mtangazaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    Mtangazaji Juma Lokole amuombea Steve Nyerere cheo

    Anaitwa Juma lokole ni mtangazaji mwenye elimu ya darala la saba kwa wanaoojua tangu akianza michezo michafu akiwa mdogo sana huko sinza hawashangai sana issues zake, kijana huyo alikuwa analelelewa na bibi yake ambaye alipiga hadi akachoka ikabidi amuachie tu kijana aendelee na starehe yake...
  2. GENTAMYCINE

    Farhia Middle wa Radio One amehuzunika sana Abdallah Mwaipaya kuwa DC

    Kuna Kipindi nakumbuka ( nikiwa kama Msikilizaji Balozi na Mwandamizi wa Kipindi chao nikipendacho cha Mazungumzo ya Familia cha Radio One kila Jumapili Saa 1 na Nusu Asubuhi hadi Saa 4 Kamili Asubuhi ) aliwahi 'Kufiwa' na Dada yake tena wa toka nitoke ila wala hakuwa katika Majonzi na alisahau...
  3. Kibosho1

    Wasafi FM hususa mtangazaji Mwanaidi mnapaswa kuomba radhi wasikilizaji wenu, kudanganya C. Eriksen amefarikifa

    Hii imekaaje, mtangazaji kudanganya? Atasema mdomo uliteleza kwanini hakuwa na subira mpaka ripoti ya daktari itoke? Ni aibu kwa kituo na kwa mtangazaji mwenyewe. Unachukua habari za mitandaoni unazitangaza? Mnaanza kututia wasi wasi kusikiliza vipindi vyenu.
  4. mwanamwana

    TANZIA Mtangazaji Fred Fidelis ''Fredwaa'' afariki dunia kwa ajali ya gari

    Mtangazaji Fred Fidelis maarufu kwa jina la Fredwaa amefariki dunia leo tarehe 12 Juni, 2021 baada ya kupata ajali eneo la Kawe. Kwa wale wakongwe, utamkumbuka Fredwaa kwa lipi? ==== Dar es Salaam. Mwandishi wa habari Fred Fidelis maarufu Fredwaa amefariki katika ajali ya gari iliyotokea...
  5. GENTAMYCINE

    Ungekuwa Wewe ndiyo Mtangazaji mahiri na mweledi wa Michezo Kipindi cha Sports Arena Wasafi FM, mada ipi kati ya hizi ingekuwa ni ya Muhimu zaidi?

    Hatimaye Simba SC yaweka rekodi kwa Kuingiza Wachezaji Wanne katika Kikosi bora cha Wiki cha CAF akina Chama, Boko, Miquissone na Tshabalala? Au Twiti ya Kiutani wa Kimchezo ya Mwekezaji wa Simba SC Mo Dewji kwa Kuwaita Kaizer Chiefs FC ni Mediocre ( Wajinga ) baada ya Kufungwa Juzi Goli 3...
  6. M

    Pascal Mayalla kutoka kuwa Mwandishi Nguli hadi Mtangazaji wa kawaida East Africa Radio inamaanisha nini katika Tasnia?

    Je, kwa hali hii ina maana Tasnia ya Habari nchini imekuwa Kimafanikio au imeshuka na sasa imeanza kupoteza Umuhimu nchini? Binafsi kwa Hadhi ya Unguli wa Habari aliokuwa nao Pascal Mayalla nilitegemea leo hii angekuwa anamiliki Chombo chake kikubwa sana cha Habari nchini Tanzania na siyo kuwa...
  7. M

    Huyu ndiyo Mtangazaji Maulid Kitenge wa Wasafi FM mwenye Chuki, Unafiki na Uzandiki dhidi ya Klabu ya Simba na Mafanikio yake

    Wakati Watangazaji wenzake Wanaojitambua, wenye Elimu Kubwa kwa Fani aliyopo na waliomzidi Akili wakipongeza 'Merchandise and Events Deal' ya Kampuni ya VUNJA BEI na Simba SC Mtangazaji wa Wasafi FM Maulid Kitenge (Mwana Yanga SC lia lia) kaja na 'Majungu' yake yale yale. "Kwanini Simba SC...
  8. R

    Ashikiliwa mauaji ya mtangazaji wa ITV, Blandina Sembu

    .
  9. Chachu Ombara

    TANZIA Mtangazaji Mukhsin Mambo alias MC Hammer afariki dunia nyumbani kwake Marekani

    Aliyekuwa mtangazaji wa StarTv, Muhsin Mambo Alias MC Hammer afariki dunia siku ya leo tarehe 8 Februari nyumbani kwake nchini Marekani. Pia soma > Muhsin Mambo yuko wapi? Mwanahabari Mukhsin Mambo, wakati wa uhai wake -- Mwandishi wa habari Mukhsin Mambo, amefariki dunia hii leo Februari 8...
  10. MTAZAMO

    Mtangazaji na DJ wa East Africa Radio, Baba T atimiza miaka 81

    Kutoka EATV facebook wall, Kwa mara nyingine tumebarikiwa kusherehekea siku ya kuzaliwa ya mfanyakazi mwenzetu mwenye umri mrefu zaidi hapa ofisini. Jina lake halisi ni Emsly Smith maarufu kama Baba T. Baba T ni Dj wa muziki wa Reggae na pia ni mtangazaji wa kipindi cha 'Lovers Rock' cha East...
  11. Pascal Mayalla

    TANZIA Mtangazaji Maarufu wa RTD Abissay Stephen amefariki dunia asubuhi hii

    Wanabodi, Nimepokea taarifa kuwa Mtangazaji Maarufu wa RTD, (sasa TBC), ABISAY STEVEN, amefariki dunia asubuhi hii. Mpashaji habari wangu amesema msiba huo umetokea katika hospitali ya Muhimbili alikolazwa kufuatia kuugua kwa muda mfupi. Taarifa zaidi zitafuatia. Kwa wale wa zamani huyu...
Back
Top Bottom