mtakatifu

The Chama cha Mariamu Mtakatifu (Community of St. Mary of Nazareth and Calvary), (CMM) is a large Anglican religious order operating within the Anglican Church of Tanzania, and with its headquarters at Masasi, Tanzania.

View More On Wikipedia.org
  1. Mohamed Said

    Julius Nyerere Mtume wa Afrika 1950s - Julius Nyerere Mtakatifu Mwenye Kheri 2000s

    Mwalimu Julius Nyerere historia yake ni kubwa sana. Walioandika maisha yake wameandika vitabu vitatu zaidi ya kurasa 1000. Bahati mbaya sana kitabu hiki hakikuweka mengi ambayo yalihusu historia ya Mwalimu na Waislam wa Tanganyika. Sijui kwa nini. Kukosekana kwa hili kumeondoa utamu na...
  2. JanguKamaJangu

    Mwanafunzi wa Upadri (Frateri) wa Kanisa Katoliki Shirika la Roho Mtakatifu Tanga anadaiwa kujinyonga hadi kufa

    Mwanafunzi wa Upadri (Frateri) wa Kanisa Katoliki Shirika la Roho Mtakatifu Jimbo la Tanga Rogassion Hugho anadaiwa kujinyonga hadi kufa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi amezungumza na JamiiForums na kusema “Ni kweli huyo Mwanafunzi wa Upadri amekutwa amejinyonga kwenye...
  3. R

    Kwa dhambi hii ya kuiacha katiba mbovu inayomfanya Rais kuwa "Mungu Mtu", Nyerere hapaswi kuwa Mtakatifu

    Dhambi kubwa aliyofanya Nyererew ni kuiacha katiba ambayo mwenyewe kwa kinywa chake alisema katiba hii akiipata dictator, ataumiza sana watu/ WATANZANIA/WATANGANYIKA. Kwa vile ilikuwa inampa mamlaka ya kidikiteita akaiacha hivyo hivyo. Sasa wamekuja madikiteita marais waliopita na kuitumia...
  4. SteveMollel

    Sio kila mimba isiyo na baba basi ni kwa uwezo wa roho mtakatifu

    Baada ya kuponea maisha kwa kuzama ndani ya ziwa la barafu, kipindi akiwa msichana mdogo, Cecilia alikata shauri la kumtumikia Mungu kwa kipindi chake chote alichobakiza duniani. Kwahiyo anapofikia umri, anajiunga na 'convent' ya hapa Italia ili apate kuwa sister kwa kiapo na matendo. Hivyo...
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    Ucheshi mtakatifu kwenye tasnia ya usafiri wa anga

    Kundi la maprofesa waliitwa kupanda ndege. Milango ilipofungwa maprofesa wote walifahamishwa kuwa ndege hiyo imetengenezwa na wanafunzi wao. Maprofesa wote wakakimbilia kwenye mlango wa ndege wakiomba kushuka. Isipokuwa profesa mmoja tu alibaki ameketi kwa ujasiri na utulivu. Kuna mtu...
  6. Abdull Kazi

    Matrafiki wana roho mtakatifu wao

    Kwanza hujazana kwa wingi Kituoni iwe Mwenge Tazara,Mwananchi Relini Tabata Baracuda,Segerea,Temeke,Mtoni Madafu Chanika,Mbande na kwingineko ambako ni rahisi kusimamisha daladala Na wanakuwa wengi kuliko daladala. Roho mtakatifu wao kawapa ufunuo wa kujua jina la dereva na konda, kuliko...
  7. Pang Fung Mi

    Mke wa Bilionea Msuya, furaha yake na sauti yake ya kusifu Yesu akitoka Mahakamani si yenye Roho Mtakatifu

    Hakika nawaambieni Mungu wa kweli hukaa ndani yetu, alisikika mke wa Hayati Billionaire Msuya akiimba baada ya hukumu kumpenda zaidi yeye pale kisutu, yeyote anaejua maana ya kilio na kusifu kuliko na malaika huyo mwanamke alikosa muunganiko wa sauti, kiini cha sauti na Nuru ya mwili hasa uso...
  8. Jaji Mfawidhi

    Baba Mtakatifu hajabariki ndoa za jinsia moja!

    Catholic church cannot and will never bless same sex mariage! This Declaration considers several questions that have come to this Dicastery in recent years. In preparing the document, the Dicastery, as is its practice, consulted experts, undertook a careful drafting process, and discussed the...
  9. Mwande na Mndewa

    Nimejiridhisha Hayati Mwalimu Julius Kambarage Nyerere anastahili kuwa Mtakatifu

    Bahati mbaya vijana wengi waliozaliwa mwaka 2000 hawakuwahi kumwona wala kumwelewa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere,Mimi niliyezaliwa 1980 nilibahatika kidogo nyakati hizo nikiwa shule ya Msingi bungo pale Morogoro,nilipokuwa kiongozi wa chipukizi, nilipeana naye mkono mara moja japo alikuwa...
  10. F

    Kuhusu Nyerere kutangazwa mtakatifu: Kanisa Katoliki mnataka watu wamwige Nyerere kwa lipi hasa? Umaskini, udikteta, ujamaa, ucheshi au nini hasa?

