Wakuu heshima kwenu,
Bila kupoteza muda niwe straight. Nipo kwenye mahusiano na msichana ambaye kimsingi ana maadili, mzuri wa sura na maumbile yake, tabia zake, anajua mapishi, ana akili kwa ufupi ana sifa zote za wife material.
Sasa huyu binti hivi karibuni amepata sana bahati za watu ambao...