msongamano

  1. 5

    Nini sababu ya msongamano wa watu hapa Busisi/Kamanga serikali ya awamu ya 6?

    Kuna kitu mie kinanitatiza sana jamani hivi kwenye utawala wa magufuli iwe ni Busisi au Kamanga, kwa kupitia vivuko hivi hivi tunavyoambiwa havitoshi sasa hivi mbona tulikuwa hatukalishwi kiasi hiki hapa kivukoni jamani, au ni mie tu naona hii shida? Maana sidhani kama tatizo ni wingi wa vivuko...
  2. TANROADS yamjibu Khana Mbarouk, ubovu wa barabara na msongamano wa magari barabara kuu Mbagala - Kongowe

    Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta amesema wameiona video clip iliyopostiwa na Mtangazaji wa Clouds media Khan Mbarouk siku mbili zilizopita inayoonesha ubovu wa barabara na msongamano wa magari katika barabara kuu iendayo mikoa ya kusini mwa Tanzania...
  3. Waziri Ulega Atoa Maagizo ya Kuboresha Miundombinu ya Barabara Kipande cha Ubungo Hadi Kimara Kuepusha Msongamano

    WAZIRI ULEGA ATOA MAAGIZO YA KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA KIPANDE CHA UBUNGO HADI KIMARA KUEPUSHA MSONGAMANO Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, ametoa maelekezo ya haraka kuhusu mradi wa upanuzi wa miundombinu ya barabara za mabasi yaendayo haraka (BRT)Awamu ya Kwanza kipande cha...
  4. G

    Kuishi/kufanya kazi kwenye msongamano wa watu wengi huharibu afya ya akili

    Wafanyabiashara wa Kariakoo wengi ni nusu vichaa Wanaoishi maeneo ya uswahilini kama Manzese Mbagala, Vingunguti, Buguruni, Kwa Mtogole, n.k wengi zimefyatuka. Wanaoishi nyumba za kupanga familia 3+ kwenye nyumba moja wamechizika kabisa.
  5. Serikali Kuanza Ujenzi wa Songea ByPass, Kuondoa Msongamano wa Maloli Songea Mjini

    SERIKALI KUANZA UJENZI WA SONGEA BYPASS, KUONDOA MSONGAMANO WA MALOLI SONGEA MJINI. Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali imedhamiria kuondoa msongamano wa magari makubwa katikati ya Mji wa Songea kwa kujenga barabara ya mchepuo (Songea Bypass) yenye urefu wa kilometa 16...
  6. S

    SoC04 Huduma za TRC Mpya zisiwe za ubabaishaji!

    Hivi karibuni jijini Dar es salaam, tukiwa tunapambana kuingia ndani ya basi la Mwendokasi lililokuwa ‘limeshona’ abiria, nilimsikia mwenzangu mmoja akisema kwa uchungu, “Kama Mwendokasi inatutesa namna hii, hiyo treni ya SGR si itatuua kabisa?” Nilibahatika kuingia, lakini yeye hakufanikiwa...
  7. Bashungwa Aweka Wazi Miradi Itakayoondoa Msongamano wa Magari katika Majiji

    BASHUNGWA AWEKA WAZI MIRADI ITAKAYOONDOA MSONGAMANO WA MAGARI KATIKA MAJIJI. Serikali itaendelea na utekelezaji wa miradi inayolenga kuondoa kero ya msongamano wa magari katika majiji. Haya yamebainishwa na Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa wakati wa kuwasilisha makadirio ya mapato na...
  8. SoC04 Suluhisho la msongamano wa magari barabarani na faida zake

    Utangulizi Kutokana na ongezeko kubwa la magari hasa katika maeneo ya mjini ni wakati sasa wa serikali kuchukua hatua madhubuti ili kuimarisha sekta ya usafirishaji nchini na kulinda miundombinu ya barabara. Moja ya hatua zinazoweza kuchukuliwa ni pamoja na ujenzi wa barabara maalum kwa ajili...
  9. BRT, FLYOVERS na Barabara Kupunguza Msongamano wa Magari Katika Miji na Majiji Yatekelezwa

    BRT, FLY OVERS NA BARABARA KUPUNGUZA MSONGAMANO WA MAGARI KATIKA MIJI NA MAJIJI YATEKELEZWA Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amesema, Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na miradi mbalimbali ya kupunguza msongamano wa magari katika Miji na Majiji kwa...
  10. Namna ya kupunguza msongamano wa Maroli yanayokuja ndani ya mji kushusha mzigo kwenye ICD

    Changamoto ya foleni ya Malori yanayoingia katikati ya mji wa Dar kwenye Bandari kavu (ICDs-Inland Container Depots) na yards za kushushia mizigo inabidi itatuliwe kwa wamiliki wa Bandari kavu na Yard kuwa na mfumo wa Tehama. Huu mfumo itabidi kila Bandari kavu wanapopata order ya magari ya...
  11. Wapalestina sasa kuuliwa kwa kunyimwa maji na msongamano wa makazi

