mstaafu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Video: Baharia Mstaafu akitoa somo la kupima Rungubeshi

    Futa huu uzi
  2. Dkt. Makame: Hakuna haja ya kumsafirisha Mstaafu Mwinyi kwa matibabu kwasasa (Tumuombee)

    Rais mstaafu wa awamu ya pili wa serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Alhaji Ali Hassan Mwinyi anaendelea kupatiwa matibabu ya kifua akiwa chini ya uangalizi wa karibu wa madaktari bingwa "Anaendelea kupatiwa matibabu na baadhi ya wakati anakuwa na uangalizi wa karibu sana wa madaktari...
  3. Hivi Lowassa ni Waziri Mkuu Mstaafu au ni Waziri Mkuu aliyejiuzulu?

    Yaani mtu kajiuzuru mwenyewe kutokana na Ufisadi wake ambao Umeigharimu nchi pakubwa (hasa kwa kuitia hasara) halafu leo kafariki tunasema/tunamuita ni Waziri Mkuu Mstaafu! Lowassa alistaafu Uwaziri Mkuu wake kama wengine au alijiuzuru kutokana na Kashfa zake za Ufisadi alizojaribu kuzizima kwa...
  4. Jakaya Kikwete na Mkewe wawasili Msibani kwa Lowassa

    Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Mh Jakaya Kikwete, leo Jumatatu ni miongoni mwa wadau waliofika nyumbani kwa Lowassa kuhani Msiba na kushiriki Maombolezo , ameambatana na Mkewe Mama Salma Kikwete. Itakumbukwa kwamba Lowassa ndiye aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kwanza kuteuliwa kwenye awamu ya...
  5. Makonda azuru kaburi la Benjamin Mkapa

    Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa, Paul Makonda amezuru kaburi la Rais Mstaafu wa awamu ya tatu Hayati Benjamin William Mkapa Kijijini kwao Lupaso Mkoani Mtwara. Mwenezi Makonda aliyesitisha ziara yake Mkoa wa Ruvuma na Mtwara kufuatia kifo cha Waziri Mkuu Mstaafu Edward...
  6. Protokali ya Mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu ipoje?

    1. Miaka zaidi ya 60 toka tupate Uhuru sijawahi kushuhudia Mazishi ya Waziri Mkuu (Mstaafu) Narudia WAZIRI MKUU (Mstaafu) usinitajie Sokoine. **Kawawa alizikwa Kwa heshima wa Makamu wa Rais (Mstaafu). 2. Nimeshuhudia mazishi ya Rais, Rais Mstaafu na Makamu wa Rais (Mstaafu). Mwenye kujua...
  7. TANZIA Edward Lowassa (Waziri Mkuu Mstaafu na Mgombea Urais wa CHADEMA 2015) afariki dunia

    EDWARD NGOYAI LOWASSA AFARIKI DUNIA Aliyewahi kugombea nafasi ya Urais kupitia CHADEMA, Edward Ngoyai Lowassa amefariki dunia baada ya kuugua kwa muda mrefu. Mtoto wake Fredrick Lowassa amethibitisha na Makamu wa Rais, Philip Mpango amelitangazia Taifa. Pia, Lowassa aliwahi kuwa Waziri Mkuu wa...
  8. M

    Rais wa Awamu ya Pili, Mzee Ali Hassan Mwinyi alazwa kwa maradhi ya kifua

    Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mzee Ali Hassan Mwinyi amepelekwa hospitali akiugua maradhi ya kifua. Anaendelea kupata matibabu chini ya uangalizi wa karibu wa madaktari. Kutokana na ushauri wa madaktari wake, familia imeona ni vyema apate faragha akiwa...
  9. TANZIA Luteni Jenerali Mstaafu, Balozi Martin Mwakalindile afariki dunia

    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Jacob John Nkunda ametangaza Kifo cha Luteni Jenerali Mstaafu Balozi Martin Mwakalindile kilichoteka Januari 28, 2024 nchini India alikokuwa akitibiwa.
  10. Afrika Kusini: Chama Tawala cha ANC chamsimamisha uanachama Rais Mstaafu Jacob Zuma

    Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma amesimamishwa Uanachama wa chama Tawala cha African National Congress (ANC) akidaiwa kukataa kupiga Kura ndani ya Chama pamoja na kushiriki kuanzisha Chama Pinzani. Imeelezwa kuwa Zuma aliyeliongoza Taifa hilo kwa miaka 9 na kujiuzulu baadaye kutokana...
  11. Kikwete (Rais Mstaafu) ni Muungwana kuliko, mwenye huruma na utu uliopitiliza

