msitu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mashamba Makubwa Nalima

    Msitu wa Kongowe wawa Dampo ya maiti, Idadi kubwa ya Maiti za vijana zaongozwa kuokotwa,Wengine wazikwa huko huko bila kutambulika

    Katika mazungumzo kati ya mwanakijiji na mkazi wa Mambisi na mtangazaji wa HakiTV, imegundulika kuwa kumekuwa na utupwaji wa maiti nyingi katika msitu wa hapo kijijini kwao, akisisitiza kuwa vijana kuwa kundi kubwa la hizo maiti zinazookotwa. Kulingana na ushahidi wake mwenyewe mara nyingine...
  2. Waufukweni

    Moto mkubwa unateketeza Msitu wa Sao Hill Mafinga

    Taarifa za hivi punde zinasema kuwa Msitu wa Sao Hill Shamba Namba 15, uliopo Wami, Mafinga mkoani Iringa, umewaka moto. Chanzo cha moto hakijajulikana kwa sasa. Soma Pia: Njombe yanusurika kuingia gizani kisa moto kuwaka kwenye kituo cha kusambaza umeme
  3. Raphael Alloyce

    Rais wa Msitu

    Hadithi ya Uongozi na Mamlaka Katikati ya msitu mkubwa wa kijani kibichi, ambapo miti mirefu hufichua siri na mito hukata njia kupitia ardhi, kuna ufalme wa kipekee – ufalme wa wanyama. Dunia hii, inayoongozwa na sheria zake za asili na kuishi, ilijikuta ikihitaji kiongozi. Hivyo ndivyo hadithi...
  4. DR Mambo Jambo

    Hadi Juni 2024, zimeripotiwa taarifa za watu zaidi ya 50 waliotekwa na kupotezwa kabisa

    "Uchambuzi huu Kwa hisani ya Boniyai" Mwaka huu 2024 pekee yake binafsi nime’ ripoti taarifa za watu zaidi ya 50 waliotekwa na kupotezwa kabisa. Hawa ni baadhi tu ya watu waliopotea kwa kutekwa na kisha taarifa zao kutopatikana mahala popote ikiwemo vituo vya Polisi na Hospitali katika vyumba...
  5. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Kwenye msitu wangu kuna black mamba/ koboko natafuta njia za kumwangamiza bila kuleta madhara kwenye jamii

    Jf salaam🙏 Ni muda sasa tangu aanze kuonekana huyu nyoka hatari koboko na inasemekana wapo wawili. Taarifa zilianza kunifikia kutoka Kwa wazee wangu maana huo msitu ukweli sio wangu ni wa mzee ila kaniruhusu kufanya shughuli zozote za kujiingizia kipato. Mara kadhaa amekuwa akionekana na...
  6. Mshana Jr

    Mambo usiyoyajua kuhusu msitu wa Amazon

    (....Usipite bila Kusoma......) 1: Msitu wa Amazon ndio msitu mkubwa zaidi duniani unaopatikana huko America kusini. 2: kama ulifikiri msitu huu unapatikana Brazil pekee jibu ni hapana msitu huu umegawanyika katika nchi tisa nchi hizo ni Blazil 60% peru 13% colombia 10% na mataifa mengine kama...
  7. Roving Journalist

    Mbagala Dar - Mwanafunzi wa Miaka 7 auawa, mwili wake wakutwa msitu wa Jeshi

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linachunguza tukio la kuuwawa kwa mtoto wa miaka 7 mwanafunzi wa shule ya msingi Kibonde maji B, Mbagala na mwili wake kukutwa tarehe 13 Machi, 2024 kwenye msitu wa Jeshi karibu na Shule aliyokuwa anasoma. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es...
  8. Chachu Ombara

    Mbeya: Mwamba auza sehemu ya pori la akiba Rungwa

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Juma Homera, ameliagiza Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama mkoani humo kumsaka na kumtia nguvuni, Andrea Ngomeni, mkazi wa Kijiji cha Kambikatoto wilayani Chunya kwa tuhuma za kuuza eneo la pori la akiba la hifadhi ya msitu wa asili...
  9. Roving Journalist

    Mamlaka ya Misitu (TFS) yatoa ufafanuzi kuhusu zoezi la kuwahamisha Waliovamia Msitu wa Mgori

    Baada ya memba wa JamiiForums.com kulalamikia mchakato wa kuwaondoa Wananchi walio ndani ya Hifadhi ya Msitu wa Mgori mamlaka zimejibu na kutoa ufafanuzi, soma hapa hoja ya Mdau - Watu wanaodhaniwa Askari wa Polisi na Maafisa Msitu wawapiga Wananchi, kuchoma moto makazi na mazao Wilaya ya Chemba...
  10. Heci

    Mwanamke ukimuendekeza atakupanda kichwani. Mke wa jamaa yangu kafuga msitu hataki kunyoa, eti hadi apewe laki akanyolewe kwa Wahindi

    Ukistaajabu ya Musa utayaona ya Firauni. Leo rafiki yangu wa tangu tukiwa watoto alinipigia simu kwamba anataka tuangalie mpira pamoja na ana jambo ambalo anataka nimshauri, hivyo basi nitafute sehemu nzuri tulivu ili tuwe tunaangalia mpira na kuongea. Basi nikamwelekeza sehemu jirani na...
  11. mwanamwana

