mshana

Mshana was an entertainment magazine based in Cape Town (with an editorial office in Sandton) aimed at South African urban youth.

View More On Wikipedia.org
  1. Mshana JR kuhusu ombi langu kwako

    Japo ni mida ya wanga na wengi wamelala ila walio macho shikamoonii Mshana Jr pengine muda huu umelala ila sio mbaya kutakucha na utaamka(uamke salama kabisa) Anyway nakumbuka niliomba mazungumzo binafsi nacwewe mkuu mshana(PM) na kwakuwa umefunga PM basi uliniahidi utanicheki na nimekuwa...
  2. Ubunifu wa ukumbi wa sherehe msituni;Tumuunge mkono mshana jr kwenye topics zake za ubunifu

    Huyu mshana ni kichwa sana mwisho wa mwaka akija kupewa tuzo ya content bora za ubunifu msije kuona kapendelewa tusimnyanyase tumpe maua yake aiseee. Kitambo sana sijapost kwa mwezi wote wa pili nilikuwa busy sana kuwabembeleza kuku wangu wanitagie na kutonoa mayai na kweli wamefanya hivohivo...
  3. JE ? MSHANA jr ALIACHA ULOZI KWA HIALI??

    Heri ya jumapili: Jana juzi bhn Kuna jamaa yangu alipata kesi kubwa hapa dsm sasa katika kuhangaika jamaa wakashauri twende Kwa msisi tanga tukaroge tuokoe jahazi safari ya watu watatu ukaanza tumefika handeni tunaelekezwa Kwa msisi kumbe ni ndani ndani kabsa...
  4. Picha hii ni special dedication kwa Mshana Jr, mwana JF nguli asiye na mfanowe

    Mr. Warthog is untouchable.
  5. B

    Nina shida na mshana jr

    Habar , naomba mshana jr uonapo uzi huu ni dm plz plz
  6. Je, Mshana yuko wapi?

    Ametoweka nyumbani toka mwezi wa pili tumetoa taarifa polisi ya hapa Los Angeles atakaemuona atoe taarifa kwenye mamlaka husika. Asanteni.
  7. Johnson Mshana ahukumiwa miaka 25 kifungo cha nje kwa kujaribu kuvunja gereza la Halden nchini Norway ili aingie ndani

    Johnson Mshana (28) amehukumiwa miaka 25 kifungo cha nje kwa kujaribu kuvunja gereza la Halden nchini Norway ili aingie ndani. Mshana ambaye aliachiwa huru mwezi mmoja ulipita kutoka gereza hilo baada ya kutumikia kifungo cha miaka mitatu kwa kosa la uharibifu wa mali kwa makusudi na pia kabla...
  8. Mshana Jr in Sweden

    Nigerian guy living in Sweden smartly married a Swedish lady, so as to be legally certified with resident permit, but the lady was not aware of this. He lied to the lady that he is from Kenya because of the bad reputation of Nigerians in that part of Sweden. After their wedding, the lady...
  9. W

    Namtafuta jamaa anaitwa Mshana Jr

    Namtafuta Sana Mshana Jr, nimejaribu kumcheki PM ila haikubali kutuma
  10. N

    Nani apewe maua yake kwa review kali za magari: Abel Shoo wa east cars, Dr. Mechanics, Mshana Jr au Samatimes

    Nani apewe maua yake kwa review kali za magari: Abel Shoo wa East cars, dr.Mechanics, Mshana jr, Samatimes
  11. Je, Geita ina fursa gani?

    Wakuu nataka kuja Geita vipi wakuu naweza pata mwangaza kidogo chocjote mtu anafamu? Aidha lodge bei nafuu, mishe nknk
  12. Vile ninavyohisi kuhusu member Mshana Jr

    1. Nahisi Mshana Jr ni huyo wa kwenye avatar. 2. Nahisi anafanya kazi ya kuhifadhi miili ya marehemu kwenye hospitali moja hapa mjini. 3. Nahisi ni mtu katili sana kwa maiti yaani kuna muda anazipiga makofi huku anafoka. 4. Sidhani kama panya wanakatiza karibu yake.
  13. Serikali watu wenye akili Sana Kama Mshana Jr, Bams, Robert Heriel kwanini msiwatumie wakaipeleka nchi Mbele?

