Kwenye piramidi la vitu vyote vilivyo katika ulimwengu wa miili sisi wanadamu tumeketi kileleni kwa sababu ya urazini wetu.
Katika mipaka ya utambuzi tuliyozaliwa nayo kama wanadamu, tunao uwezo wa kuvuna maarifa kutoka katika mazingira yetu, kufikiri kimantiki, kuteua malengo, kubuni mbinu kwa...