msingi

Msingi is an administrative ward in the Mkalama District of the Singida Region of Tanzania. According to the 2002 census, the ward has a total population of 6,439. According to the 2012 census, the population had increased to 7,289.

View More On Wikipedia.org
  1. Shule ya msingi inalea madereva walevi

    Dereva wa Shule ya msingi jijini dsm amewasababishia majereha watoto baada ya kusababisha ajali. Inasadikiwa mwanaume hUyo alikuwa amelewa
  2. Saa 12 alfajri hadi saa 12 jioni, mtoto wa shule ya msingi anasoma nini kikubwa hivyo huko shuleni?

    Salamu kwenu ndugu. Ningeomba uzi huu MODS wanisaidie kuusambaza kwa wenye mamlaka. Sasa hivi kuna kamtindo kameshamiri kwa shule za msingi za serikali kuwachukua wanafunzi na kukaa nao kuanzia saa 12 Alfajr hadi saa 12 jioni... Kwa kisingizio cha kusoma na masomo kuzidi kasi. Hivi hasa ni...
  3. Mambo 12 Ya Msingi Kuhusu Usimamizi Bora Wa Nyumba Za Kupangisha Mwaka 2022

    Maana Ya Usimamizi Bora Wa Nyumba. Usimamizi bora ni hatua pekee za kuhakikisha kuna kipato endelevu, usalama wa uhakika, mahusiano mazuri, kutii sheria na taratibu za mtaa na nchi yako na kukufikisha kwenye uhuru wa kifedha. Hatua hizi zinaweza kufanywa na mmiliki wa mali, au kampuni maalumu...
  4. Serikali kutoa ajira 7,000 kwa Walimu shule za msingi na Sekondari

    OFISI ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), imeomba kibali kwa Rais Samia Suluhu Hassan cha kuajiri Walimu 7,000 ili kupunguza upungufu wa walimu wa Shule za Msingi na Sekondari nchini. Waziri wa TAMISEMI, Innocent Bashungwa aliyasema hayo kwenye mdahalo maalum wa kujadili...
  5. Naomba kujuzwa kina cha msingi kwa ardhi ya kichanga na iliyo tambalale

    Naomba msaada jamani kwa wenye ufahamu,ni kina kipi kinatakiwa kuchimbwa kwa msingi kwa ardhi ya kichanga na iliyo eneo tambalale. KARIBUNI WADAU.
  6. Tabia ya kutafuta ugomvi bila sababu za msingi inasababishwa na nini?

    Guys, Naomba tuweke utani wa siku zote pembeni, mnishauri kitu na tuwe serious kidogo tafadhali. Mimi nina tabia moja hivi, napenda kumchokoza hasa mtu ninayempenda sana, yaani naanzisha kama kaugomvi mpaka nahakikisha mtu kapanic ile aanze kutype meseji ndefu kama mvua. Kisha nakaa pembeni...
  7. Elimu ya sekondari na msingi ifutwe, madarasa yageuzwe vyuo vya ufundi

    Habarini za wakati huu wana jamvi, Natumaini ni wazima na mnazidi kusongesha gurudumu la maisha katika nchi ya mama. Sasa katika pita pita zangu kwenye social media nimeokota hili la mwanafunzi wa bulchelor (according to yeye) anaomba kazi. Nikawa najiuliza kwanini serikali isiamue tu kufuta...
  8. F

    Mahakama ya Temeke wanasumbua kulipa pesa za Mirathi bila hoja za msingi

    A
  9. Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo leo Januari 06, 2022 ikiwa ni siku chache tangu kusambaa kwa video ambayo alinukuliwa akisema ipo siku Nchi itapigwa mnada kutokana na madeni Amesema ameandika Barua ya kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wa CCM na uamuzi huo ni...
  10. K

    Nimeshtushwa na maneno ya msingi sana ya Biblia Takatifu!!

    Baada ya kuona mwaka 2021 umemalizika, na muda mrefu sana sijajihusisha na mambo ya dini, nikatahayari sana. Asubuhi mapema nikatafuta boksi langu ninalotunzia vitabu vyangu vya dini. Nikapekuapekua, paap!, nikakutana na Biblia kubwa kabisa nyeusi nilipewaga na mama yangu. Nikafumba macho...
  11. Aliyepata elimu ya msingi na sekondari katika shule za serikali hajui chochote zaidi ya kukariri majibu kwaajili ya mitihani ya taifa

    Habari! Hii mada imeshushwa kama ina kakejeli ndani yake ila ndio ukweli. Ukiondoa shule chache za msingi za serikali ambazo kidogo zina afadhali kama Diamond primary school and like. Ukuondoa sekondari zile za vipaji vya juu na kati tulizosoma zamani ambazo mnakutana wanafunzi kutoka kona...
  12. Polepole endelea na shule yako: Msingi wa maendeleo ni fikra pia

    Silaha ya mwanadamu ni fikra na katika historia ya maendeleo ni fikra mpya ndio zilizofikisha wanadamu tulipo leo katika kuelezea maendeleo yetu. Majuzi tumepeleka ‘James Webb’ telescope zaidi ya mile million 100 na sayari yetu ilipo na scientific reasoning ya hali ya juu ilitumika ili kuweza...
  13. T

    Hayati Magufuli atabaki msingi mzuri wa mabadiliko makubwa ya kiuchumi na kijamii kwa vizazi vijavyo.

