Habari wana jamvi, kama ilivyo heading hapo juu. Natafuta mtu ambaye yupo serious, committed, experienced and devoted; aje awe manager wa shamba.
Shamba lipo Namtumbo Ruvuma.
Note:
1. Shamba ndio linaanzishwa
2. Lita include mifugo kama kuku wa
kienyeji, Bata na mbuzi.
3. Mradi wa kilimo...
Msimamizi wa uchaguzi mdogo kata ya chipuputa jimbo la Nanyumbu amekamatwa akiwa na kura feki Lakini jeshi la polisi limemlinda, na pia baada ya katibu wa ACT-WAZALENDO mkoa wa Mtwara kuhoji tukio hilo amekamatwa na jeshi la polisi kwa maagizo ya OCD wilaya.
Demokrasia iko wapi au tume huru iko...
Ndugu wana Jukwaa, juzi January 31 Rais Mama samia Alikua Nyamagana Mwanza kwaajili ya kugawa vizimba na mitumbwi ya kisasa kwa wavuvi zoezi ambalo lilifanyika kandokando ya ziwa victoria na baadae Mh Rais alikuja Uwanja wa Nyamagana kwaajili ya kuzungumza na wananchi waliokua wakimngojea Mh...
1. Ni mbaguzi wa Wachezaji
2. Alimkataa Clement ( Warid ) Mzize asiichezee Taifa Stara kwakuwa tu alikataa awe Wakala wake
3. Ni Mtu wa Majungu, Mfitini na Muongo
4. Amechangia pakubwa kwa Mchezaji Simon Msuva kupata matatizo ya kutochezea Timu Kubwa nchini Algeria kutokana na kumkataa asiwe...
Kodi za Mtanzania hazijawahi kuheshimiwa na hii kwa kuwa kitabu alichokiita mama kinatoa Mwanya huo. Ukiangalia katiba ya JMT ibara ya 137.-(1) Rais atatoa maagizo kwa watu wanaohusika kuandaa na kuwasilisha kwenye Bunge katika kila mwaka wa fedha wa Serikali makadirio ya mapato na matumizi ya...
Dkt. Damas Ndumbaro, Waziri wa Katiba na Sheria anaeleza namna ambavyo siku hizi wasimamizi wa mirathi ambao hawapo kwenye mirathi wanavyodhulumu wahusika haki zao kisa yeye anasimamia mirathi.
Sheria ya Ndoa haiongelei mahari
"Kimila ndoa ni suala la utamaduni, kisheria ndoa haiongelei suala...
Sifahamu iwapo naeleweka vizuri. Kama nitakuwa nje saana mtaniwia radhi. Kuna mambo yananipa kuchanganyikiwa na nisijue lolote!
Mambo ya wazanzibari, yanasimamiwa na serikali ya Zanzibar na yanakuwa ya wazanzibar kwa sababu serikali yake ipo inayasimamia!
Mambo ya watanganyika hayana msimamizi...
Pale anayetangaza na kusisitiza "Kila abiria afunge mkanda wa usalama, basi haliwezi kuondoka kama kuna mtu hajafunga mkanda wa usalama"
Yeye mwenyewe amekaa sehemu isiyo na mkanda wa usalama wala sehemu ya kufunga kamba kujikinga asitokee kwenye kioo ikiwa zitafungwa break za ghafla.
Pale...
Kazi: Msimamizi wa Ofisi
Mahali: Moshi - Kilimanjaro
Majukumu
Kusimamia shughuli za ofisi
Kutunza hesabu za ofisi
Kufatilia mambo ya ofisi kwa wadau mbalimbali
Sifa
Elimu ya kidato cha sita na lazima awe na ufaulu wa somo la hesabu kuanzia alama 'B'
Akiwa na cheti cha masomo ya biashara au...
Leo mtoto wangu wa darasa la nne kaniletea barua kutoka shuleni kwao kwamba eti yafaa zaidi awe anabaki huko huko shuleni boarding asiwe anarudi nyumbani. Nikiwa kama mzazi wake hii barua ilinipa hasira sana, hhizi shule za sikuhizi wametanguliza sana pesa kuliko watoto wetu, Kuna kipindi...
Habar za majukumu wanajamvi,
Kama mnavyojua tupo katika kipindi cha usaili wa sensa ktk nafasi mbalimbali. Basi bwana juzi usiku mida ya saa tano kasoro nilitumiwa messege kuwa saa 8.00 am tar 19/7 natakiwa kwenda usaili wa sensa ktk nafasi ya msimamizi wa TEHAMA Kama nilivyoomba.
Bahati mbaya...
Rais Samia leo amesema amewaondoa kwenye baraza la mawaziri Lukuvi na Kabudi ili wabakie ikulu kuwasimamia (kuwachapa viboko!) mawaziri wengine wote. Pia Rais Samia amesema nafasi za Kabudi na Lukuvi haziko popote kwenye muundo wa serikali (yaani haziko kikatiba).
Sasa hoja iko hapa.
Katika...
Kwanza kabisa, mapambano yaendelee siku ya kufanikiwa ipo tu, tusikate tamaa.
Mfano huu utajumuisha Biashara nyingi Sana, kwa hiyo wewe mwenyewe utakuwa unalinganisha na Biashara yako.
Naomba nianze na mfano wa Duka liwe ni la vitu ambavyo unaweza ukavitumia nyumbani kwa matumizi ya kila siku...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.