Watu zaidi ya 700 waliovamia Msitu wa Hifadhi ya Mgodi uliopo wilayani Singida wameondolewa huku silaha mbalimbali zikikamatwa na miongoni mwao wamefunguliwa mashtaka.
Kamanda wa kikosi kasi kilichoundwa kuwaondoa wavamizi hao, Tumaini Membi alisema shughuli ya kuwaondoa wavamizi hao ilifuata...
Uwanja wa ndege aliojenga Mobutu umegeuka kuwa uwanja wa popo na panya
Dikteta Mobutu aliamua kujenga Uwanja wa Gbadolite katika Jimbo la Nord-Ubangi, mwendo wa saa 5 na dakika 16 kutoka mji huo hadi kijijini Lisala (umbali wa 332km) alikozaliwa Mobutu mwenyewe, Gbadolite kilikuwa kijiji...
Nchini Romania, Kusini Magharibi mwa nchi hiyo, jirani na mpaka wa nchi ya German ndiko hupatikana msitu wa wauzauza wa Hoia-Baciu.
Tukiachana na msitu wa mauzauza wa Njombe tuliouzoea, msitu wa mauzauza wa Hoia-Baciu ni noma, hauna kuku wa maajabu, ila una maajabu ya kutisha.
Katikati ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.