Mtu aliyekataa kumuhudumia Mzazi wake hadi anakufa, je, afanye nini ili laana imuepuke?
Mshana Jr
Bujibuji Simba Nyamaume mchungaji
Yaani Maisha ni hatari curse is real.
Enyi familia ya Dkt. Rwakatare nawashauri ushauri wa bure bure bure kabisa, mtafutieni mganga wa JamiiForums nchini Tanzania ndugu Mshana Jr awasaidie kumzindika ndugu yenu la sivyo nawambieni huyu Diwani hapotei hivi hivi.
Mbona alikuwa hapotei mama yake akiwa hai?
Mi nasema mtafuteni mshana...
Nadhani hujabahatika kukutana na magwiji Hawa wawili wakiwa nje ya jukwaa letu pendwa.
Jumamosi iliyopita nilibahatika kuonana nao mitaa ya Kasumulo wakijiandaa kuvuka mpaka kwenda Lilongwe, hakika ilikuwa ni shangwe Sana.
Ntafurahi nikiona mawazo ya mpwa want HUyu kabla ya mechi Simba vs yanga
Otherwise namtakiaaa mechi njema.kama n mpenzi waoujichanganya avae BARAKOA anawe mikono kabla ya kuzama vibandavyetu vile binafsi ntakuwa kimara bucha WAZEE wA bomoabomoa
Njoooona SADAKA YA UKOMBOZI
OKOA YANGA ISHINDE
David Musyoka ni Dereva wa Halmashauri huko Kenya, Kitui County.
Siku kaamka vizuri tu na kaenda kazini, akatumwa sehemu kikazi naye kama kwaida kawasha gari akaingia barabarani.
Mara akiwa barabarani anaendesha akaona watu wanashangaa ndege tai kashika nyoka.
Yule ndege tai akamwachia nyoka...
Hope kila mmoja ameshiba pilau.
Bila kupoteza muda, naomba niende moja kwa moja kwenye lengo la Uzi huu. Namshukuru Mungu mtoto wa baba yangu mkubwa ni moja ya kijana walibahatika kupata ajira ya ualimu mwaka huu(alikuwa mzigo), But alipangiwa mkoa wa mbali sana na tulipo hivyo baada ya...
Ipo hivi wachawi hawapatani na baadhi ya aina za maji na sio kila maji, nitaelezea hapa chini.
Maji ya mvua!!! Sote tunajua kuwa mvua analeta Mungu sasa maji ya mvua na uchawi ni balaa tupu haviivi hata kidogo na ndio maana kuna baadhi huenda angani kuzuia mvua isinyeshe.
Maji ya bahari!!! Hii...
NDUGU
Kwanza nikupe pole na majukum yako ya kila siku nami binafsi nasema asante mungu kwa kuendelea kunilinda na mpaka mda huu nipo wa buheri wa afya ya kutosha na naendelea na majukum yangu kila siku mkuu
Dhumuni langu hasa kwa uzi huu kwako ni moja yahani kutaka ufafanuzi na ieleweke sio...
Habari za wakati huu wanajamvi, kwa muda mrefu nimekuwa nikijaribu kuangalia na kutazama mtifuano ambao umekuwa ukijitokeza mara kwa mara baina ya polisi na mahali wanapokuwapo viongozi wa chadema.
Tukilejea matukio machache kuanzia maandamano ya wanachadema mwaka 2012 jijini Arusha, uvamizi wa...
Kwa muda mrefu sasa hapa Jf kumekuwa na mpambano.mkali Sana wa hoja Kati ya digba sowey na Mshana Jr kuhusu masuala ya ulozi na Uchawi huku kila mmoja akijinasibu kuwa na ufahamu mkubwa kuhusu taaluma ya ulozi kuliko mwenzake.
Tusiandikie mate wakati wino upo, Jesus is Here, John the...
Ama kwa uhakika mkuu Mshana jr leo umetuangusha bhana.
Baada ya kukusoma katika ule uzi wa Bawacha pale Mlimani City kwamba leo Mnyama hapakatwi bali anauwa, si ndio nikaagiza bia zangu kusherehekea ushindi lakini yaliyojiri wewe mwenyewe umeyashuhudia.
Kamanda mshana jr leo umeniangusha!
Habari za mida hii wapendwa
Mimi ni wa kwanza kuzaliwa katika familia ya watoto wawili. Katika makuzi yangu tokea Primary School nilikuwa naishi kwa style fulani ya kujitenga tenga na wenzangu. Ikafika kipindi wenzangu niliokuwa nikisoma nao shule wakawa wananiita mimi mchawi.
Kwa mfano labda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.