Japo ni mida ya wanga na wengi wamelala ila walio macho shikamoonii
Mshana Jr pengine muda huu umelala ila sio mbaya kutakucha na utaamka(uamke salama kabisa)
Anyway nakumbuka niliomba mazungumzo binafsi nacwewe mkuu mshana(PM) na kwakuwa umefunga PM basi uliniahidi utanicheki na nimekuwa...
Huyu mshana ni kichwa sana mwisho wa mwaka akija kupewa tuzo ya content bora za ubunifu msije kuona kapendelewa tusimnyanyase tumpe maua yake aiseee.
Kitambo sana sijapost kwa mwezi wote wa pili nilikuwa busy sana kuwabembeleza kuku wangu wanitagie na kutonoa mayai na kweli wamefanya hivohivo...
Heri ya jumapili: Jana juzi bhn Kuna jamaa yangu alipata kesi kubwa hapa dsm sasa katika kuhangaika jamaa wakashauri twende Kwa msisi tanga tukaroge tuokoe jahazi safari ya watu watatu ukaanza tumefika handeni tunaelekezwa Kwa msisi kumbe ni ndani ndani kabsa...
Johnson Mshana (28) amehukumiwa miaka 25 kifungo cha nje kwa kujaribu kuvunja gereza la Halden nchini Norway ili aingie ndani.
Mshana ambaye aliachiwa huru mwezi mmoja ulipita kutoka gereza hilo baada ya kutumikia kifungo cha miaka mitatu kwa kosa la uharibifu wa mali kwa makusudi na pia kabla...
Nigerian guy living in Sweden smartly
married a Swedish lady, so as to be
legally certified with resident permit, but
the lady was not aware of this.
He lied to the lady that he is from Kenya because of the bad reputation of Nigerians in that part of Sweden.
After their wedding, the lady...
1. Nahisi Mshana Jr ni huyo wa kwenye avatar.
2. Nahisi anafanya kazi ya kuhifadhi miili ya marehemu kwenye hospitali moja hapa mjini.
3. Nahisi ni mtu katili sana kwa maiti yaani kuna muda anazipiga makofi huku anafoka.
4. Sidhani kama panya wanakatiza karibu yake.
Hii nchi yetu inaonekana hipo Katika dimbwi la Umasikini mkubwa kwa kukosa watu wenye MAARIFA ya kuipeleka nchi Mbele.
Mtu Kama
Mshana Jr
Robert Heriel Mtibeli
Bams
Kwanini msiwaingize huko serikalini wakaisaidia nchi yetu kuvuka baada ya miaka 60 ya kuogelea Katika umasikini uliotukuka...
Hebu fikiria hapa una GENTAMYCINE , kushoto una Mshana Jr na katikati kakaaa mkaka wa haja, Bujibuji Simba Nyamaume , Simba halisi wa kiume.
Watu wanataka kusikia madini, fanya mabadiliko bro Majizo
Dr Issack Maro wa Clouds :FM na Mshana Jr wa JF
Hawa ndo vijana wanaojitambua hapa Tanzania, Elimu zao wanazifanyia Kazi vizuri naomba wazazi muwatumie hawa vijana Mshana Jr na Issack Maro Kama mfano Bora wa Jamii.
Ramadhan Kareem.
Bwana Mshana Jr ndiye mwanaume mwenye mivuto kuliko wote hapa jamvini.
Mshana Jr huwezi kumuweka kwenye viwango vya kina mpwayungu village , GuDume, @dr hayaland nk.
Mshana Jr ana post zenye wachangiaji wengi kuliko maelezo. Post zake zina madini makali, na amekuwa jukwaani...
Sisi wapare wa jf tunajivunia Mshana Jr wanyakyusa wanajivunia Bujibuji Simba Nyamaume wahaya wanajivunia GENTAMYCINE na wasukuma wanajivunia Pascal Mayalla.
Ni hayo tu kwa leo.
Wakubwa shikamoni kuna debate inaendelea hapa jamii Forums baina ya team mbili
1) KATAA NDOA
2)KUBALI NDOA
Kwa upande kataa ndoa muwakilishi ROBERT HERIEL aliandika uzi huu
"Hakuna umuhimu wa ndoa karne hii kwa sababu hizi"
Kwa upande wa kubali ndoa ni MSHANA JR Kaandika uzi huu
"Malezi...
Napenda sana uandishi wako na uwasilishaji wa nyuzi zako hakika umestahili kuibuka mshindi katika Jukwaa hili nina mengi ambayo nimejifunza kupitia nyuzi zako, hasa tiba ya Chumvi hongera sana ila nipe mbinu ya kumiliki pesa na kujikinga na wachawi😂😂
Kwema ndugu yangu Mshana Jr mwandishi nguli wa habari za watu wa kuzimu.
Tafadhali naomba ufafanuzi wa hili...
Juzi kuna jengo la ghorofa lilidondoka na kupelekea kupoteza maisha ya vijana wetu wasiopungua 5 kwa mujibu wa ripoti za uchunguzi. Sikubahatika kufika kwa eneo la tukio lazima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.