    Kucheleweshwa kwa zoezi la vikosi vya Israel kuingia Gaza kuna watu wanaamini kuwa ni woga wa Israel kupata kipigo kutoka kwa vikosi vya wanamgambo wa Hamas na wenzao huko Gaza kama ilivyokuwa huko nyuma. Hapana safari hii ni zaidi ya uwoga. Nia safari hii ni kuwamaliza wapalestina kwa wingi...
  12. B

    Meli ya Mirembe Judith kupunguza msongamano wa makasha bandari ya Dar es Salaam

    06 August 2023 UWEKEZAJI KATIKA MELI MIREMBE JUDITH KUCHOCHEA MATUMIZI YA BANDARI YA DAR ES SALAAM Meli yenye uwezo wa kubeba makasha 600 iliyobatizwa jina MIREMBE JUDITH inayomilikiwa na kampuni ya kitanzania itakuwa inafanya kazi ya transhipment baina ya bandari ya Dar es Salaam na Zanzibar...
  13. Morogoro: TANROADS yaelezea jinsi Mizani ya Mikumi inavyoboreshwa ili kutumia Teknolojia mpya kuondoa msongamano

    Kaimu Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Morogoro, Mhandisi Mussa Kaswahili amesema eneo hilo la Mizani barabara Kuu ya Morogoro kuelekea Iringa, awali lilikuwa na mzani mmoja, lakini Serikali imetenga fedha kwa ajili ya kuboresha na kuongeza mzani husika. Amesema: “Awali...
  14. TPA yaruhusu rasmi magari kuhifadhiwa kwenye bandari kavu (ICDV) kupunguza msongamano

    Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) imeruhusu rasmi kuanzia tarehe 24 October 2022, magari kupelekwa kwenye bandari kavu za nje za kuhifadhia magari kwa ajili ya kupunguza msongamano wa magari ndani ya bandari ili kuongeza ufanisi. Chini ni tangazo rasmi kutoka website ya bandari na gazeti ya...
  15. Baadhi ya meli zimekataa kutia nanga Dar es Salaam port kwa msongamano. Zimeacha mizigo Mombasa port ili kufanyiwa transhipment

    Ukiona baadhi ya meli zinaprefer kuwacha mizigo Mombasa port kuliko kupanga foleni ndefu huko Dar port ujuwe kwamba Malazy wameshindwa kabisa kuliendesha bandari lao. ====== Mombasa port transshipment business grows Different shipping lines have opted for Mombasa port due to what they claim are...
  16. Wahamiaji kutoka Ethiopia na Somalia kufungwa na kuwekwa mahabusu ni msongamano na gharama kwa serikali

    Tangu mwanzo niliwahi sema na ninarudia kusema kwa kuishauri serikali, wahamiaji haramu hasa kutoka nchi mbalimbali na wengine hawa kutoka Ethiopia na Somalia wamejaa katika Magereza yetu. Nilipokuwa Mahabusu Gereza la Iringa 2018 April, kulikuwepo na Wahamiaji wengi kutoka Somalia, wengine...
  17. Tahadhari: Barabara ya Morogoro kwenda Dar es Salaam haipitiki kutokana na msongamano wa magari kuanzia Kibaha hadi Chalinze

    Wasafiri ambao wanaenda mkoani kupitia barabara ya Morogoro kuanzia Kibaha hadi Chalinze kwa jioni ya leo haipitiki kutotokana na foleni iliyosababishwa na ujenzi unaoendelea katika mlima wa Mlandizi. Matokeo ya kufunga barabara upande mmoja umesababisha mwingiliano wa magari na kufunga njia...
  18. Suluhisho la msongamano wa magari na changamoto ya wamachinga jijini Mwanza

    Jiji la Mwanza lina changamoto ya msongamano wa magari kwa sababu barabara inayounganisha Mwanza na Tanzania ina njia mbili tu. Hiyo ni barabara ya Kenyatta. Barabara inayounganisha Mwanza na njia ya Kenya ina njia 3.Ni barabara ya Nyerere. nini kifanyike? Magari ya Abiria yasiingie katikati ya...
  19. Kuna uhusiano gani kati ya wenye nyumba ndogo kuwa na msongamano wa watu?

    Wakuu kuna uhusiano gani, kati ya wenye nyumba ndogo kuwa na msongamano wa watu, na wenye nyumba kubwa kuwa na msongamano mdogo wa watu? Unakuta nyumba kubwa ipo kwenye ekari moja, lakini wanaoishi humo ndani unaweza kukuta ni baba, mama, na mtoto mmoja; kwa upande mwingine, unakuta nyumba ya...
  20. Yanayoendelea maduka ya Vunja Bei ni shida

    Twendeni taratibu wana Simba muda bado upo. Fred ashauriwe kufungua matawi mengi Dar ili kuepusha msongamano. Mtendaji mkuu wa klabu ya Simba SC,🦁 Babra Gonzalez 👸 amesema kuwa baada ya kuingiza jezi mpya za Simba 🦁 sokoni ndani ya masaa 8 jumla ya jezi 42,000 zilikuwa zimeshauzwa na mawakala...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…