Siku mbili baada ya Padri Sostenes Bahati Soka wa Jimbo la Moshi, mkoani Kilimanjaro, kushtakiwa kwa ubakaji wa watoto watatu, Kanisa Katoliki nchini limesema limemsimamisha kutoa huduma za kiroho hadi tuhuma zinazomkabili zitakapomalizika.
Padri huyo aliyekuwa paroko wa Parokia Teule ya...