MTAA Super (Motor Trades Association of Australia Superannuation Fund) is an industry superannuation fund established to serve the motor trades and allied industries.
Created in 1989, it has become one of Australia’s largest super funds. As at 2019, MTAA Super has more than $12 billion funds under management and represents more than 200,000 members and more than 50,000 active employers.MTAA Super is a public offer fund and allows membership to all Australians.
MTAA Super was named SuperRatings 7 year platinum performer for 2003-2010. In 2020, the fund was again awarded Platinum Rating by SuperRatings, who named MTAA Super a “best value for money” super fund.
Ajali mbaya iliyohusisha gari ya Mwendokasi na Gari binafsi ya kifahari aina ya Range Rover imetokea kwenye njiapanda ya mtaa wa Kisutu na Samora, majeruhi wamesha ondolewa kwenye eneo la tukio. Taarifa zaidi zitakujia.
MTAA WA JOHN RUPIA TANGA
Moja ya vibao vingi vya Mtaa wa John Rupia kipo pembeni ya Msikiti Ngazija, Tanga.
Nimefikia hoteli jirani na kwa hakika ni mkabala na msikiti huu na ndiyo nikabahatika kuona kibao hicho.
Nilipata kuwauliza wahusika miaka mingi nyuma wakati naishi Tanga walipotoa jina...
Duka vocha za tsh 500/= zinauzwa tsh 600/= na zile zenye thamani ya 1,000/= zinauzwa kwa 1,200/=.
Jambo ambalo limetokana na ukweli kwamba tunaoishi hapa kwa asilimia kubwa ni jamii ya wanafunzi wa chuo kikuu cha Sokoine hivyo wenye maduka kutumia fursa hiyo kuongeza bei za vitu kiholela...
Mkurugenzi wa jiji kuna kikundi kinachotoza tozo za parking jijini Mwanza hususani eneo la mtaa wa Kaluta wanakamata magari na kuyafunga minyororo huku wakidai Rushwa msipoangalia kikundi hiki kitawaharibia kabisa CCM kipindi hiki kwa vile wanafai kutumwa kufanya hivyo na Mkurugenzi Kibamba...
Hakuna shaka kwamba Mama Maria Nyerere, atadumu katika historia kama mke wa mwasisi wa Taifa letu. Kama ukili wetu ukiona mafanikio ya mwanamme basi nyuma yake kuna mwanamke mwenye busara.
Tusingoje Maria afe ndo tumpe mtaa.
Ili kutunza Mazingira na kuongeza ajira ,serikali iweke mashine za recycle kila mtaa au kila kata.
Utangulizi
Jukumu la kutunza mazingira ni langu na ni lako hivyo tunaweza kutumia fursa ya kutunza mazingira kwa kuongeza ajira, hii itafikiwa baada ya kuchakata taka kwa kutumia mashine za...
Tunaelekea mida ya kuanza kuwaona Waliotuomba Kura 2019 na 2020 wakitaka nafasi za Ubunge na Wenyeviti wa Serikali za Mtaa wakijipitisha tena kama vile walikuwepo.
Vipi hapo kwako Kiongozi uliyemchagua anashughulika na Kero zenu au ndo hata hujui alipo?
Haya ndio Maisha yetu watu wa Kibaha Maili Moja, hii ni sehemu tu ya mfano mdogo jinsi changamoto ya Barabara ilivyo hasa mvua zinaponyesha.
Watu wameshapiga kelele sana kuhusu hii Barabara inayoanzia Kituo cha Sheli kuelekea Muheza hadi Mpiji, sasa hivi magari hayapiti kwa urahisi, yakipita ni...
Habari!
Kwa huzuni kubwa leo naomba kwa mara nyingine niwakilishe kadhia wanayopitia wakazi wa Mbopo kata ya Mabepwande kufuatia ubovu wa miundombinu kwenye kata hii iliyo kwenye jimbo la kawe!
Tangu mvua ya December 2023 mpaka January 2024 iliyoharibu kabisa barabara na miundombinu katika...
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Jerry Silaa ameagiza kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wa Mwanjelwa aliyejulikana kwa jina la Brayan Mwakalukwa na Ezekiel Mwanje mwakilishi wa mmiliki wa anayedaiwa kuuziwa Nyumba ambayo ni mali halali ya Li Shi Cai ambaye ni mwekezaji...
Niliwahi kusikia habari za EAZY-E kwamba yeye ndiye GodFather of Gangsta Rap.
Na zaidi nikaja kusikia kuwaKwa miaka ya 1986-1992 ni EAZY-E Pekee ndiye rapper aliyekuwa na pesa nyingi zaidi kuliko rapper yeyote.
Lakini mwisho nikasikia habari mbaya zilizo husu kifo chake Habari zilisema...
Mahakama ya Wilaya Kiteto imemhukumu MAMBE MOHAMED MAMBE, Mwenyekiti wa Kijiji cha Nasetan, Kata ya Engusero, Wilaya ya Kiteto Mkoa wa Manyara.
Mshtakiwa ametiwa hatiani na kuamriwa kwenda Jela miaka minne au kulipa faini ya shilingi 1,000,000/= kwa makosa ya kuomba na kupokea hongo kiasi cha...
Katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni imefunguliwa kesi ya Jinai Namba (Cc.6600) dhidi ya Bw. BENJAMIN CHALRES CHUMA kwa mashtaka ya kuomba na kupokea RUSHWA kinyume na kifungu cha 15(1)(a) na 15(2), cha Sheria ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa [CAP 329 RE 2019]
Mshtakiwa akiwa Mwenyekiti wa...
Wakazi wa mtaa wa Luguruni (Jino kwa Jino) tumekosa maji toka July 2023, DAWASA hawatoi majibu ya kuridhisha.
Na si mbali na ofisi za Mkuu wa wilaya ya Ubungo lakini hakuna utatuzi wowote wala jitihada za kuleta maji.
Yaani muda mfupi baada ya kuweka andiko langu hapa, jana hiyohiyo magari mawili ya kuzoa taka yalifika mtaani kwetu na kubeba taka zote zilizokuwa zimezagaa.
Kumbe inawezekana, sasa walichokuwa wanasubiri ni nini? Wanataka hadi turipoti mitandaoni ndio hatua zinachukuliwa? Hii si sawa...
Hii ni picha ya bango la mradi wa ujenzi na ukarabati wa kilomita mbili (2) Goba kwa Awadhi ambayo imesambaa kwa kwenye mitandao ya kijamii.
Mradi huu ni wa ukarabati na ujenzi wa mitaro ambapo unatokana na nguvu za wakazi wa eneo hilo.
Inaelezwa wakazi hao wamekubaliana kujenga mitaro kwa...
Angalia hapo juu picha ya Bi. Mwamtoro bint Chuma mama yake Sheikh Haidar Mwinyimvua.
Picha hii inamwonyesha Bi. Mwamtoro bint Chuma akipiga kura Uchaguzi Mkuu wa 1970.
Bila ya shaka yoyote kura yake ilikwenda kwa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Haiwezi kuwa vinginevyo.
Bi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.