Habarini wana jamvi,
Nimeona hii niulize kwenu na nitatumia mfano mmoja ulionikuta.
Kwanza kabisa kipindi sijao, enzi hizo nina ubrothermen mwingi sana siku hizi nishazeeka japo under 40, nilipita sana na wadada ila nimegundua nilikuwa nachukua Bar, kwenye clubs na sehemu za chakula so it was...