Miaka miwili tu lakini taifa letu lina hali mbaya baada ya hili genge kukamata usukani.
Maisha ya watanzania yanatia huruma. Uwezo wa kula hata mlo mmoja ni ngumu kwa kila kaya.
Watanzania wanachangishwa tozo, ushuru na kodi za kila namna lakini hawaoni yanayofanyika.
Tril 1.3 za foreign...
Lambert alimuuliza Lissu swali la kushtukiza kuhusu msimamo wake kuhusiana na vita ya Drc na Ukraine kama angebahatika kuwa Raisi.
Lissu alijibu kwa kifupi kuhusu Drc kwamba suluhisho ni kuunganisha nguvu za nchi majirani ili kupata amani nchini humo.
Kuhusu vita vya Ukraine Lissu aliibua hoja...
Masuala ya bei ni masuala yanayohusu uchumi wa soko, yaani bei huwa inaamuliwa na nguvu za demand and supply au huwa tunaita 'Price mechanism'. Muasisi wa falsafa hii ni baba wa uchumi, na mwanafalsafa wa Uskochi Adam Smith kupitia kitabu chake kilichoandikwa zaidi ya miaka 240 iliyopita (1776)...
Hii ni taarifa rasmi kutokea Klabu ya Simba
Kocha Mkuu Roberto Oliveira ameondoka usiku huu kwenda nchini kwao Brazil kwa shughuli binafsi za kifamilia na anatarajiwa kurejea nchini mwishoni mwa mwezi huu. #NguvuMoja
Huyu mwamba ana msimamo sana. Walitaka kumpa bil 2 kuperform siku ya fainali jamaa akasema kama Beckham amekula bil 200 kuwa balozi basi yeye apewe bil 4 jamaa wakakataa, Diamond naye akachomoa kuperform.
Huu ni mfano mzuri kwa wasanii wetu kuwa na msimamo na vipaji vyao.
Ndugu zangu, ukifuata akili za CHADEMA na wana CHADEMA na viongozi wao lazima upotee, upoteze dira, muelekeo na kuchanganyikiwa. CHADEMA ni chama kisicho na msimamo, dira aala muelekeo, hakina misingi inayokiongoza na kusimamia.
Ni chama ambacho huwezi ukajua baada ya mwaka kitakuwa wapi na...
Angalia Drc wakati wa Mobutu wa Zabanga. Pamoja na utajiri wake wote ule raia wake waliishi kwa tabu na umasikini mkubwa. Mpaka leo hii imekuwa ni kama laana.
Huko Afrika ya kati mataiafa kama Niger ni aibu kwa Africa yetu.
Leo hii taifa kama Tanzania pamoja na kuwa na rasilimali lukuki...
Afrika tu ambapo haitoi nafasi Kwa viongozi wake watangaze kujihudhuru huku wakimlikwa na vyombo vya habari na kuelezea kila kimewasibu!
Kwa Africa na Tanzania, hiyo ni dhambi kubwa na adhabu yake yaweza kuwa ni kuuwawa Kwa amri ya viongozi wa juu!
Ilikuwa vigumu sana endapo ungeling'ang'ania...
Mkutano Mkuu wa 20 wa Wajumbe Wote wa Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) unafanyika mjini Beijing. Akihutubia katika ufunguzi wa Mkutano huo, Katibu Mkuu wa CPC Xi Jinping amesisitiza kuwa kuwanufaisha wananchi ni lengo kuu la Chama hicho, kauli ambayo kwa mara nyingine tena inaonyesha kwamba...
Shikamana imara na msimamo na usibadilishe msimamo kwa kuwa watu wengi wanakushambulia, au wanakasirishwa na maneno yako.
Maadam uko kwenye Haki, basi shikamana nayo na kuwa na msimamo, kwani Haki haishindwi (Na Baatwil).
Kwa hiyo, pigania (Haki) hata katika hali ya udhaifu (uko peke yako)...
Hata mgeni akija kwako ni lazima umuelekeze sheria zako, huwezi kumlaumu akifanya kitu alichoomba akifanye na ukamruhusu.
Rais wetu ni muislamu kwake hajui vitu vingi vya wakatoliki, achilia mbali hata ukristo kwa ujumla.
Tuelewane jamani, Rais kaenda Kanisani kakalia kiti chake Kwa sababu ya...
Nawashangaa sana viongozi wetu. Eti wengi wanasema hawataki kuchagua upande kati ya Urusi na Ukraine, hata kwenye mambo ya kura wanajitoa. Huu ni uoga na unafiki usiokubalika kwa viongozi wa nchi za Afrika.
Ndio maana nimesema siku zote Nyerere alikuwa mtu mwenye busara sana, alisimamia...
Siku mbili baada ya Padri Sostenes Bahati Soka wa Jimbo la Moshi, mkoani Kilimanjaro, kushtakiwa kwa ubakaji wa watoto watatu, Kanisa Katoliki nchini limesema limemsimamisha kutoa huduma za kiroho hadi tuhuma zinazomkabili zitakapomalizika.
Padri huyo aliyekuwa paroko wa Parokia Teule ya...
Wadau habari za muda huu poleni na majukumu na Mungu awabariki katika kazi zenu za mikono.
Twende kwenye mada moja kwa moja, kuna mwanamke mmoja mwenye miaka 34 hivi, hajaolewa, mtoto wa Kikurya, tulikutana naye nikamtumia rafiki yake kumtongoza kama utani tuu akakubali.
Basi tukawa wapenzi...
Serikali ya Tanzania imesema hakutakuwa na athari zozote za kiamzingira wakati wa utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirisha mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima Uganda hadi Chomgoleani Tanga, kwani tahadhari zote zilizingatiwa kitaalamu.
Waziri wa Nishati, January...
Serikali ya Tanzania imesema hakutakuwa na athari zozote za kimazingira wakati wa utekelezaji wa Mradi wa ujenzi wa bomba la kusafirisha Mafuta ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima Uganda hadi Chongoleani Tanga kwani tahadhari zote zilizingatiwa kitalaamu.
Waziri wa Nishati, Januari...
Nimesoma na kusikiliza maoni mbalimbali kuhusu nachoweza kuita kutowajibika kwa malezi kwa baba yake Ommy kwa mwanae.
Hapa nitaeleza mkasa unaonihusu mimi wa kutowajibika kulea mtoto wangu.
Mwaka 2001 binti niliyekuwa na mahusiano naye aliniambia kuwa ana mimba, sikuikataa.
Jirani a...
Mara kadha imekuwa ikisemwa eti akifariki waziri au rais na akizikwa wanasema eti hayati fulani cjuw kisa wadhifa.Mtu akifa amekufa hakuna cheo wote ni maiti.Sasa natangaza rasmi nami nikifa niitwe hayati fulani c marehemu fulani.Over
Naomba uzi huu tupeane matokeo ya ligi kuu pamoja na msimamo ulivyo kadri siku zinavyokwenda.
Hapa jukwaani matokeo ya mechi za Simba na Yanga huwa yanakuwa mubashara lakini mechi nyingine inakuwa tabu kufahamu matokeo na msimamo wa ligi.
Karibu tupeane taarifa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.