Wiki iliyopita, waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi alitaja masuala ya usalama ya Urusi kuwa "halali", akisema yanapaswa "kuchukuliwa kwa uzito na kushughulikiwa".
Siku ya Jumatatu, balozi wa China katika Umoja wa Mataifa Zhang Jun alikwenda mbali zaidi na kusema moja kwa moja kwamba China...