Ujumbe huu uwafikie mamlaka husika ikiwemo Wizara ya Maji na Serikali Kuu kwa jumla, sisi Wakazi wa Mtaa wa Kaseze, Kata ya Mkolani, Wilaya ya Nyamagana Jijini Mwanza hasa tunaoishi maeneo ya Mlimani tuna shida ya maji sana.
Maji kwetu ni mtihani mkubwa kiasi kwamba ni kawaida kuona baadhi ya...