msingi

Msingi is an administrative ward in the Mkalama District of the Singida Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 6,439. According to the 2012 census, the population had increased to 7,289.

View More On Wikipedia.org
  1. Tunatoa wapi Elimu yetu?

    Tunatoa wapi elimu yetu au msingi wa elimu na mafundisho yetu ni nini? Hili ni swali muhimu katika kuelewa: moja elimu yenyewe, na pili mafundisho yanayotolewa na hiyo elimu. Katika kuelewa elimu yetu, utafiti unapaswa kuwa katika kuelewa mafundisho gani inatoa kwa wanaojifunza au...
  2. B

    ACT, CHADEMA na wenzenu, Msingi ni maslahi ya nchi siyo ya vyama

    Siasa hubadilika na siku hazigandi. Siyo siri tulipo leo, tunaweza kuwa tuko pema zaidi kiukombozi kuliko wakati mwingine wowote kabla. Ishukuriwe historia iliyotufikisha hapa pamoja na machungu yake. Kwamba hatimaye leo tunaweza kuyatarajia yaliyo mema zaidi, tena kwa nguvu zetu wenyewe...
  3. Vijana utajiri upo kwenye kilimo, tokeni mjini huko aisee!

    For almost 2 year ambapo nilianza kufanya kilimo serious nimeingiza almost 30 milioni for two year aisee! Nyie sasa kutwa kushinda kwenye betting na msingi kiuno halafu mtegemee kutoboa kwenye maisha? Vijana pambaneni kwenye kilimo tokeni hapo Dar esSalaam hapo nendeni mkalime mwishowe...
  4. Kumuelimsha mtoto wa kike ni kumuwekea msingi wa kuwa mkombozi katika familia yake

    Tunajua kumuelimsha mtoto wa kike kwa elimu bora pamoja na malezi mazuri, atakuja kuwa mkombozi bora katika familia yake. Bila kumpatia msingi mzuri wa elimu, pamoja na kumjengea hofu ya Mungu; ndio wanakuja kuwa, hawa wanao tanguliza pesa mbele kabla ya mahusiano. Baba ukiwa mtu wa totoz...
  5. Matatizo yote ya taifa letu yanatokana na kutokujua kiingereza vizuri na msingi mbovu wa kiingereza

    Matatizo yote ya taifa letu yanatokana na kutokujua kiingereza vizuri na msingi mbovu wa kiingereza. Huo ndio ukweli lazima tuuseme. Ukiingalia mataifa yote yanayotumia kiingereza kama official language yanatuzidi sana kwenye maendeleo na kutekeleza mambo muhimu. Watu wao wako very seriously...
  6. Wanafunzi 9 Walioanza Elimu ya Msingi Kititenebo, Chini ya Mti Wahitimu Darasa la Saba, Mbunge Lekaita Awatabiria Makubwa

    Na Mathias Canal, Kiteto-Manyara Mbunge wa Jimbo la Kiteto Mhe Edward Ole Lekaita amekoshwa na wanafunzi 9 ambao wamehitimu elimu ya msingi (Darasa la saba) leo tarehe 22 Septemba 2023 katika Shule ya Msingi Kititenebo ikiwa ni mahafali ya kwanza tangu kuanizshwa kwa shule hiyo. Akizungumza...
  7. Elimu ya bongo ina umuhimu mwisho shule ya msingi sekondari na vyuoni ni kupoteza muda tu

    Kwa namna elimu yetu hapa bongo ilivyo na inavyoleta matokeo yasiyo tarajiwa kwa kundi kubwa la wasomi na vijana. Nadiriki kusema kwa asilimia kubwa elimu ya Tanzania ina umuhimu mkubwa kwa shule ya msingi pekee( awali mpaka darasa la 7) ila sekondari na chuo ni kupoteza muda tu. Elimu ya...
  8. Hivi walioanzisha utaratibu wa mwanamke kulipiwa mahari walikuwa na sababu gani za msingi?

    Ujue hapa duniani kume kuwapo na tuvitu vitu twa ajabu tusito na kichwa wala miguu ambato tumeanzishwa bila sababu yoyote ya msingi na watu mpaka leo wanatufanya bila ya kuwa na sababu ya msingi. Sasa tuizungumzie "mahari" 1. Hivi walio anzisha haka kautaratibu ka mwanamke kulipiwa mahari...
  9. Wanafunzi 330,000 Wa Shule za Sekondari & Msingi Wameacha Shule Mwaka 2022 Pekee. Kanda ya Ziwa Yatia Fora

    Aisee pamoja na Juhudi za Serikali kupanua Elimu ila school dropout inazidi kuongezeka Wanafunzi takribani 330,000 ni wengi sana kuacha shule Kwa mwaka mmja tuu. https://www.jamiiforums.com/threads/kigoma-nusu-ya-wanafunzi-hawajafanya-mtihani-wa-darasa-la-saba-utoro-watajwa.2138803/ Hali ni...
  10. Uhuru wa kutumia Mtandao huwapa Raia Uhuru wa kujieleza ambao ni msingi wa Demokrasia na msingi wa Haki nyingine kwa ujumla

