Idara ya afya mlione hili, mwizi ambae alikamatwa na wananchi wa kata ya Kerenge kitongoji cha kilole wilaya Korogwe ambae alikutwa na vyandarua vya zahanati ya Kerenge ambayo ni Zahanati ya serikali yuko huru kwa dhamana na kesi haipelekwi mahakamani tangia tarehe 29/11/2019 mpaka leo hii...
MKITAKA POLISI WAWAHI KWENYE TUKIO MTAANI AU KIJIJINI KWENU; WAAMBIENI CHADEMA HAWA HAPA WANATAKA KUFANYA MKUTANO
TUKIO likitokea huku Mtaani kwetu Siku hizi, huwa hatupati shida kupata msaada wa haraka kutoka Polisi, ni fasta tu wanatia timu eneo husika. Wakishuka tu kwenye Gari wanaanza...
Wadau,Tanzania kwenu!
natumaini hapo ulipo ni kwema, giza likizidi kushika kasi nakutana na watu wanabishana alafu kila mmoja anakomaa yeye anajua, basi ikafuatia muda nasikikia "kwani wewe una jiwe(degree)ngapi?"
Nimebaki nastaajabu sana.
Ngoja nikapate kahawa kwanza maana nasikia baadhi ya...
Katika mtaa niliyo bahatika kujenga banda langu la kuishi nime-"wachapa" mno wanawake. Si wake za watu, si mabinti za watu wala mabeki tatu, wote nimeburuza
Kila anayejibebisha anapata bakora anaondoka. Mtaani kwangu nimebatizwa jina la la utani naitwa "Mashine"
Sasa naona kilomita zimesonga...
Wikiendi hii nimerudi Bongo na nimekuja kutembelea Uswahilini kwetu huku Mtaa wa Azimio, Kigogo Luhanga nimepata habari zenye Kiulizo inabidi niulize Wanajamvi humu ndani.
Serikali ya Mtaa ya huku Mtaani imekuwa ikiandikisha wakazi wa hapa ( Wanandoa)/ (Wenza wanaoishi pamoja) na kuwapiga Picha...
1. Mwambie anaenda kusomea taaluma sio kazi. Anaweza kusoma uhasibu akawa dobi.
2. Mwambie Kufaulu Taaluma sio Kufaulu maisha.
3. Mwambie Kupata alama nyingi sio kujua mambo mengi.
4. Mwambie akifika chuo atakutana na watu wa mikoa tofauti na hata majiji. Ila akumbuke anatokea Mtwara, tena...
Mkuu wetu tumeona jitihada zako kuanzia kutumbuwa kule bandarini na kushughulikia wakwepa kodi,kushughulikia waliovamia viwanja na ubomoaji hapa Dar es Salaam, kuzuiya vibali vya kuagiza sukari nje na kubana matumizi ya serikali.Nadhani ilikuwa lengo ni kuimarisha maisha ya wananchi na kuleta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.