mshindi

On May 28, 2016, a three-year-old boy climbed into a gorilla enclosure at the Cincinnati Zoo and Botanical Garden and was grabbed and dragged by Harambe, a 17-year-old western lowland gorilla. Fearing for the boy's life, a zoo worker shot and killed Harambe. The incident was recorded on video and received broad international coverage and commentary, including controversy over the choice to kill Harambe. A number of primatologists and conservationists wrote later that the zoo had no other choice under the circumstances, and that it highlighted the danger of zoo animals near humans and the need for better standards of care.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania INSPEKTA SALIM HUSSEIN NG'ANZI, MSHINDI WA TUZO YA KISWAHILI YA SAFAL YA FASIHI YA AFRIKA 2025/ 2026 ALIKOTOKEA, ALIPO SASA, ANAKOKWENDA.

    Anaitwa Salim Hussein Ng'anzi. Jina lake kwa sasa siyo geni barani Afrika hasa ukanda wa nchi zinazozungumza Kiswahili, yaani Tanzania, Kenya, Uganda, Kongo DRC, Rwanda na Burundi. Hii ni mara tu baada ya kutwaa Tuzo ya Kiswahili inayohusisha Bara la Afrika, hususan mataifa hayo tajwa...
  2. JamiiForums Tanzania Nilipokuwa chuo kikuu kuna jamaa alimtoa lecturer mtukutu nje , Lema vs Mange , Lema ni mwanasiasa Mange ni mwanaharakati, jasiri ndio mshindi

    Miaka ya 2010s nikiwa chuo fulani mkoani Morogoro, darasani tulikuwa wanafunzi zaidi ya 200, kulikuwa na. Freshers pamoja wanafunzi waliotoka makazini wanajiendeleza kimasomo miongoni mwao kulikuwa na askari jeshi lakini hakuna hata mmoja aliyeweza kuukataa unyanyasaji wa yule lecturer mtukutu...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Nani atakuwa mshindi wa SAKHAROV AWARD

    sakharov prize 2026 The European Parliament has named the three finalists for the 2026 Sakharov Prize for Freedom of Thought: [1] 2026 Finalists (Alphabetical Order) The International Criminal Court and its officials (nominated by the Socialists and Democrats - S&D) [1, 2] Tundu Lissu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Miss Grand International: Je, Jihan Dimack kuibuka mshindi na kutwaa taji la 2026 baada ya kufanikiwa kutinga top 4?

    MISS GRAND INTERNATIONAL 2026: TANZANIA TUMEFIKIA WAPI, TUTAPATA NINI NA MSHINDI ANAPATIKANAJE? Wakuu, siku hizi nimeona kampeni ya Miss Grand Tanzania, Jihan Dimack, ikishika kasi sana kwenye mitandao ya kijamii ambapo watu mbalimbali hasa watu maarufu wakiongozwa na Niffer{ Jenifer Jovn...
  5. JamiiForums Tanzania Thierry Henry: Mbappe ni mshindi wangu wa Ballon d'or

    Thierry Henry amemtaja Kylian Mbappé wa Real Madrid kuwa Ananafasi Kubwa kushinda Tuzo ya Ballon d’Or 2026. Akimzungumzia kwenye UCL Today (CBS Sports Golazo), alisema Messi angeshinda tuzo hiyo kama angeshinda Kombe la Dunia. Michael Olise “hayuko mbali,” lakini “Kylian ndiye chaguo langu.”...
  6. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu historia itamkumbuka mshindi tu, haijalishi alifanya vigisu kiasi gani kukushinda au kukudidimiza wewe, kwa hio jitahidi usife kikondoo

    Muachie mark awe anaikumbuka. Wanyanyasaji wa ndani huwa wana invest sana nje ili ku-modify heshima yao. Ila wewe mnyanyaswaji utaonekana boya na mdhaifu.
  7. JamiiForums Tanzania Africa tuna viongozi wa ajabu sana. Malawi wamempeleka mtoto wa waziri kushiriki shindano la Miss World, badala ya mshindi halisi wa taji hilo

    Malawi sent the minister’s daughter to Miss World. Not Miss Malawi. Thandi Chisi won Miss Malawi in December. That’s the title. The trip should have been hers. It wasn’t. Organisers sent Ireen Navicha first runner-up, daughter of Gender Minister Mary Navicha. Miss World listed her as Malawi’s...
  8. JamiiForums Tanzania Tukifuata hatua hizi kila sekta itakuwa MSHINDI

    SMALL MIND CREATE A GAP–LAKINI VISION KUBWA HUUNDA MFUMO UNAOFANYA KILA UPANDE USHINDE Kama Mtanzania mwenzako, wacha nami nitie neno kwa kutumia kalamu ya wino wangu. Nimesikiliza hoja. Nimesoma maoni. Nimeangalia reaction za watu waliokubaliana na waliopinga. Na nimegundua kitu kimoja...
  9. JamiiForums Tanzania Kwa wataalamu wa lugha, ipi ni sahihi kati ya "aliyemaliza nafasi ya pili, mshindi wa pili au mshindwa wa pili"?

