msongamano

  1. Donnie Charlie

    Kero: Msongamano wa vibanda vya machinga Mbezi Mwisho unaziba maeneo ya waenda kwa miguu

    Msongamano wa vibanda vya wafanyabiashara wadogo maarufu machinga hadi kuziba eneo la waenda kwa miguu katika eneo la Mbezi Mwisho, Manispaa ya Ubungo, mkoani Dar es Salaam, kitendo kinachosababisha usumbufu kwa wapita njia na vyombo vya moto. PICHA: SABATO KASIKA Chanzo: Nipashe.
  2. Analogia Malenga

    Wakazi wa Dar wametakiwa kuvaa barakoa muda wote wakiwa kwenye msongamano

    Wananchi wote wa mkoa wa Dar es salaam wanapaswa kuwa wamevaa Barakoa muda wote hasa katika maeneo yenye msongamano, wanawe na maji tiririka, wakisikia dalili zozote zinazofanana na dalili za Covid 19 wawahi hospitalini Kufanya vipimo" Amos Makala ,Rc Dar es salaam ———- Mkuu wa Mkoa wa Dar es...
  3. K

    Wazo: Gari zote Automatic chini ya tani mbili zibadilishwe kuwa manual kupunguza msongamano!

    Mnaonaje Wadau, Serikali ikitunga sheria kuhusiana na wazo. Miaka ya 90 iliwezekana kwa zile chai/maharage, kutoka left hand drive to right hand drive
  4. Shoctopus

    Hoja ni msongamano au aina ya msongamano?

    Asalam-aleikoum Wana-JF! Swali hili linahusu tangazo la serikali kuhusu tangazo la Mkurugenzi wa Jiji la Dar es Salaam kupiga marufuku biashara barabarani ambazo ni kinyume na kanuni za town planning. Tangazo la serikali linajaribu 'kufafanua' amri ya Mkurugenzi kwa wahusika ambao inaonekana...
  5. kmbwembwe

    Je, bandari kavu Kibaha kupunguza msongamano Dar umeyeyuka?

    Mojawapo ya mipango madhubuti chini ya Hayati Dkt. John Magufuli ilikua uanzishaji bandari kavu Kibaha ili kuhamisha shughuli ya uchukuaji mizigo ya ma-container nje ya bandari. Kusudi la mradi huo ni ili kuondoa msongamano wa malori katikati ya jiji na pia kuondoa msongamano bandari ya Dar es...
  6. Elitwege

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa afanya ziara ya kushitukiza bandarini

    Kufuatia huduma za bandari ya Dares salaam kuzorota kwa mwezi mzima sasa na wateja kuanza kulalamika kwa huduma mbovu wanayopewa ,waziri mkuu mh Kassim Majaliwa leo tarehe 12 mwezi may amefanya ziara ya kushitukiza ili kujonea tatizo ni nini. Ikumbukwe leo mbunge Costa Chami alitoa hoja...
  7. TheDreamer Thebeliever

    Tunaomba kila Wilaya iwe na stendi ya magari ya mikoani ili kuepuka usumbufu na msongamano

    Habari wadau! Kiukweli stand ya mkoa Mbezi Luis ni kero kwa wasafiri tuliopo nje ya wilaya ya Ubungo. Jana jioni nilienda kumpokea wife pale stand ya mkoa Mbezi, wakati nipo Gerezani stand ya mwendokasi nikampgia simu akasema yupo Chalinze fasta nikakaa foleni kusubiri gari za Mbezi ila...
  8. Shadow7

    Marekani: Polisi waeleza kuisambaratisha birthday party ya Chris Brown kisa msongamano mkubwa wa magari

    Unaijua bithday party wewe ? magari zaidi ya 300 unahisi watu walioalikwa walikuwa wangapi ? unaambiwa msongamano wake kuelekea nyumbani kwa Breezy maeneo ya Tarzana California ulikuwa balaa ikabidi majirani na watu wanaoishi ameneo karibu na Breezy waite polisi. Ilianza kwa sauti kubwa...
  9. Analogia Malenga

