Hivi nyie CHADEMA ni nani aliye waroga?
Anaandika Almaliki Mokiwa.
Katika nchi yetu ya amani (Tanzania) tumebarikiwa kuwa na vyama vingi vya siasa, wakati ACT, CHAUMA, CUF na vyama vingine kama CHADEMA vikiwa vyama pinzani, na CCM kuwa chama tawala, CHADEMA imejitanabaisha kuwa chama kikuu...