msichana

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nimeanza kumpenda msichana mwingine

    Kuna binti nimeanza kumpenda najitahidi nisimpende tatizo hisia zishalalanae mbele, kwa yule wa kwanza tulieachana alinichezesha muvi la kihindi huyu sasa sijui itakuwaje. Sina mengi ila tuombeane tu mambo yaende safi maana mpaka hivi sasa naona nina degree ya kuumizwa moyo wangu nao unazidi...
  2. Sitaoa mwanamke mwenye mtoto Ila nitaoa msichana asiye na mtoto. Na huyu Muingereza ndio na muandaa

    Mimi DJ. DON NALIMISON Ni Mwanamuziki hivyo lazima nioe Mwanamuziki. Mimi Ni producer wa Muziki hivyo lazima nioe producer ili mipango yangu ikae sawa. Mke wa kufanana naye katika makubaliano. Kama wote ni wasanii mtaishi na kuelewana na kuendana kitabia maana mko field moja. Mimi Sina mtoto...
  3. R

    SoC01 Shairi: Hili Neno "Ukatili"

    Salaam! Utenzi huu unabeba dhima ya neno "Ukatili" ambalo limekuwa likitajwa sana, lakini watu wengi wameshindwa hasa kuelewa neno hilo lina maana gani. Shairi hili lipo katika mtindo wa masimulizi kuhusu matukio ya ukatili yanayotokea ndani ya familia, ambapo mabinti yatima mapacha waliokuwa...
  4. Anatafutwa msichana wa kazi - kuuza duka - anaeishi kwao mikocheni "A" karibu na "Palm village" mwendo wa kutembea

    Msichana wa kwa ajili aje auze Duka la makasha ya simu na charger nk. Awe anaishi kwao umbali wa kutembea tu karibu na pale PALM VILLAGE Mikocheni A ili mambo ya nauli yasiwepo. Malipo kwa mwezi ni shs.100,000/- (laki moja Tu) kwa kuanzia. contact 0628501029 Asanteni.
  5. Unapo-chat na girlfriend wako kwa style hii

    Wewe:Oya! Yeye:Niambie! Wewe:Mzima? Yeye:Mimi mzima wewe je Wewe: Niko poa Yeye:Okay KUNA JAMAA MWINGINE YUKO ONLINE ANA-CHAT NA MSICHANA HUYO HUYO KWA STYLE HII: Jamaa:Mambo mrembo wewe Msichana:poa mzima wewe? Jamaa:Mimi Niko poa kabisa halafu kila nikipata nafasi ya kuchat na wewe...
  6. Mwanaume huko Senegal avalia kama msichana kumfanyia mpenzi wake mtihani

    Mwanafunzi wa chuo kikuu huko Senegal yuko amejipata mashakani baada ya kuvalia kama mwanamke ili kumfanyia mpenzi wake mtihani wa somo la Kiingereza. Picha za Khadim Mboup akiwa amevalia nguo za wanawake zimesambazwakatika mitandao ya kijamii na katika vyombo vya habari nchiniSenegal...
  7. Naongea na msichana au binti

    Upendo sasa hivi katika mahusiano ya kimapenzi, bila kuwa na MUNGU ndani yako hesabu ni maronyaronya. Jione uko sokoni tu unasagulasagula. Tena soko la kikundi morogoro Usijipe uhakika hata robo vinginevyo umeamua kumuishi MUNGU kwa kufata sheria na amri zake. Mambo mengi yamebadilika, nyakati...
  8. SoC01 Manka binti mrembo, Mzaliwa wa Machame na mkazi wa Tandale alivyobahatika kuacha ukahaba mpaka kuwa dereva Ikulu

    Kwa majina naitwa Manka, Mzaliwa wa Moshi Machame, mkazi wa Tandale Dar es salaam. Nilifanikiwa kuanza masomo yangu ya msingi Dar, na kufanikiwa kujiunga masomo ya Sekondari shule wanafunzi wenye vipaji maalumu Tabora Girls, ambapo nilisoma mpaka kidato cha nne, na kufanikiwa pia kuendelea na...
  9. Mambo ya kuzingati wakati unamnunulia msichana zawadi

    MAMBO YA KUZINGATI WAKATI UNAMNUNULIA MSICHANA ZAWADI 1. Vyema ufahamu aina gani ya zawadi msichana hupendelea. Yaani inafaa ujue interest za msichana wako. 2. Zawadi utakayompatia isiwe chakula au kinywaji atakachokimaliza na isibaki kumbukumbu ya kudumu kuwa uliwahi kumpa zawadi. Jiahidi...
  10. Paula anaweza kuwa msichana mwenye mafanikio mpaka dunia ikashangaa

    Nimeona mitandao ikimbeza sana Supastaa wetu mpya wa kike Tanzania mtoto wa Kajala aitwae Paula. Wengi wanamchukulia Paula kama mtoto wa kike aliyeshindikana na amepoteza uelekeo wa maisha. Wengine sababu ya elimu sababu hakufanya vizuri darasani. Na kuna wanafki wanasema kaanza mapenzi akiwa...
  11. Msaada: Nimempenda Msichana ambaye hapendi Mwanaume mwenye mtoto. Mimi ninaye mtoto ila hafahamu

