daraja la kwanza huko Sweden,tunamtakia kila la kheri katika maisha yake mapya ya kisoka
Vilevile Nitaendelea kuwajuza maendeleo ya team katika michuano maalumu ya kujipima nguvu inayofanyika huko Benin...