mtandao unasumbua

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kero sugu ya shida ya mtandao NMB fanyeni marekebisho

    Wakuu habari za jioni hii Huduma za kifedha za NMB hazipatikani kwasababu ya shida ya mtandao, hii ni kero sana haswa kwa sisi wajasiriamali ambao tunadeposit pesa kila siku kwaajili ya biashara.
  2. JamiiForums Tanzania Ukweli wa Ardhi House: ‘Mtandao unasumbua’ ni kificho — Nilijaribu kuingia kwenye mfumo, na mchezo ulianza!”

    Ukweli wa Ardhi House: ‘Mtandao unasumbua’ ni kificho — Nilijaribu kuingia kwenye mfumo, na mchezo ulianza!” UZI: Nimekuwa nikitoka HADI hapa na nikakutana na kitu ambacho siwezi kuziba mol. Huyu ni story ya jinsi ‘mtandao’ unavyotumika kama kificho ili watu wafanye ujanja katika ofisi za umma...
  3. JamiiForums Tanzania YAS NA MIXX BY YAS, tunaomba ufafanuzi mtandao unasumbua!

    Kuanzia saa nane mchana mpaka muda huu huduma zote hazipatikani, tunaomba ufafanuzi!
  4. JamiiForums Tanzania Shida ya mtandao inayoendelea nchini tatizo ni nini? Serikali mpo kimya kampuni za mitandao mpo kimya! Sasa nani ana majibu?

    Wakuu, Kumekuwa na shida ya mtandao karibu wiki sasa, saa nyingine ikifika usiku mtandao unakuwa chini sana na wakati mwingine hata siku nzima, unakuta mtandao unasumbua kweli na hii ni kwa mitandao yote, yaani Voda, Airtel ns mingine. Cha kushangaza shida hii ya mtandao inabagua baadhi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…