    Jamani habari wanajf, ukweli Rais Mstaafu Dkt. Kikwete ni kiongozi wa kipekee Sana tangu nianze kuwafahamu viongozi wengine. Ni kiongozi anayeguswa na matatizo ya watu moja kwa moja hasa misiba, na matukio ya kijamii. Mhe. Kikwete hajawahi kusikia Msiba kwa watu ambao unafikika akashindwa...
  12. F

    Tumjadili huyu Mstaafu hapa wakuu tuone ana akili timamu au sio mzima

    Katika kazi zangu za saidia fundi kuna hiki kisanga bwana mdogo alikua analalamika kuhusu mzazi wake wa kike. Mama yake kastaafu alikua mtumishi serikalini halmashauri moja Arusha. Miaka yote ya utumishi hakuwahi kujenga alipopata hela ya kustaafu kiinua gongo ndiyo akajenga nyumba yake ya...
  13. Rais Mstaafu wa Mauritania afungwa miaka 5 jela kwa makosa ya ufisadi

    Ni aliyewahi Mohamed Ould Abdel Aziz ambaye alikuwa Rais wa taifa hilo kati ya mwaka 2008 hadi 2019. Aziz amekutwa na hatia ya kujipatia mali kwa njia za haramu ikiwemo ubadhirifu. Mstaafu huyo pamoja na Viongozi wengine 10 wakiwemo waliowahi kuwa Mawaziri Wakuu walikuwa kwenye uchunguzi juu ya...
  14. TANZIA Askofu Mstaafu wa Dayosisi ya Kaskazini ( KKKT) Dkt. Erasto Kweka afariki Dunia

    Taarifa zaidi zitaendelea kutufikia. Poleni kwa msiba mkubwa!
  15. FT: Tanzania 0-2 Morocco Kufuzu Kombe la Dunia, Novemba 21, 2023

    Naam leo ndo leo majira ya saa 4 usiku kwa saa za afrika mashariki kutakuwa na mchezo kati ya Tanzania na Morocco KUFUZU WORLD CUP: TANZANIA YAPOTEZA 2-0 DHIDI YA MOROCCO KWA MKAPA Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’ imepoteza kwa magoli 2-0 licha ya kuwa nyumbani kwenye Uwanja wa Mkapa...
  16. RC mstaafu, Engineer Robert Gabriel kujiita Local Fundi ni fedheha kwa fani ya uhandisi

    Engineer Ribert Gabriel kwa sababuzisijojulikata, amejiita Local Fundi. Huyo amajiita LOCAL FUNDI katika MRADI wa Ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Mkoa wa Geita Eng. Robert Gabriel ambaye amewahi kuwa MKUU wa MIKOA ya GEITA, MWANZA na MARA ktk kipindi cha Awamu ya Tano chini ya...
  17. B

    Zambia: Rais Mstaafu Edgar Chagwa Lungu asitishiwa marupurupu yake ya kustaafu

    01 November 2023 Lusaka, Zambia RAIS MSTAAFU APOTEZA HAKI YA MARUPURUPU KWA KUJIHUSISHA NA SIASA Picha: Rais mstaafu Edgar Lungu wa Zambia Rais mstaafu marupurupu yake ni pamoja walinzi 3, pasipoti ya kibalozi, magari 3 ya serikali, nyumba iliyosheheni samani, bima ya afya na gharama za...
  18. Hivi Mzee Kinana ameweka bayana tabia zipi za kuigwa za Marehemu Kamanda Mstaafu wa Polisi Zelothe Stephen?

    Katiba ya Nchi ndio inapaswa kuwa muongozo wa kudhibiti tabia na mihemko ya viongozi mahala pa kazi katka nyanja zote. Labda Mzee Kinana ametumia namna mbadala ya kusema umuhimu wa kuboresha katiba ya sasa ili kuondokana na tabia mbaya za baadhi ya viongozi. Nimemsikiliza Mzee Kinana kwenye...
  19. TANZIA Kamanda wa Polisi Mstaafu na MwanaCCM mkongwe Zelothe Stephen afariki dunia

    Kwa mujibu wa taarifa ilitolewa na Mbunge wa Ukonga, Jerry Silaa, kada huyo wa Chama Tawala amefariki wakati akiwa Hospitali akiendelea na Matibabu. Nafasi ambazo amewahi kutumikia ni pamoja Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, Kamanda wa Polisi mikoa mbalimbali ikiwemo Dodoma. Pia, amewahi kuwa Mwenyekiti...
  20. Aonavyo Boniface Jacob kuhusu msanii kuvunjika jukwani Mapokezi ya Makonda

    Anasema hivi..... See new posts Nitoe pole kwa msanii aliyepata ajali ya kuvunjika uti wa mgongo katika jukwaa la CCMAkiwa anafanyia kazi ya kucheza muziki wa dansi wakati CCM ikimpokea Makonda. Pole kwa msanii husika, wasanii wote na pole kwa familia yake. Nimesikitishwa na kauli za kejeli...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…