Msingi is an administrative ward in the Mkalama District of the Singida Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 6,439. According to the 2012 census, the population had increased to 7,289.
Mimba kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari limekuwa suala endelevu hadi serikali imebidi kuanzisha utartibu wa kuwarudisha shuleni baada ya kujifungua. Je kumekosekana mwarobaini wa hili tatizo?
Wewe kama mdau bainisha mbinu au mikakati mizuri inayoweza kutumika kupunguza au kutokomeza...
Habari!
Nilikuwa nikipiga survey matokeo darasa la saba . La haula , katika shule za setikali taktibani 6 nilizoangalia sijaona A ya hesabu.
Somo la Kiswahili kama kawaida yake ni miaka zaidi ya 40 ndilo linaongoza kufaulisha.
Sasa somo la Kiswahili la nini zama hizi?
Setikali imeshindwa...
Ni kwa ramani ya vyumba viwili sebule jiko na wash room.
Upana na urefu wa nyumba ni kama mita nane kwa saba na nusu.
Ila pesa ya fundi kaniambia ni 750,000. Sasa kabla sijazama, embu naombeni ushauri maa a mimi ndo mara yangu ya kwanza kujenga.
Hii ni fair ama napigwa? Msingi wenyewe...
1.Nurdin Bakari
2.Abdi Kassim Babi
3.Joseph Kaniki
4. Niko Nyagawa
5. Fredrick Mbuna
6. Juma Jabu JJ
7. Meshack Abel
8.Shamte Ali
9. Said Bahanuzi
10.Emmanuel Gabriel Mwakyusa
11.Mrisho Khalfani Ngasa
Hawa wakongwe nataka kujua kwa sasa wako wapi! je vilabu vina thamini mchango wao kwenye soka.
"Je, ni lini Serikali itamaliza mgogoro wa mpaka kati ya Handeni na Kilindi katika eneo la Bondo" - Mhe. Kwagilwa Reuben Nhamanilo Reuben Nhamanilo, Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini
"Serikali imekwishatatua mgogoro wa mpaka kati ya Halmashauri ya Handeni na Kilindi katika eneo la Bondo kwa...
Habari zenu.
Nimekaa hapa nimewaza Ni kwa Nini elimu yetu kingereza kisitumike kuanzia chekechea mpaka elimu ya juu.
Shida Ni Nini yaani Kuna watu wamekaa huko wakaona kuwa maarifa mengi yamevumbuliwa na waswahili ama Ni Nini.
Maarifa mengi mno yapo kwa lugha ya KIENGEREZA.
Mtoto akifika...
Kwa heshima na taadhima ninaiomba Serikali itenge siku maalum ya kuwapa wanafunzi wote wa shule za msingi na sekondari vidonge vya minyoo na kichocho. Leo nilikuwa nafanya mazoezi asubuhi nimekutana na wanafunzi wengi wakienda shuleni wengi niliowaona kwa kweli hawakuwa na afya nzuri...
Utangulizi.
Kuanza kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo imekuwa ni safari ndefu sana. Kwa wengine, imekuwa ni safari ya miaka mitatu. Kwa wengine, imekuwa safari ya miaka mitano. Na wengine huchukua miaka kumi (10). Ndiyo, hicho ni kipindi ambacho mtu hujiandaa kuanza umiliki wa ardhi au...
Habari!
Kila ninapojaribu kuangalia ilani ya chama na vipaumbele vya CCM (2020-25),nakuwa hopeless kabisa inaonekana behaviour approach is most likely katika chama hiki kikongwe nikipendacho kuliko preferences ambazo zilikuwa manifested kipindi cha uchaguzi ambapo RAIS MAGUFULi(party manifesto)...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Kamishina Msaidizi wa Polisi Benjamin Kuzaga ametoa elimu kwa Wanafunzi wa Darasa la Nne wa Shule ya Msingi Azimio iliyopo Jijini Mbeya ambao wapo katika maandalizi ya mwisho kuelekea mitihani ya upimaji ya Taifa inayotarajia kuanza kesho Oktoba 25, 2023 nchini...
Mtoto ni kama vile kazaliwa kwajili ya kusoma tu.
Tena siku hizi wameongezewa masomo na muda mwingi wapo shulenj, hawa ni watoto wenye umri mdogo kuliko hata sisi tulipokuwa shuleni, kumbuka siku hizi watoto wengi wanaanza la kwanza wana miaka mitano wanamaliza elimu ya msingi darasa la sita...
"USIPOTAJIRIKA TANZANIA HAKUNA SEHEMU UTAJA TAJIRIKA" Ni maneno niliyotamkiwa na moja ya rafiki yangu tuliesoma wote shule ya msingi leo hii tulipokutana na kupiga story zaidi ya lisaa, Yeye alipofika form 4 shughuli iliishia hapo.
Darasani na shuleni kiujumla nimewajua wahindi na waarabu kibao...
Mimi niliposikia sakata la ubinafsishaji wa Bandari ilibidi nifaatilie mataifa mengine ambayo yaligundua Bandari zao hazifanyi vizuri wakazibinafsisha sasahivi zinaongoza kwa kufanya vizuri.
Kwahiyo suala la Bandari kubinafsishwa ni jambo la busara na hekima ya hali ya juu na naamini damu na...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua daraja la Msingi na kuzungumza na wananchi wa Wilaya ya Mkalama mkoani Singida leo tarehe 16 Oktoba, 2023.
https://www.youtube.com/live/Sk3eDgwDVE4?si=IVZq6ptc4k0M_NPb
Daraja hili ni kiunganishi cha mikoa ya Singida na...
Wakuu,
Inasikitisha sana na kutia uchungu kuwa na Waziri mzigo kwenye wizara muhimu kama hii. Badala ya kuwa vinara wa kutetea uhuru wa maoni na kukinda taarifa binafsi na faragha za wananchi wenyewe ndio wanakuwa wa kwanza kuminya uhuru wa maoni, kuingilia faragha za watu na kutunga sheria...
MBUNGE MARY MASANJA AGAWA MAGODORO NA MASHUKA SHULE YA MSINGI MITINDO
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza, Mhe. Mary Masanja ameungana na viongozi wa Jumuiya ya UWT Misungwi katika zoezi la Ugawaji wa Magodoro na Mashuka kwa Wanafunzi wenye Mahitaji maalumu katika Shule ya Msingi Mitindo...
Mtoto ameondolewa/fukuzwa shule ya Serikali kisa hajui kusoma wala kuandika.
Mtoto huyo yupo darasa la tatu alikuwa anasoma shule ya kulipia sasa Baba yake kapunguzwa kazini na hivyo kumlazimu kumpeleka mtoto shule ya Serikali.
Lakini cha kushangaza baada ya miezi 3 mzazi anaitwa shuleni na...
Wasalaam.
Naombeni msaada wenu ndugu zangu, natafuta shule ya msingi ya bweni ya Kisabato katika mikoa hiyo tajwa, natanguliza shukrani zangu za dhati.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.