Kuna utitiri wa kozi zinafundishwa vyuoni zinazosababisha unemployment rate katika taifa letu kukua kwa kasi.
Nabadala yake watoto wanahitimu hizo kozi wanabaki hawana ajira lawama zote zinabaki kwa serikali.
Tupo kwenye mchakato wa kubadili mtaala wetu ili uendane na mazingira yetu. Basi...
Kuondoa masomo ya uraia, aliyeshauri haya achunguzwe.
Muhutasari huu hapa.
Maboresho ya sera ya elimu. Yapo mengi ila hapa wamewasilisha machache tu.
[emoji254][emoji254][emoji254][emoji254][emoji254]
...Masomo kupunguzwa sekondari,
...civics na general study kufutwa kabisa,
...somo la...
Yahoo!
Imeshathibitika pasi na shaka kuwa huu mtaala wa elimu aliotuachia mkoloni hauna manufaa yoyote kwa mtu mweusi, unazalisha wajinga na waoga na masikini wa fikra.
Ni heri mtu asisome (aishie darasa la 3 tu ajue kusoma na kuandika) kuliko hawa wanaomaliza mpaka degree na wengine masters na...
Napenda kumshukuru Mungu kwa kunijalia afya njema pia kukupa nafasi ya kufuatilia matini yangu kikamilifu
Pia shukran zangu za dhati nazielekeza kwa waasisi wa dawati la jamii forum stories of change
baada ya hapo twende pamoja katika mada yetu ya ukoo wa babu...
LEO TUNAGALIE KATIKA NYANJA...
Mtaala wa elimu ni mpangilio wa kozi au mafunzo ambao shule,vyuo na taasisi za elimu hutoa na katika muda ulio sahihi mwanafunzi aweze kuhitimu.
Mtaala wa elimu unaotumika katika nchi yetu ya Tanzania ni mtaala ambao unampa Mtanzania maarifa na fikra za kuajiriwa zaidi kuliko kujiajiri wakati...
Kati ya mambo ya ajabu nchini, ni hili la kutofuatwa mtaala la wilaya ya Rungwe.
Yaani wilaya yote imeamua siku ya Ijumaa vipindi vya darasani vitaisha muda wa kawaida ( saa 9 kwa msingi na saa 11 kwa sekondari)
Hakuna uhiari wa kuwepo au kutokuwepo shule muda wa swala ya ijumaa, tofauti na...
Serikali ya Kenya imepitisha mtaala mpya ambao wanafunzi wa shule ya msingi na sekondari watafundishwa coding.
Halafu baadae turudi kukataa ukweli kwamba hawa wakenya likija suala la ubunifu katika teknolojia na startups wanatuzidi.
Sisi bado hatuko serious katika mambo mengi hata elimu yetu pia...
Kumekuwa na wanaharakati wengi sana wa masuala mbalimbali ya kijamii, ambao wamekuwa wakitamani kile wanachokitetea au kuelimisha kiwekwe kwenye mitaala ya elimu.
Binafsi nadhani si kila kitu lazima kiwekwe kwenye mtaala. Wanafunzi wana mambo mengi sana ya kujifunza ili waweze kujitegemea na...
Sisi Wakenya tuna uthubutu, tulikusanya wazawa wazalendo wa nchi hii kutokea kwa washika dau wote wanaohusiana na elimu, wakafumua mtaala uliokuwepo na kuunda upya herufi kwa herufi kwa kuzingatia mifumo ya kisasa, mahitaji ya soko la ajira, uzalishaji kwenye uchumi na suala lote la kijamii...
Nawasalimu kwa jina la JMT
Kazi iendelee.....
Nikiwa kama mdau wa Elimu nimebaini haya yafuatayo hasa baada ya kupitia maoni ya baadhi ya watu ambao wengi wao ni walimu juu ya utekelezaji wa kalenda mpya ya mtaala inayowataka walimu wote Tanzania kuwa sawa ktk ufundishaji. Kwa maana kama leo...
Naendelea kuona jinsi mtaala mbovu unavosababisha janga la ukosefu wa ajira nchini!
Kila mwaka graduates wanalundikana mtaani tena wakiwa wamekata tamaa kabisa hata huko kunakoitwa kujiajiri wanashindwa kwa kukosa mitaji ikumbukwe bado Wana deni la bodi ya mikopo!!unaweza vuta picha ya hali ya...
Dodoma. Mbunge wa Kigoma Kusini nchini Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Nashon Bidyangunze ameshauri Serikali kuweka mtaala ambao utawafundisha watoto kufahamu vyema kalenda.
Nashoni ameyasema hayo Oktoba 24, 2021 wakati akizungumza katika semina ya kuangalia namna bora ya kuboresha...
Watz wanawasiwasi na chanjo ya uviko 19 kutoka kwaabeberu.
Hata hivyo vitabu vyote vya elimu mashuleni, vya mitaala, kiada kwa miaka zaidi ya 10 vinafadhiliwa na pesa za mabeberu.
Ukitafakari kwa kina utaona kabisa ule usemi wa kimombo usemao
if you want to destroy any nation without war...
Habari Wanabodi!
Ukisoma Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 ukurasa wa 5 kuhusu Utekelezaji wa Ibara ya 146(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (1977) inayohusu ugatuaji. Katiba inatamka katika Sura ya Nane (kuhusu madaraka kwa umma), kwamba...
Hayati Magufuli naona kaangukia pua tena
Somo la historia ya Tanzania lasitishwa
Katibu mkuu wizara ya elimu amesema syllabus hiyo imesitishwa haraka na haitafundishwa kokote.
Source ITV news
==============
Waziri wa elimu Prof. Ndalichako amesitisha maboresho ya mtaala wa somo historia...
Wadau bado kuna ufahamu mdogo nini kifanyike kuboresha mtaala wa elimu.
1. Kuandaa vijana wetu kwenye mtaala ili washiriki uchumi wa viwanda lazima Sera ya Elimu lazima ibainishe kuwa Shule ni kituo cha kukuza ubunifu.
2. Ili kutekeleza hilo, mtaala utabainisha ufundishaji unakuza na kujenga...
Hello
Tupo na Mkutano hapa Dodoma Uboreshaji wa Mtaala wa Elimu Awali, Msingi na Sekondari
Wapenda kujenga nchi mnaombwa kutuma maoni yenu kwa namba hii
0735041169
Unaweza kutuma maoni yako
Hapa mkutano unaendelea, pia unaweza kufuatili kwenye mitandao ya kijamii na TBC One
Asante
Samahani wakuu naomba kufahamu hilo kama kichwa cha habari kinavyoeleza.
Nimejaribu kujiuliza elimu yetu vs msaada katika maisha ya kawaida our educational is non creativity, hata ukiuliza nini matarajio hakuna anayeweza elezea zaidi ya baada ya kumaliza ntaajiriwa.
Nimwaza sana juu ya elimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.