Mkuu wetu tumeona jitihada zako kuanzia kutumbuwa kule bandarini na kushughulikia wakwepa kodi,kushughulikia waliovamia viwanja na ubomoaji hapa Dar es Salaam, kuzuiya vibali vya kuagiza sukari nje na kubana matumizi ya serikali.Nadhani ilikuwa lengo ni kuimarisha maisha ya wananchi na kuleta...