msongamano wa magari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania kujifunza Qatar kuondoa msongamano wa magari

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameipongeza Serikali ya Qatar kwa mafanikio makubwa ya matumizi ya teknolojia ya kisasa na nishati safi katika mifumo ya usafiri wa umma. Dkt. Nchemba ametoa pongezi hizo leo, Jumamosi, Septemba 26, 2026, jijini Doha, Qatar...
  2. JamiiForums Tanzania Mhe. Chalamila umelazimisha kugeuza ajenda ya msongamano wa magari barabarani, haujatusaidia waathirika wa malori yenu.

    Wakazi wa wilaya ya Temeke ni waathirika wakubwa wa msongamano unaosababishwa na malori ya bandari kavu zilizozagaa mitaani wilaya ya Temeke. Barabara za Temeke na Mbagala hazipitiki kutokana na malori ambayo unasita kuamuru yaende Kwala Kibaha, huu ni uhujumu uchumi. Serikali imejenga reli ya...
  3. JamiiForums Tanzania Muhtasari wa mkakati wa kudhibiti msongamano wa magari Dar es salaam

    MUHTASARI (ABSTRACT) Utafiti huu unapendekeza mkakati wa kina wa marekebisho ya muundo wa kispasheli na ugatuzi wa huduma za mijini kwa lengo la kupunguza msongamano wa magari katika Jiji la Dar es Salaam, Tanzania. Muundo wa sasa wa jiji ni wa kituo kimoja (monocentric), ambapo huduma kuu za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…