Jana nilipata wasaa wa kufuatilia mubashara uzinduzi wa Kavazi la Mwanadiplomasia maarufu Dr Salim Ahmed Salim. Watu wengi walipata nafasi ya kusema machache juu ya Dr Salim wakiwepo mawaziri wastaafu na hata wengine kutoka kada mbalimbali za utumishi.
Cha ajabu uzinduzi wa Kavazi ulimalizika...
Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Kenya, Githu Muigai amesema hayo wakati akitoa maoni mbele ya Kamati ya Kitaifa ya Maridhiano na kueleza kuwa baadhi ya nafasi za Ksiasa zinapaswa kupunguzwa ikiwemo idadi ya Kaunti ambazo zinaongeza mzigo wa gharama Serikalini.
Muigai amesema Mapendekezo ya...
Rais Mstaafu wa Zambia, Edgar Lungu amefungua mashtaka hayo akidai Mamlaka za Nchi hiyo zilimzuia kwenda Nchini Korea Kusini kwaajili ya kuhudhuria Mkutano wa Amani.
Amesema alikutana na pingamizi la safari yake na kushushwa kutoka ndani ya Ndege huku akitajiwa sababu ni kutaka kusafiri bila...
Aisee mzee wetu katia aibu kubwa sana. Alichoongea hakina uhalisia wowote kwa sababu wanasiasa hawa hawa wanategemea sana kufanikisha mambo yao kupitia dini.
Yaani Edo Kumwembe amechambua vizuri sana sijajua nani alimwandalia ile hotuba huyu mzee kule Mara.
======
Edo Kumwembe: Wakati...
Uongozi wa ACT wazalendo enzi za Mwigsmba ulibalance yaani Akina Kitila, Akina Mghwira rip, Zitto, Mchange nk
Baada ya kuhamia Pemba kimekuwa hakina Wagalatia kabisa Membe rip alijaribu Lakini wapi
Ukiingia kwenye kikao cha Baraza kuu la ACT wazalendo unaweza kudhani ni Baraza la Eid tofauti...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza na Mkuu wa Majeshi wa kwanza Mstaafu Jenerali Mrisho S. Sarakikya wakati alipomtembelea kumjulia hali nyumbani kwake Nkoaranga Wilaya ya Arumeru Arusha tarehe 20 Agosti, 2023.
Na aliteuliwa na Pontiff ( Pope ) Mwenyewe kutokea kule kule kwa Wenye dunia yao Vatican ambao Wanaogopwa mno na Marekani na Israel.
Endeleeni tu Kujichanganya sawa?
Mahakama ya Juu imetoa kibali cha uchunguzi huo kutokana na tuhuma zilizoibuliwa kuwa Kiongozi huyo alifanya ubadhirifu wa Fedha, Madini na Zawadi alizopokea kwa niaba ya Serikali wakati akiwa Rais.
Bolsonaro na Mkewe wametuhumiwa Kukwepa Kodi, Kuuza pamoja na kuondoka Ikulu na Vito vya Thamani...
Natoa Wito kwa Inspecta Jenerali wa Polisi Bwana Carmillius Wambura , kuachia madaraka yake haraka kwa vile haaminiki tena na Watanzania, hii ni kwa sababu anatumika kubambikia watu kesi za uongo za Uhaini Huku akijua Wazi kwamba hana Ushahidi wowote, kudukua akaunti za Mwabukusi baada ya...
SIMBA HATUNA KOCHA
Ameandika mwanachama wa Simba SC na Mayor mstaafu Boniface Jacob ✍️
"1. Simba hatuna kocha ...
2. Tunasajili halafu tunaogopa kutumia wachezaji wazuri tunaweka walewale tukitegemea matokeo mapya ..
3. Mtani alituzidi kimbinu na kiuwezo ndani ya uwanja.
4. Yanga...
Imeelezwa kuwa amani na usalama ni maneno yenye dhana pana tofauti na watu wengi wanavyoelewa kuwa amani na usalama ni kuwa huru na migogoro inayotumia silaha.
Hayo yameelezwa Agosti 12, 2023 na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne wa Jamhuri ya Muungani wa Tanzania, Jakaya Nrisho Kikwete wakati...
Viongozi wa Muungano wa Azimio la Umoja One na Kenya Kwanza wamefikia uamuzi huo ili kutafuta mwafaka wa maandamano ya kupinga Serikali yanayoongozwa na Raila Odinga.
Katika taarifa iliyotolewa leo Julai 29, 2023 imeeleza kuwa majadiliano hayo yanatarajiwa kumhusisha Rais wa zamani wa Nigeria...
Kuna sheria ya utumishi wa Umma endapo mtumishi akitoka kwenye ajira yake na kuteuliwa kwenye nafasi kisiasa hata kama bado haja staafu hawezi kurudia ajira yake.
Miezi kadhaa kuna mabosi wa Chama cha Walimu walikataa katakata kutoka kwenye ajira zao na kwenda kwenye teuzi.
Mimi binafsi...
Wakuu upi msimamo wa hili gwiji la siasa za maridhiano nchini?
Huyu ni moja ya magwiji ambao akiongea neno moja tu upepo unaweza badilika.
Mzee Mwinyi kwa sababu ya umri yeye tumuacje kidogo.
bandari
dp world
hapo
jakaya kikwete
kikwete
kinana
kuhusu
kusema
kwani
mkono
msimamo
mstaafu
mzee
mzee kikwete
rais
rais mstaafu
rais mstaafu kikwete
world
Kupitia ujumbe uliochapishwa na Dennis Itumbi, alikuwa Kampeni Meneja wa Rais William Ruto, amesema taarifa za Kiintelijensia kutoka kwa Maafisa wa Hustler Nation Intelligence Bureua (HNIB) zimeeleza kuwa Rais Mtaafu Uhuru Kenyatta amefanya Kikao maalum cha SIRI nyumbani kwa kiongozi wa Upinzani...
Wakati wa Utawala wake...
Huyu bwana ana Bahati mbaya sana. Haya ni Matokeo ya kuforce uongozi wakati hauna karama hizo, kuongoza watu siyo jambo jepesi inahitaji maono na busara hasa unapokuwa kwenye nafasi nyeti kama ya uraisi.
Enzi za utawala wake nchi ilikuwa ya hovyo tena hovyo kupitiliza...
Mamlaka za nchini Malawi zimemaliza kesi ya rushwa dhidi ya Rais wa zamani Bakili Muluzi aliyewahi kuhudumu kwa mihula miwili ya miaka mitano kama Rais kati ya 1994 na 2004 lakini alishtakiwa miaka mitano baada ya kuondoka madarakani.
Yeye na aliyekuwa katibu wake wa kibinafsi, Lyness Whisky...
Kuna Mtu anakujua ndani nje aliwahi kuniambia kuwa Sifa yako Kuu ni kuwa Mnafiki na mwepesi Kununuliwa na Kusaliti nikawa namkatalia ila kwa Upuuzi ulioufanya leo kwa Kuvalia Jezi ya Yanga SC huku ukijijua Wewe ni mwana Simba SC lia lia nimemuamini huyo Mtu.
Poleni ila leo nina Furaha isiyoelezeka.
Wanajanvi naomba msaada. Ivi mstaafu akishafariki pesa alizokua anazolipwa kila mwezi huwa zinakoma baada ya mda gani? Haswa kwa sheria zao za mafao ya wastafu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.