    Kwa ambao hatukubahatika kuuona uongozi wa Mwalimu Nyerere tukiwa na uelewa na ufahamu timamu tunajivunia kupata fursa ya kuuona, kuushuhudia na kuuelewa utawala wa Hayati Magufuli ambao kulingana na simulizi mbalimbali toka kwa wazee waliobahatika kufanya kazi na Mwalimu wanasema unafanana kwa...
  14. Ripoti ya CAG 2019/20: Upungufu wa Miundombinu kwenye Shule za Msingi na Sekondari

    Kutokana na utelekezaji wa Sera ya Elimu Msingi bila malipo ya mwaka 2015/16, kumekuwa na ongezeko la wanafunzi kila mwaka. Ongezeko la wanafunzi lilipaswa kwenda sambamba na uboreshwaji wa miundombinu ya shule kama vile vyumba vya madarasa, madawati, matundu ya vyoo nk. Kwa mwaka 2019/20, CAG...
  15. Bidhaa za msingi zinapanda bei, CHADEMA mko kimya kabisa kama vile hamuoni

    Naelekeza lawana hizi kwa chama kikuu cha upinzani yaani CHADEMA, hivi zile kelele kipindi cha JPM mmeziweka wapi? Mafuta ya kula bei inazidi kupaa, petrol haikamatiki, vifaa vya ujenzi huko ndio balaa na kama mtu hakujenga nyumba awamu zilizopita nakupa pole Sana. Lawama zingine nazielekeza...
  16. Naibu Spika Tulia anahangaika na mambo yasiyo na tija anaacha mambo ya Msingi

    Huwa namfuatilia mbunge wa Mbeya Mjini Dr. Tulia huyu pamoja na Ubunge ni Naibu Spika ni msomi mzuri wa Sheria. Lakini kiukweli akili ya kisiasa hana kabisa toka anajindaa kuwa Mbunge mpaka anakuwa Mbunge hakuna mambo ya maendeleo ya maana anayoyafanya. unamwona anaangaika na petty issues za...
  17. Shule ya Msingi ya Museveni, Chato: Watoto wa nani watasoma humo?

    Shule hii illiyojengwa na Rais wa Uganda ni mingoni mwa shule chache za serikali zitakazotoa mafunzo yake kwa lugha ya Kiingereza sawa na shule za Olympio, Diamond, Oysterbay, nk. Shule hizi ni shule za kulipia ada ndogo kabisa kuliko shule za aina hii za watu binafsi na mashirika ya dini...
  18. Unyanyasaji wa haki za msingi za watotoa mashuleni umulikwe. Kiambatanisho kwa thread kifike mbali

    Wazazi tuungane kukemea hili. Tunazalisha kizazi cha watoto wajinga in the name of performance. Sisi tulienjoy shule ya msingi. Saa nane kamili unarudi nyumbani. Siku za michezo ni michezo kwelikweli Na baadhi yetu tumesoma shule zina mchaka chaka asubuhNa Na bado tulifaulu vizuri msingi...
  19. Tetesi: Dr. Meneja wa Makampuni: Tatizo la elimu ya Tanzania sio kukariri bali ni ugumu wa lugha inayotumika bila kuwekewa msingi mzuri katika lugha hiyo

    Tatizo la elimu ya Tanzania sio kukariri bali ni ugumu wa lugha inayotumika bila kuwekewa msingi mzuri katika lugha hiyo. Kila kitu huja kwa kukariri lol. Bila kukariri huwezi kuelewa. Bila kukariri huwezi kujua kusoma na kuandika, bila kukariri huwezi kushika verbs, bila kukariri huwezi...
  20. Utitiri wa michango shule zetu za Msingi na Sekondari inaashiria nini?

    Tangu Magu atutoke (rest in peace our hero), tumeshuhudia utitiri wa michango kwenye shule zetu za elimu bure tena isiyo na stakabadhi halali ya Serikali pindi ulipapo. Mara mchango wa Maji ya kuflash vyooni (wasilete kwenye vidumu bali cash). Mara mchango wa mitihani/majaribio! Mara ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…