    KWELI Mwanamke akiwa hedhi, haruhusiwi kuingia msitu wa Nyumbanitu

    Hii dunia ina vitu vya ajabu sana na vya kushangaza. Kuna historia baadhi unaweza unaweza kushangazwa nazo mojawapo ikiwa hii niliyopata kusimuliwa. Msitu wa Nyumbanitu una historia nyingi za kushangaza. Msitu huu upo katika Wilaya ya Wanging'ombe mkoa wa Njombe. Msitu huu nimepata kusimuliwa...
  12. Pang Fung Mi

    Wenye kujua zaidi kuhusu Pastor Paul Mackenzie na Maiti za Msitu wa Shakahola huko Kenya atuambie hapa

    Wasalaam nyote, Tafadhari kama rejea ya kichwa Cha habari kiilivyo. Mwenye mtiririko mzima wa namna waumini mania Kwa mamia walivyokufa na kuzikwa huko Msitu wa Shakahola huko Kenya. Haileweki ni vifo vya halaiki, na walikufa kimafingu, walikufaje, hili Pepo liitwalo Pastor Paul Mackenzie...
  13. Mwl.RCT

    SoC03 Hadithi ya Wanyama wa Msitu: Jinsi Uwajibikaji na Utawala Bora ulivyosaidia kuleta Mabadiliko Chanya katika Jamii Yao

    HADITHI YA WANYAMA WA MSITU: JINSI UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA ULIVYOSAIDIA KULETA MABADILIKO CHANYA KATIKA JAMII YAO. Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Picha | Msitu wa kijani kibichi Katika msitu wa kijani kibichi, wanyama mbalimbali walikuwa wakiishi kwa amani na utulivu. Hata hivyo, katika...
  14. The Assassin

    Hawa watoto wameweza kuishi kwenye Msitu wa Amazon kwa siku 40 bila chakula wala malazi

    Wanasema mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. Hawa watoto wa wameweza kunusurika na mazingira hatarishi ya msitu mkubwa wa Amazon kwa siku 40 bila chakula wala malazi yoyote hadi walipopatikana leo kutoka kwenye kikosi cha waokoaji. Watoto hao 4 walipotea mwanzoni mwa mwezi wa 5 baada ya ndege...
  15. J

    DC Babati awatimua wananchi waliovamia msitu wa Endaw

    Na John Walter-Babati Mkuu wa Wilaya ya Babati Lazaro Twange ameagiza watu waliovamia eneo la Msitu wa asili wa kijiji cha Endaw hekari 192 katika kata ya Qameyu Halmashauri ya Wilaya ya Babati mkoani Manyara kuhama haraka na kusitisha Shughuli zote. Msitu huo ulianza mwaka 2010. Twange...
  16. aka2030

    USHAURI: Msitu wa pande ugeuzwe kuwa mbuga ya wanyama

    Naaam Ili kuchochea utalii dsm pamoja na kuongeza kipato Wawekwe wanyama wasio na madhara kama Twiga pundamilia mbuni Lazima Ifikiwe tuwe wabunifu kama hoteli moja huko kigamboni inaweka twiga na pundamilia hii msitu wa pande inashindikana vipi Watu wa maliasili na tanapa tazameni hili...
  17. Mganguzi

    Msitu wa ajabu wenye Maelfu ya Mbuzi wa maajabu wasio na mwenyewe

    Sio hadithi ni ukweli na sio Ulaya ni Tanzania iliyojaa vivutio na neema za kufurahisha na kuogofya. Ukitoka Mbeya mjini panda gari zinazoelekea mkoa wa Songwe wilaya ya Ileje, bila shaka utachukua gari ya Moja Kwa Moja mpaka Isongole kupitia Mpemba. Ukifika hapo Isongole panda gari inayoelekea...
  18. L

    Watalii watembelea msitu wa minazi kwa boti za mianzi huko Vietnam

    Watalii wanatembea msitu wa minazi katika sehemu ya pwani nchini Vietnam kwa kupanda boti za mianzi. Boti hizo zimevutia watalii wengi ambao kama wakipenda, wanaweza kufurahia ngoma za kitamaduni na kushiriki katika mashindano ya kupiga makasia.
  19. K

    Nilivyokutana na Msukuma kwenye msitu wa Malangamilo

    NILIVYO KUTANA NA MSUKUMA KWENYE MSITU WA MALANGAMILO ILIKUWA JUZI TU yaani usiku wa kuamkia Jana Kabla ya hakujakucha.... Hakuja pambauzika, usiku wa siku hiyo, niliomba Dua kwa sir God aniamshe mapema sana kwani ratiba yangu Ilikuwa tight... Kweli bwana Mungu yupo wazeee, na anajibu...
  20. Artifact Collector

    Mapenzi ni fumbo gumu sababu moyo wa mwanadamu ni msitu mnene

    Kumekuwa na dhana potofu sana pale mtu anaposumbuliwa na mapenzi watu wanamwambia tafuta ela wanashindwa kuelewa mambo yafuatayo. Kuna utofauti wa sex na love, ukiwa na ela itakupa uhakika wa kupata sex mda wowote na matamanio, wanawake wengi watakutaman na matamanio yanakuja na kuondoka...
Back
Top Bottom