MAKALA YA 1
Karibu katika Makala uhusio Ujenzi Majengo madogo mfano; Nyumba,maduka,Zahanati,Darsa n.k
Leo tuangazie ujenzi wa msingi(foundation) wa jengo.
Yafuatayo ni mambo 10 muhimu kuhusu msingi
1.Ujenzi wa jengo hujumuisha sehemu kuu tatu.Ambazo ni paa,kuta na Msingi hufanya kazi zifuatazo...