KwetuKwanza
Senior Member
- Mar 13, 2023
- 127
- 245
Ujumbe huu uwafikie mamlaka husika ikiwemo Wizara ya Maji na Serikali Kuu kwa jumla, sisi Wakazi wa Mtaa wa Kaseze, Kata ya Mkolani, Wilaya ya Nyamagana Jijini Mwanza hasa tunaoishi maeneo ya Mlimani tuna shida ya maji sana.
Maji kwetu ni mtihani mkubwa kiasi kwamba ni kawaida kuona baadhi ya Watu wakijisaidia vichakani, jambo ambalo ni hatari kwa afya zetu wote wakazi wa huku kwani mvua inaponyesha uchafu huo unasambaa na hivyo wengi wetu kuwa hatarini kupata magonjwa ya kuambukiza.
Tunawauliza Mamlaka za Mwanza kwani nini kimekwamisha sisi kupata huduma hiyo.
Pia soma ~ MWAUWASA: Maeneo ya Milimani Mwanza hukumbwa na upungufu wa maji kutokana na msukumo mdogo