    Hii nchi yetu inaonekana hipo Katika dimbwi la Umasikini mkubwa kwa kukosa watu wenye MAARIFA ya kuipeleka nchi Mbele. Mtu Kama Mshana Jr Robert Heriel Mtibeli Bams Kwanini msiwaingize huko serikalini wakaisaidia nchi yetu kuvuka baada ya miaka 60 ya kuogelea Katika umasikini uliotukuka...
  14. E FM wachukueni Bujibuji, Mshana Jr na GENTAMYCINE, radio itabadilisha direction na kuleta ubunifu mpya

    Hebu fikiria hapa una GENTAMYCINE , kushoto una Mshana Jr na katikati kakaaa mkaka wa haja, Bujibuji Simba Nyamaume , Simba halisi wa kiume. Watu wanataka kusikia madini, fanya mabadiliko bro Majizo
  15. Role model wangu ni Dr Issack Maro na Mshana Jr

    Dr Issack Maro wa Clouds :FM na Mshana Jr wa JF Hawa ndo vijana wanaojitambua hapa Tanzania, Elimu zao wanazifanyia Kazi vizuri naomba wazazi muwatumie hawa vijana Mshana Jr na Issack Maro Kama mfano Bora wa Jamii.
  16. Mshana Jr. ndiye mwanaume mwenye mvuto kuliko wote JamiiForums

    Ramadhan Kareem. Bwana Mshana Jr ndiye mwanaume mwenye mivuto kuliko wote hapa jamvini. Mshana Jr huwezi kumuweka kwenye viwango vya kina mpwayungu village , GuDume, @dr hayaland nk. Mshana Jr ana post zenye wachangiaji wengi kuliko maelezo. Post zake zina madini makali, na amekuwa jukwaani...
  17. Wapare tunajivunia Mshana, Wanyakyusa Bujibuji, Wahaya GENTAMYCINE na Wasukuma Paskal Mayala

    Sisi wapare wa jf tunajivunia Mshana Jr wanyakyusa wanajivunia Bujibuji Simba Nyamaume wahaya wanajivunia GENTAMYCINE na wasukuma wanajivunia Pascal Mayalla. Ni hayo tu kwa leo.
  18. D

    Je, unakubali ndoa au unakataa?

    Wakubwa shikamoni kuna debate inaendelea hapa jamii Forums baina ya team mbili 1) KATAA NDOA 2)KUBALI NDOA Kwa upande kataa ndoa muwakilishi ROBERT HERIEL aliandika uzi huu "Hakuna umuhimu wa ndoa karne hii kwa sababu hizi" Kwa upande wa kubali ndoa ni MSHANA JR Kaandika uzi huu "Malezi...
  19. Hongera Mshana Jr

    Napenda sana uandishi wako na uwasilishaji wa nyuzi zako hakika umestahili kuibuka mshindi katika Jukwaa hili nina mengi ambayo nimejifunza kupitia nyuzi zako, hasa tiba ya Chumvi hongera sana ila nipe mbinu ya kumiliki pesa na kujikinga na wachawi😂😂
  20. Joka la vichwa viwili ndani ya msingi wa jengo lililoanguka na kuua watano Marangu

    Kwema ndugu yangu Mshana Jr mwandishi nguli wa habari za watu wa kuzimu. Tafadhali naomba ufafanuzi wa hili... Juzi kuna jengo la ghorofa lilidondoka na kupelekea kupoteza maisha ya vijana wetu wasiopungua 5 kwa mujibu wa ripoti za uchunguzi. Sikubahatika kufika kwa eneo la tukio lazima...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…