    Hii ni kwa wataalamu wa lugha au mwenye uelewa wa hili, kwani nimekuwa nikisikia lakini sijajua lipi ni sahihi. Mtu anayemaliza mashindano katika nafasi ya pili anapaswa kuitwaje? Je, ni “mshindi wa pili,” “mshindwa wa pili,” au “aliyemaliza nafasi ya pili”? Wataalamu wa lugha, lipi ni sahihi...
  10. JamiiForums Tanzania Nani mshindi?

    Salam. Je, ninani mshindi kwenye hili?! Ni yule alieitisha maandamano na (hayakutokea), au serekali iliyo apa kuzuia maandamano na (hayakutokea).? KUMBUKA: serekali imetumia gharama kuzuia, Alieitisha maandamano hajatumia gharama yeyote.. Amani iwe nanyi.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mshindi anapata zawadi ya milioni 500

    Ndugu zangu wa jamiiforum nimeona nisiwaache bila kuwapatia zawadi nzuri member wa jamiiforum na Leo nahitaji mwenye wazo zuri la biashara atoe hapa jukwaani atumbie nikimpa milioni 500 atafanya uwekezaji gani na kwa muda gani ataweza ku double mtaji. Mshindi atakayekuja na wazo zuri...
  12. JamiiForums Tanzania CCM yaibuka mshindi uchaguzi Isimani

    Mgombea Ubunge wa Jimbo Ismani Emmanuela Mtatifikolo ametangazwa Mshindi na Tume ya Taifa ya Uchaguzi baada ya kupata kura 70,905 sawa na asilimia 93.5 katika Uchaguzi uliofanyika Juni 1/2026. Uchaguzi huo umefanyika katika Jimbo la Ismani ambalo Lina Tarafa tatu ikiwemo Ismani, Idodi na Pawaga...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Leta methali, akikosekana wa kukujibu wewe ndiye mshindi

    Lugha yetu ya kiswahili ina methali nyingi sana ambazo si watu wote wanazijua au kuzitumia. Nitaanza kwa kuweka methali rahisi na maarufu sana, kisha ukinipa jibu toa yako au zako unazojua wengine wakijibu nao watoe zao, hapa kuna watu watajifunza na kuanza kuzitumia wasizojua. La kuvunda...
  14. R

    JamiiForums Tanzania NIULIZE SWALI: Hii vita ya USA, Israel vs Iran, nani mshindi?

    Mbabe ni nani? Naona kama vile Iran anawapelekesha puta hawa magwiji wa kila kitu duniani! WHO IS THE WINNER Echolima1
  15. JamiiForums Tanzania Mshindi wa kwanza kuondoka na 30M (Vijana uchumi challenge)

    Ofisi ya Rais - Maendeleo ya Vijana imeandaa Shindano la Vijana Uchumi Challenge lenye kauli mbiu ‘Wana tunafikiri, Taifa linasonga’. Shindano hili linalenga kukuza Mawazo ya vijana, yenye ubunifu, yanayotekelezeka na endelevu katika kulinda na Kukuza Uchumi wa Taifa letu dhidi ya athari za...
  16. D

    JamiiForums Tanzania PhDs zimechemka; Marehemu amedhalilishwa; wamchukiae ameibuka mshindi tena!!

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania. Hoja yangu ni fupi na rahisi tu kueleweka. PhDs zimechemkaje? 1. Kumkamia wasiyempenda zaidi badala ya Faraja kwa anayeagwa na Wanafamilia. Maudhui yote pale, hata kwa mwenye akili kama kisoda (yaani zile za nyumbu wa wanasiasa flani)...
  17. JamiiForums Tanzania Kitu nilichojifunza after marriage mwanamke ndo kiumbe mshindi katika hayo mahusiano

    Wadogo zangu mnaotaka au mnaokimbilia kuoa hii siri pekee ila ukweli ni kwamba marriage ni vita katik ya mwanamke na mwanaume Before marriage mwanaume unaweza ukamfanya chochote kile mwanamke wako Lukweli ni kwamba after marriage mwanamke tiyali ameshakushinda na ukitaka kujua hilo angalia...
  18. JamiiForums Tanzania Hassan Mwakinyo ameibuka mshindi kwa knockout (KO) dhidi ya mpinzani wake, Eribo kutoka Nigeria, baada ya kumaliza pambano mapema raundi ya pili

    Wadau hivi hili pambano la mwakinyo ni kweli au kiini macho?
  19. R

    JamiiForums Tanzania Mzee Butiku elewa kuwa, Ili mshindi apatikane, ni lazima shindano liwepo, Oktoba 29 ilikuwa siku ya mauaji ya halaiki

    Nakusalimu Mzee, Ulichokisema siamini kimetokana na umri wako kuwa mkubwa kwamba unapoteza uwezo wako wa kuchanganua mambo. Ukimuuliza mtanzania yeyote mbali na Hawa wauwaji kwamba siku ya October 29,2025 kulikuwa na tukio Gani kubwa nchini? Utajibiwa kuwa, October 29 ilikuwa siku rasmi ya...
  20. JamiiForums Tanzania PostGE2025 D9: Kwenye vita ya ngangali na ngunguli hakuna mshindi

    Upo msemo usemao kuwa VITA HAINA MACHO! Usemi huu unatokana na ukweli kwamba risasi zikishapigwa hazibagui nani anahatia na nani hana hatia. Machafuko yakisha fika hatua hii sirahisi tena kuyadhibiti. Yatazaa vicious circle ya visasi juu ya visasi kitakachofuata hatutakuwa na Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…