    Kwa mujibu wa Ripoti ya 'Tanzania Elections Watch' ya 2021 Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2020 unatajwa kuwa moja ya Chaguzi zenye ushindani mkubwa zaidi katika historia ya Siasa za Vyama vingi Nchini Tanzania. Ulifuatiliwa na Watu wengi Kimataifa, kutokana na Mazingira ya kurudi nyuma kwa Demokrasia...
  11. Rais Samia: Ukanda wetu wa Bahari kuu ni mkubwa sana, tunafikiria kujenga Bandari nyingine ya uvuvi Bagamoyo

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiweka Jiwe la Msingi Mradi wa Bandari ya Uvuvi - Kilwa Masoko leo tarehe 19 Septemba, 2023. https://www.youtube.com/live/--l5dcKBzxc?si=TJchCSVp4JNKxdwb === Rais Samia amewasisitiza wananchi waliopata boti za mkopo nafuu...
  12. Hii picha inatuambia nini? Kwamba Tanzania is full of nepotism? Rais na mkwe wake wanaweka jiwe la msingi!

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa pamoja na Waziri wa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa kuashiria uwekaji wa jiwe la Msingi Ujenzi wa Ofisi za Halmashauri ya Masasi Mkoani Mtwara tarehe 16 Septemba, 2023.
  13. Ni kitu gani cha ajabu ambacho bila kufanya hauwezi concentrate au kuwa comfortable kwenye mambo ya msingi?

    Huu ni uzi maalumu kuelezea tuvitu twa ajabu ajabu ambavyo kila mmoja asipo vifanya vinamnyima uhuru wa kuwa comfortable kwenye mambo yake ya msingi. Bwana bwana mimi binafasi nina kaugonjwa kangu ninako kaita"Toothpicks disease". Kutokana na tabia yangu ya muda mrefu ya kupenda kusoma vitabu...
  14. Baada ya kuhitimu elimu ya msingi, wanafunzi wasikae nyumbani

    Habari, naitwa mwalimu HERMAN LAMECK MANYILIZU, naomba kushare nanyi wazo hili. TUMLINDE MTOTO WA KIKE BAADA YA KUHITIMU ELIMU YA MSINGI Kama mjuavyo, wanafunzi wa Darasa la Saba wanahitimu elimu ya msingi leo tarehe 14 Septemba. Nashauri wanafunzi hawa wasikae nyumbani kusubili matokeo na...
  15. Swali chokonozi: Ni sababu gani ya msingi inaweza kuzuia mikutano ya hadhara kufanyika maeneo haya?

    Ni sababu ipi ya kiutaalamu inayosababisha mikutano isiruhusiwe mbugani au hifadhini? Je, ni usalama wa Wapinzani wasiliwe na Simba? Maana wa chama tawala uwezo tunao wa kujilinda dhidi ya Simba ndo maana CCM Sisi hata leo tukiamua tunafanya. Je, ni kuharibu nature ya eneo kama tunawaruhusu...
  16. Nimekumbuka Mikasa ya Calculus, Algebra na Trigonometry nimewaza kama nilisomea ujinga bila sababu za msingi

    Hello JF, Baada ya uchovu wa mishe fupi za Leo, nikiwa nimepitiwa na usingizi ndani ya matako ya mjapani nikawaza msoto wa kufundishwa ujinga Calculus Algebra na Trigonometry, plus econometrics kwenye uchumi, nikawa nafananisha kazi niliotoka kuifanya na pesa nilizopata na aina ya msoto wa hizo...
  17. Maswali ya msingi kwenu Wana Jukwaa

    Nilikuwa na maswali yangu machache ya msingi kuhusu nchi yangu Tanganyika. 1. Wakati yanafanyika makabidhiano ya uhuru kutoka kwa Muingereza kuja kwetu kwa Watanganyika ni masharti gani Muingereza alitoa kwetu Watanganyika kuhusu uhuru alio tukabidhi December 9, 1961? 2. Mali ngapi bado zipo...
  18. Unapata faida gani kuanika mambo yako ya msingi mbele za watu

    Siriiiiii, kuna kundi kubwa sana la watu hawajui madhara ya kuanika mambo yao ya msingi mbele za watu. Yaani yeye akipata dili lolote hata kabla halijatiki tayari kashawatangazia watu zaidi ya kumi, ndugu zangu hivi mnajua kuwa kwenye hii dunia tuaishi kwa kuviziana sana? Utasikia ooooh...
  19. Mbunge Norah Mzeru Apongezwa na Uongozi wa Shule ya Msingi Mahenge B

    Uongozi wa Shule ya Msingi Mahenge B, Iliyopo Wilaya Ya Ulanga Inapenda Kutoa Shukruni kwa Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Waziri Mzeru kwa Kuwa Mmoja wa Viongozi ambao Wamechangia kwa Namna Moja Au Nyingine Ujenzi wa Vyumba Viwili vya Madarasa na Ofisi ya Walimu wa Shuleni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…