    Kwamba licha ya Nyerere kuwa na mapungufu mengi, kumtangaza mtakatifu ni jambo ambalo litakuwa kikwazo zaidi kwa watu kuliko kuwa chachu ya maisha ya utakatifu. Kwanini msisubiri miaka 200 ipite ili watu wote wanaomjua "Nyerere wa kweli" wawe wamefariki ili kusiwe na scandalization yoyote kwa...
  11. A

    Mwl. Julius Kambarage Nyerere kutangazwa mtakatifu

    Katika pita pita zangu nimekutana na barua ya kanisa Katoliki Tanzania ambayo inaonyesha kwamba kanisa lipo katika mchakato wa kumtangaza Baba wa taifa, Rais wa kwanza wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Hayati Mwl. Julius K. Nyerere kuwa mtakatifu/mwenye heri.
  12. Mrao keryo

    Baba Mtakatifu Fransisko amteua Padre Jovitus Francis Mwijage kuwa Askofu mpya wa Jimbo la Bukoba

    Baba mtakatifu Francisco leo tarehe 19.10.2023 amemteua padre Jovitus Fransis Mwijage wa jimbo Katoliki Bukoba kuwa Askofu mpya wa jimbo hilo. Ikumbukwe Askofu wa Bukoba aliyekuwepo, Desiderius Rwoma alistaafu kwa mujibu wa sheria za Kanisa kutokana na umri. Pia kwa sasa Jimbo Katoliki Bukoba...
  13. M

    Udhihirisho wa roho mtakatifu akaae ndani yetu

    Habari za jioni Ndugu zangu. Nnakiri kuwa mimi ni miongoni mwa watu niliokuwa nasoma shuhuda za watu hapa JamiiForums kuhusu Mungu Na ulimwengu Na roho. Nimesoma shuhuda za watu wawili mpaka sasa Ramon Na Nelson Jacob. Nakiri shuhuda zao niliziamini na zimenifanya nipande viwango kiroho yani...
  14. DR Mambo Jambo

    Waumini wacharazwa fimbo za upako na Mchungaji kanisani ili kupokea Roho Mtakatifu!

    Hivi karibuni Kumeibuka Madhehebu mengi ya kikristo Nchini na hata nje ya nchi ndani ya Afrika yakijinasibu kwamba yanagawa upako kwa kutumua vifaa walivyokuwa navyo wengine wakitumua mawe (Jiwe jeupe la upako), wengine udongo, wengine busu, wengine mafuta na maji ya upako. Hata hivyo hivi...
  15. Mr Lukwaro

    Tetesi: Mchakato wa kumtangaza Mwalimu J.K Nyeree kuwa Mtakatifu

    Mchakato wa kumtangaza Mtumishi wa Mungu Mwalimu Julius Kambarage Nyerere kuwa Mwenyeheri na hatimate Mtakatifu unaendelea na kwa sasa uko chini Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania. KANISA Mchakato wa Mtumishi wa Mungu Mwl. J.K. Nyerere unaendelea! Mchakato wa kumtangaza Mtumishi wa Mungu...
  16. stevhinoz

    Nani anafahamu jinsi ya kusali Novena ya Mtakatifu Rita wa Kashia anisaidie?

    Habari zenu watu wa Mungu, Naomba mwenye kufahamu namna ya kusali/kufunga novena ya Mtakatifu Rita wa Kashia anipe maelezo yake jinsi ya kufanya. Natanguliza shukrani.
  17. U

    Shehe Mkuu wa Tanzania kufanya ziara ya siku tano Makka

    MUFTI KUZURU MAKKAH. Mufti kuondoka kesho kuelekea Makkah Saudi Arabia kwa Ziara ya siku ya siku tano Akiwa mji Mtukufu wa Makkah atahudhuria mkutano mkubwa wa siku Mbili wa viongozi wakuu wa taasisi kuu 150 za kitaifa za kiislamu kutoka mataifa mbalimbali Duniani. Mufti anatarjiwa kurejea...
  18. Wimbo

    Je, lazima Nabii awe Mtakatifu?

    Mungu anaweza kutumia chochote kuleta ujumbe, Vitabu vinatuambia Mungu alitumia hata punda kunena pale mwanadamu aliposhupaza shingo asisikie kile Mungu alitaka wasikie. Utoto, ujana, muchknow, za Makonda vilimfelisha lakini nauona uongozi ndani yake kuliko hata vijana wengi ambao Mama wa...
  19. ZVI ZAMIR

    Roho Mtakatifu na Mwamini

    Shalom Shalom. Habari ya jioni. Hongereni kwa Ibada na mapumziko ya wikendi. Leo naomba kwa uchache tushirikishane juu ya Roho Mtakatifu. Kama sehemu ya Utatu mtakatifu yaani Mungu Baba, Mwana na Roho mtakatifu. Ikiwa wiki moja imetimia sasa tangu sherehe ya pentekoste. Kuna mambo ningependa...
  20. Expensive life

    Ewe dada ulijifanya mtakatifu sana ulipoanza funga yako sasa funga inakaribia kuisha unaanza usumbufu sasa ukae kwa kutulia malipo ni hapa hapa

    Nasema ivi hata salamu simlikuwa hamtaki eti kisa mpo kwenye funga, mtajua hamjui na sisi mabaharia tumeanza funga yetu kivyetu. Tunaenda na wale tuliokuwa nao pamoja katika kipindi hiki kigumu.
Back
Top Bottom