    Bungeni: Ziara za makundi mbalimbali zasitishwa ili kuepuka msongamano

    Naibu Spika wa Bunge la Tanzania, Dkt. Tulia Ackson ambaye pia ni mbunge wa Mbeya Mjini ametangaza kusitisha ziara mbalimbali bungeni. Bunge limekuwa likipokea ziara za mafunzo kwa wanafunzi na makundi mengine, Naibu Spika amesitisha ili kuepuka msongamano wakati huu wa bunge la Bajeti.
  10. Ophonso

    Wimbo wa Ndala Kasheba Dunia Msongamano umezungumzia kabisa tabia ya Watanzania

    Mawazo yamenijia leo aliokuwa mzee wangu akisema dunia ni msongamano wa watu wenye akili tofauti. Ukitaka kuishi vema fikiri kabla ya kujibu jifunze kwa walimwengu walimwengu wajifunze kwako dunia ni kuona mambo halafu kuyasahau. Mateso nimeshayapata matatizo mengi yamenikuta furaha nyingi...
  11. D

    Hofu ya kugonganisha magari inavyozuia wengi kutohudhuria maeneo ya starehe au msongamano

    Wadau! Sikukuu ndo hizo zinaanza, weekend ndefu ndefu kama zote! Tupeane mbinu za namna ya kukwepa kugonganisha magari chimbo na sehemu za starehe!!!
  12. S

    Msongamano Court of Appeal utaisha vipi na lini?

    Ndiyo mahakama inayoongoza kukatisha tamaa, siyo kwa kutotoa haki, hapana. Court of Appeal ni mabingwa wa kutoa haki. Tabu yao ni kwamba ukiwa na kesi pale lazima uhesabu miaka miwili ndipo usikilizwe. Matokeo yake baadhi ya majaji Mahakama Kuu (High Court) hulipua maamuzi yao wakitarajia...
  13. Uwesutanzania

    Gereza la Segerea kuweni na utaratibu mzuri ili kupunguza msongamano wa watu

    Kumekuwa na utaratibu ambao si rafiki sana wa muda ukifika gerezani hapo kwenda kumuona ndugu au jamaa yako mfungwa au mahabusu, kati ya mambo yanayopelekea sanasana uhatibifu wa muda eneo lile kwanza:- Kuna baadhi ya watu huwa wanapewa masaa mengi zaidi kuonana na kuongea na wapendwa wao mle...
  14. Return Of Undertaker

    Mashuleni wanafunzi madarasani watakaaje na msongamano huwa ni mkubwa?

    Huu muongozo haulezi wanafunzi watakaaje madarasani na kawaida wanafunzi kubanana ndani ya darasa moja ni hatua gani itachukuliwa kuwalinda wanafunzi hasa upande wa social distance?
  15. Dr Akili

    Vita dhidi ya Corona: Mikusanyiko ya watu isiyo lazima isitishwe, misongamano idhibitiwe ili kuepusha madhara makubwa zaidi

    Leo Waziri wa Afya ametangaza virusi hatari vya Corona kuwepo nchini mwetu. Mgonjwa mmoja amethibitishwa kwa vipimo vinavyofanywa kwenye maabara moja tu hapa nchini kwetu. Maana yake kuna uwezekano wa kuwepo wengine wenye virusi hivyo ambao hawajabahatika kufanyiwa vipimo hivyo au ni carriers...
  16. J

    TABOA: Stendi za mabasi ya mkoa na daladala wawepo wasafiri pekee wafanyabiashara waondolewe kupunguza msongamano

    Katibu mkuu wa chama cha wasafirishaji abiria (Taboa) ndugu Mrutu ameiomba Tamisemi kuhakikisha vituoni wanabakia wasafiri tu ili kupunguza msongamano nyakati hizi za majanga ya Corona. Mrutu amesema hata kwenye vituo vya daladala mfano Makumbusho kuna msongamano mkubwa sana wa watu lakini...
  17. Kaka Pekee

    Huyu Kamanda wa Jeshi anatukera sana wakazi wa Mbezi

    Habari wana jamvi, Kwa wale wakazi wenzangu wa Mbezi Beach, Kunduchi, Goba na watumiaji wa barabara ya Bagamoyo kwa ujumla bila shaka Mtakuwa mmekutana na huyu Kamanda wa Jeshi (Chief of Staff) ambaye kuanzia majira ya kila siku Asubuhi 12:30- 1:00 hutugandisha kwenye foleni kwa muda mrefu kila...
Back
Top Bottom