    Imepita takribani wiki, nilkutana na msichana mrembo anasajili laini, style ya kuingilia nikasajili laini, nikaomba no. aliniona smart sana maana nilimpgsha story za madini. Ni msichana mrembo sana ana umri wa miaka 19, kamaliza form 4 2019, ila anaonekana n mschana mpambanaji, nljarbu kugusia...
  12. Zanzibar: Msichana wa kazi abakwa na Boss wa Miaka 74, Polisi wadaiwa kupoteza Ushahidi

    MSICHANA WA KAZI KABAKWA NA MZEE WA MIAKA 74 AMBAYE NI BOSS WAKE MKAZI WA BUBU, ZANZIBAR, POLISI WADAIWA KUPOTEZA KESI! Mheshimiwa Rais Hussein Mwinyi aombwa Kuingilia kati sheria ifuate mkondo Bubu, Zanzibar. Mzee Sadalla Juma Sadalla mwenye umri wa miaka 74 mkazi wa Bubu, Zanzibar...
  13. Arusha: Mtanzania afika kilele cha Mlima mrefu zaidi duniani, Mlima Everest

    Binti wa Kitanzania Rawan Dakik, (20) aliyepanda mlima Everest ambao ni mrefu kuliko yote duniani, ametua nchini na kupokelewa na Naibu Waziri, Wizara ya Maliasili na Utalii, Mary Masanja kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro, (KIA) ambaye amemtangaza kuwa Balozi wa utalii ndani na...
  14. Msichana wa kuwa naye kwenye mahusino anatahitajika

    Kama wewe ni msichana mzuri na upo Morogoro Mjini (Municipal) basi njoo PM tuyajenge. Umri usizidi miaka 22, Dini ni yoyote ile Elimu, kama umefika IV na ukajiendelezaendeleza kidogo you derseve, mimi mwenyewe ni damumbichi Niko under 25yrs na Elimu yangu Niko na Bachelor's Degree. Karibu...
  15. Msaada: Nahofia nitakuwa single milele

    Nina miaka 20, lakini sijawahi kuwa kwenye mahusiano na msichana yeyote. Siko romantic kabisa. Sina aibu lakini najikuta nashindwa kutabasamu mara kwa mara na msichana jambo linalopelekea wengi wao waniogope. Ninatumia njia ya kufanya mazoezi kupunguza hisia za mapenzi, sijisikii vibaya kuwa...
  16. Makosa kwa kijana anapomtumia ujumbe mfupi mwanamke

    Wakati kila siku mara moja au zaidi huwa tunawatext wanawake. Aidha wawe ni wapenzi wetu, tunaowatongoza ama marafiki zetu. Na kila siku huwa tunapatwa na changamoto mbalimbali kutokana na matangamano yetu. So huwa kunakosekana nini? Ifuatayo ni orodha ya mambo 5 makuu ambayo wanaume wengi...
  17. Sina hamu ya kuendelea na mchakato wa ndoa tena

    Za jioni wakuu, Bila kupoteza muda kama kijana nilipata demu tukaenda sawa na process zote za ndoa ziko tayari bado mwezi mmoja tu ila cha ajabu kila nikimuona saa hivi naona hanivutii kabisa kila siku namtafutia sababu lakini anapangua maskini dada wa watu analia kila Siku sijui nimepatwa na...
  18. Msichana wa 36 anasumbuliwa sana na Maumivu ya Kiuno. Afanye nini?

    Wakuu kwema? Tunaomba msaada wa kitabibu/ ushauri ili huyu mwanamke apone. It's more than 5 years ila saiz hali ndio inazidi kuwa mbaya Zaidi, huyu ni binamu yangu analalamika kuumwa na kiuno na sehem ya chini ya mgongo. Ameenda hospital wanamwambia tatizo hilo limesababishwa na uzazi na kuanza...
  19. Naanzaje kumtongoza huyu msichana aliyekuja ofisini kwetu?

    Ndugu zangu tusaidiane swaga apa kidogo. Leo ofisini kuna msichana alikuja, mimi nilitoka ile narudi ndo nikamuona pale. kwa ule uzuri nikashindwa hata kusalimia sasa baada ya yeye kuondoka ikabidi nikaangalie namba yake kwenye daftari la maudhurio niko nayo apa sjui nianzaje.
  20. Ku-date msichana aliye na umri kuanzia 27 na kuendelea raha sana, chini ya hapo stress mwanzo mwisho

    Habari za wakati huu, watu wangu wa nguvu hapa jukwaani, Jukwaa pendwa sana la MMU. Niwape pole ndugu na jamaa ambao siku yao imewamendea vibaya kwa namna moja au nyingine. Acha niende kwenye mada yangu, kwa sasa nina date mdada mmoja hivi yuko 28 hivi, huyu mdada anajitambua na pia anajua nini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…