Nasikiliza hapa mkurugenzi wa Bima ya Afya NHIF (Benard); Kaulizwa hivi, Mtu akistaafu inakuwaje?
Kajibu kuwa kwa Mtumishi wa Uma ataendelea kupatiwa huduma. Mtangazaji hakuwa makini kumuuliza na kwa mtumishi wa Secta Binafsi inakuwaje? shame!
Yaani kwa mfano; Raia mmoja aajiriwe...
Kwanza hamkujipanga vyema kwa Coverage yake ndiyo maana hata Mitambo yenu kila Saa ilikuwa inakatakata hali ambayo Iliboa na Ilituboa zaidi.
Pili wenye Akili akina GENTAMYCINE tulitegemea kwa Chombo cha Habari kupata ile Fursa basi ndiyo mngeitumia Kumhoji Mambo ( Maswali ) ya Msingi ya kuhusu...
Wasalamu wana JF,
Wakati tukimaliza matanga ya bibi yetu Elizabeth, nimetafakari sana mienendo ya viongozi wetu hapa Tanzania. Hakika, Jakaya Mrisho Kikwete pamoja na madhaifu yake ni mtu mwenye hekima nyingi.
Huyu mzee alitufumbua kuhusu kuchanganya akili za kuambiwa na za kwetu. Hali...
Jaji Mkuu mstaafu, Chande Othman amewataka majaji wa Mahakama Kuu kumaliza haraka kesi wanazopangiwa, ili kuondoa wasiwasi kwa jamii na wao kujiweka huru.
Amesema ucheleweshaji wa kesi zikiwamo zenye mvuto huku akiitolea mfano kesi ya wabunge- Halima Mdee na wenzake 18 wanaopinga kuvuliwa...
Kinana na Shaka watia saini kitabu cha wageni, wazungumza na viongozi wa CCM Geita
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana akiwa ameambatana na Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi Ndg. Shaka Hamdu Shaka wametia saini kitabu cha wageni katika...
Baba Mwita ameandika kupitia mtandao wa Twitter kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akistaafu hupatiwa mafao kwa kiwango hiki.
Rais wetu anapostaafu atapata mafao yafuatayo:
1. Fedha ya 50% ya mshahara wake WOTE aliowahi kulipwa katika kipindi chote alipokuwa Rais. (mara moja) 2...
Ni aibu mazingira anayoishi kiongozi mkubwa wa nchi kuwa na sehemu chafu hiki. Mitaro yote imejaa maji mpaka yanafika kwenye kuta ambazo zipo karibu na hapo ikiwemo na ukuta wa nyumba ya Rais Mstaafu.
Sehemu hizi ambazo wanakaa viongozi muhimu wa nchi zinatakiwa kutunzwa na kuwa vizuri muda...
Asifia utendaji wa polisi walivyohakikisha usalama bila kuingilia zoezi, pia asifia tume ilivyo onyesha uwazi na kuhakikisha matokeo ambayo hayakuchakachuliwa.
Mataifa ya Afrika mna mengi ya kuiga kutoka Kenya.
Election observer missions to Kenya have lauded the electoral commission for...
Daah... asubuhi asubuhi leo nimeshuhudia kituko, Mstaafu akionja shubiri ya huba baada ya kuhonga nauli yake ya Daladala. Picha lilianzia kituo cha Daladala cha Njia Nne, anapanda msichana wa rika la miaka 25-30. Siri iliyobaki tupu, amekaa mstaafu mmoja wa Jeshi namfahamu tupo nawe Club moja ya...
Kwenye hoja Moja kwa moja.
Haya maisha hayaishi.
Muuaji amenipa funzo kuu. Kwamba nisithibutu kuishi na nyongo. Tunakosewa Sana na viongozi, viongozi hawajui tunayopitia. Wao madam wanasafir kwa ving'ora na nyumba zao zinalindwa sisi tunaishi kama digidigi. Tunamolala wakati tukiutafuta...
Jonas Ziganyige (71) mstaafu wa Jeshi la Wananchi, Mkazi wa Mbezi Juu kwa tuhuma za kumpiga risasi na kumuua Patient Romwadi (48) mfanyabiashara, Mkazi wa Wazo Mivumoni, Kinondoni katika mgogoro wa mipaka.
Mtuhumiwa anadaiwa kufanya tukio hilo Julai 9, 2022 ambapo marehemu alifika eneo...
Huko Japan, kuna jamaa anaitwa Sun Myung Moon huyu mtu ndiye mwanzilishi wa Kanisa liitwalo Unification Church, al-maarufu kama Moonies church.
Huyu jamaa na kanisa lake ndiye chanzo cha mauaji ya Waziri Mkuu mstaafu wa Japan, Shinzo Abe.
Kwa mujibu wa Tetsuya Yamagani, ambaye ndiye aliyemuaa...
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini Mstaafu, Jenerali Venance Salvatory Mabeyo alivyowasili Wizara ya Ulinzi na JKT makao Makuu Mtumba, kwa lengo la kuaga rasmi kabla ya kustaafu kwa Umri wa Utumishi Jeshini.
Akiongea wakati wa kikao cha Waziri na Menejimenti ya Wizara amesema kuwa mara hii...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax amemtembelea Mkuu wa Majeshi Mstaafu, Jenerali (Mstaafu) Robert Philemon Mboma nyumbani kwake Mbezi Beach Jijini Dar es Salaam kwa lengo la kumjulia hali.
Waziri Stergomena amemtembelea Jenerali Mboma akiwa ni mwendelezo...
Kipindi cha miaka 5 cha utawala wa Rais Mstaafu wa Marekani Donald Trump ni Kipindi pekee cha kwa mara ya kwanza kwa Marekani haikuanzisha wala kusababisha vita vyovyote duniani.
1. Aliondoa majeshi yake Somalia
2. Alifanya mazungumzo ya ana kwa ana na Rais wa Korea Kim Jong
3. Alifanya...
Kipindi cha miaka 5 cha utawala wa Rais Mstaafu wa Marekani Donald Trump ni Kipindi pekee cha kwa mara ya kwanza kwa Marekani haikuanzisha wala kusababisha vita vyovyote duniani.
1. Aliondoa majeshi yake Somalia
2. Alifanya mazungumzo ya ana kwa ana na Rais wa Korea Kim Jong
3. Alifanya...
Hakika Siku zote Wakatoliki ndiyo huwa tunaanza kwa Kuonyesha njia na wengine Wanaiga.
Leo kama Kawaida nikiwa Ibadani Morogoro katika Kanisa langu Kuu la Katoliki la Mtakatifu Patrick ( Patrice ) nimeweza kufurahishwa tena na aina ya Ubunifu na Utaratibu wa Kiimani na Kiibada.
Ni kwamba mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.